Una lazimisha iwe kama Suswa ya kwenu? hapo ndio mwisho wa reli kipande cha port kinakwenda panapostahiliHakuna nafasi kijana wacha kupiga domoView attachment 2254383
Mzizima tower naona linaelekea kuisha
Em nkumbushe ni lini tunekua biggest exporter eastafrica?Wewe angalia industrial output wakati wa kikwete then compare na output wakati wa JPM hata exports za bidhaa za viwandani zilishuka sana wakati wa kikwete tulishafika US 1.2bn ikashuka mpaka 400m
Wanaishi maisha unayoyaotaTanzania U17 womens team, wana sura ngumu kuliko jamaa wa mjengo.View attachment 2255299
ONCE A RENDER,digest this one first to soothe your belly aches.asante kwa render 🤣🤣
Naona kama tayari.. Ni kuhamia tu Sasa.
Sio chini ya 80 cars
Geza Ulole ndio dawa yako. Geza huwa anakushinda nguvu kwenye michuano yenu. Nakumbuka kuna ile debate kuhusu liquified natural gas (lng) miaka miwili iliyopita alikunyuka viboko vizito. Unakumbuka huo mjadala?![]()
![]()
![]()





































Heheheeee....Geza Ulole ndio dawa yako. Geza huwa anakushinda nguvu kwenye michuano yenu. Nakumbuka kuna ile debate kuhusu liquified natural gas (lng) miaka miwili iliyopita alikunyuka viboko vizito. Unakumbuka huo mjadala?![]()
![]()
![]()
Ni vizuri kwamba umeshaijua.Tanzania U17 womens team, wana sura ngumu kuliko jamaa wa mjengo.View attachment 2255299