Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,039
- 8,170
Yeah nafwatilia issue za Aviation most times nikiws freeWewe huwa unapenda mambo ya ndege sana sio?
Yeah nafwatilia issue za Aviation most times nikiws freeWewe huwa unapenda mambo ya ndege sana sio?
Hata stand mpya ya mabasi alijenga samia akaizuia isiendelee.Barabara za kule majengo ndanindani,yakuelekea bonite bottlers limited (shirimatunda)za pale mjini kati zote zimejengwa na JPM,mnyonge mnyongeni haki yake apewe...barabara ya kuelekea kidia kutoka kiboriloni nayo aliisogeza
Mwisho wa SGR ya Tanzania ndio huu hapaYou in your glory spouting nonsense.
Duh! Yaani SGR yao haijafika kwenye port? Hahaha. Sasa itakuwa inasafirisha abiria pekee, sio mizigo?Mwisho wa SGR ya Tanzania ndio huu hapa View attachment 2254357
Tony inaenda kwenye port sema kuna daraja linajengwa so ujenzi unaenda slow ..sasa kuna maana gani ya SGR kama haitoi mzigo portDuh! Yaani SGR yao haijafika kwenye port? Hahaha. Sasa itakuwa inasafirisha abiria pekee, sio mizigo?
Mbona unanitolea povu mimi utadhani mimi ndio mfanyakazi wa serikaliHamna faida yoyote tanzania bora mkulima wa bustani kuliko mfanyakazi wa serikali



Mzee umewahi kufika ARUSHA angalau ukapata kuona miradi aliyoifanya mwendazake Ili kuboresha mji wa Arusha, hiv unaujua mradi wa upanuzi wa runway ya uwanja wa ndege Arusha.? Unaijua miradi ya mabarabara karibu yote pale mjini, ujenzi wa zahanati.? Ukarabati wa shule kongwe n.k.? Au haujawahi fika kaskazini ndio mana unaropoka.? Moja Kati ya mipango ya Magufuli ilikua ni kutengeneza barabara ya Moshi-Arusha kuwa dual na miradi mingi mingi pale moshi mjini.. Umewahi kufika bahati wewe.? Nakuhakikishia barabara zinazoinganisha mikoa hapa Tz zote hazifiki uzuri na viwango vya barabara zinaunganisha mikoa ya kaskazini .. sasa kama kafanya mambo yote haya huyu bwana mwendazake vipi leo useme jamaa alikua anasambaratisha utalii Kaskazini.? Unajisahaulish kwamba ni katika uongozi wa Raisi magufuli ndio mapato yetu ya utalii yalipaa hata kuwazidi jirani wenye roho mbaya.?Ni kitu ambacho hata JPM alishindwa katika kujaribu kusambaratisha utalii wa Kaskazini! Msifikiri utalii ni kitu rahisi rahisi!
Ningekushangaa bana, thats still KQYeah u r correct mkuu.
Bado naona kuna majumba ya watu kwenye njia ya reli? Naona haya majumba bado hayajabomolewa? Ujenzi wa kipande hicho utachukua muda mrefu kwa sababu watu lazima waondolewe, nyumba zao zibomolewe, kisha ujenze uanze ili kufikisha SGR kwa port. Bila port SGR haina maana. Hii SGR ya Kenya chini ya miaka mitano tayari imeshasafirisha 1.7 million containers.Tony inaenda kwenye port sema kuna daraja linajengwa so ujenzi unaenda slow ..sasa kuna maana gani ya SGR kama haitoi mzigo port
nasema hivi alikuwa na controversy pia! Mojawapo ukabila!! Na mradi wa Arusha-Moshi dualing carriageway upo toka Kikwete chini ya JICA. As a matter of fact aliu-sabotage kipindi chake!Mzee umewahi kufika ARUSHA angalau ukapata kuona miradi aliyoifanya mwendazake Ili kuboresha mji wa Arusha, hiv unaujua mradi wa upanuzi wa runway ya uwanja wa ndege Arusha.? Unaijua miradi ya mabarabara karibu yote pale mjini, ujenzi wa zahanati.? Ukarabati wa shule kongwe n.k.? Au haujawahi fika kaskazini ndio mana unaropoka.? Moja Kati ya mipango ya Magufuli ilikua ni kutengeneza barabara ya Moshi-Arusha kuwa dual na miradi mingi mingi pale moshi mjini.. Umewahi kufika bahati wewe.? Nakuhakikishia barabara zinazoinganisha mikoa hapa Tz zote hazifiki uzuri na viwango vya barabara zinaunganisha mikoa ya kaskazini .. sasa kama kafanya mambo yote haya huyu bwana mwendazake vipi leo useme jamaa alikua anasambaratisha utalii Kaskazini.? Unajisahaulish kwamba ni katika uongozi wa Raisi magufuli ndio mapato yetu ya utalii yalipaa hata kuwazidi jirani wenye roho mbaya.?
Anyway huko kulkua na pori kubwa lilikua useless na kuifadhi majambazi na makundi makubwa ya ngombe za wanyarwanda na wasukumaUtalii sio kitu cha kulazimisha. Tuanzie hapa, kuna wanyama wagani huko Chato? Twiga, Ndovu, Simba wapo Chato? Au itabidi wahamishwe kutoka maeneo mengine kuletwa hapo Chato?
Kwani kauli ya JPM aliyosema watu wa kaskazini wasubiri kwanza tupeleke maendeleo kanda ya ziwa hukuisikia? Au anataka chato iwe kama Florida hukusikia pia?Hata stand mpya ya mabasi alijenga samia akaizuia isiendelee.
Kusema JPM aliitenga Kilimanjaro ni ukichaa
Safi sana kama mkulima na pia kama ni mfanyakazi wa serkali jitahidi output yako iwe atlist 20% kwa mwakaMbona unanitolea povu mimi utadhani mimi ndio mfanyakazi wa serikali
Mimi mkulima bro.
Kabla Chato Burigi haijawa national park ilikua game reserve toka dunia imekua so hakuna mnyama aliehamishiwa, wanyama wote wapo toka dunia imeumbwa, bado Tanzania ina game reserves nyingi ambazo sio national parks zenye wanyama kibao!Utalii sio kitu cha kulazimisha. Tuanzie hapa, kuna wanyama wagani huko Chato? Twiga, Nyati Ndovu, Simba wapo Chato? Au itabidi wahamishwe kutoka maeneo mengine kuletwa hapo Chato?
coz of this clip ama?
😂😂😂😂naona mmeamua mjifariji wakenya bana😂😂😂😂😂😂Duh! Yaani SGR yao haijafika kwenye port? Hahaha. Sasa itakuwa inasafirisha abiria pekee, sio mizigo?
Tony usisikilize watu wanao penda habari za kuwatekenya halafu wacheke wenyewe. Passengers terminal na port ni vitu viwili tofauti. Line ya port ipo na inachepukia kabla ya kufika kwenye hiyo Passengers terminal mizigo haipiti city centre.Duh! Yaani SGR yao haijafika kwenye port? Hahaha. Sasa itakuwa inasafirisha abiria pekee, sio mizigo?
Em iweke hiyo video nioneKwani kauli ya JPM aliyosema watu wa kaskazini wasubiri kwanza tupeleke maendeleo kanda ya ziwa hukuisikia? Au anataka chato iwe kama Florida hukusikia pia?