Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Mkuu naona sasa unapingana na fact, unavyo sema inflation ilikuwa kidogo sijui kwako huwa unamanisha nini sababu Tz inflation ilikuw moderate( 3.5% to 4.5) na sio kidogo kama unavyo dai, pia hii ndio inflation inayo itajika kuweza kuonyesha kuwa uchumi ulikuw unaenda vyema na kuonyesha jinsi gani uchumi ulikuwa kwenye Equillibrium angalia saivi rate ya inflation !!Mana yake kuna fedha zilizo ingia kwenye mzunguko zisizo tokana na economic effect.



