Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,899
- 103,769
kitovu cha utalii kipi wakati wana Biharamula wamekataa jina la Chato Burigi NP? Ni mimi au wao?Sasa kwa nini hutaki chato iwe kitovu cha utalii?
Hakuna namna tena .... hospital chato, airport chato,gov'office chato ,mahoteli chato nk.. chato ni tanzania pia mapato yao yatajenga tanzania nzima hakuna haja ya wivu mkuu



