Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hali ilikuwa mbaya hela hamna kwenye uchumi mikopo ikasitishwa serikali ikaanza kupora hela za wananchi kwa mtutu na hiyo nayo utabisha? Sabaya mwenyewe anasema alfuata maelekezo toka juu hapa unatetea nini?

Hii inaonesha kuwa wewe ni mfanyakazi wa serikali maana wote waliathirika kasoro wafanyakazi wa serikali tuu.

Biashara ziliporwa hela zikafungwa na wamiliki wakawekwa ndani ukikataa kuporwa unafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi au unajikuta kwenye kiroba na hii nayo utanisha?

Japo sipendi kuzungumzia siasa lakini hiyo ndio ilikuwa hali halisi Tanzania in the last 6 years.
Apa naona huleti fact tena bali siasa na miemko,ukiniambia private sector ilishuka ningekubaliana na ww ni kweli kabisa , kuna sera mbili zinazo bana na kuachia pesa kwenye mzunguko ambanzo ni monetary na fiscal policies, kipindi cha mwenda zake alitumia sana fiscal policy , ndio mana gvt ilikuw km center of everything...
Ila akuna haja tuachie hapa umesha ingiza siasa kwenye uchumi.
 
Tatizo la kufanya mambo bila mpangilio mwafaka kisa Kenya wamefanya.., ona kununua ndege, eti na wao wawe na national carrier pia, matokeo ni losses after losses, year in year out.,
Ndio maana inasemekana usishindane na ndovu kwenda choo
 
Apa naona huleti fact tena bali siasa na miemko,ukiniambia private sector ilishuka ningekubaliana na ww ni kweli kabisa , kuna sera mbili zinazo bana na kuachia pesa kwenye mzunguko ambanzo ni monetary na fiscal policies, kipindi cha mwenda zake alitumia sana fiscal policy , ndio mana gvt ilikuw km center of everything...
Ila akuna haja tuachie hapa umesha ingiza siasa kwenye uchumi.
Wewe angalia industrial output wakati wa kikwete then compare na output wakati wa JPM hata exports za bidhaa za viwandani zilishuka sana wakati wa kikwete tulishafika US 1.2bn ikashuka mpaka 400m
 
Tanzania U17 womens team, wana sura ngumu kuliko jamaa wa mjengo.
IMG_20220609_125909.jpg
 
Back
Top Bottom