Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Remittance anachanganya na technology, haya niambie nyie mmegundua nn mpk muwe hapo mana bora kdg Nigeria wanaweza wakaongea
Mbona hueleweki kijana wa Tandale? Ushatoa ushahidi kwama Ethiopia haipo East Africa?

Mana remittance, mara technology. Wewe bure kabisa. Remittance inaingiliaje na maswala ya technology?
 
Tazama hapo sasa hivi.., fanya youtube iwe rafiki yako kilaza., mbona unahangaika., Prism iko upper hill kilaza, sio westlands., 😂 😂 😂
Huyo ni mjinga tu. To begin with, that's not even Prism Tower. That's One Africa Place in Westlands. Prism Tower ipo Upperhill. Secondly, that picture was taken when that road was under construction sasa sijui alitegemea pafanane aje
 
Watanzania hupenda ubishi za kijinga sana
Eti barabara inazunguka kijiji kwa jina Dodoma na hailekei mahala popote nje ya hicho kijiji eti ndio the longest dual carriage upuzi na ata haijaanza kujengwa.
Alafu tuusan anasema eti Geza Ulole ni one of the smartest na most educated Tanzanians she knows says alot about her ama ni him
 
Eti barabara inazunguka kijiji kwa jina Dodoma na hailekei mahala popote nje ya hicho kijiji eti ndio the longest dual carriage upuzi na ata haijaanza kujengwa.
Alafu tuusan anasema eti Geza Ulole ni one of the smartest na most educated Tanzanians she knows says alot about her ama ni him
I have already given him evidence. Wacha tuone atarudi na keleke gani tena
 
Wakenya hawana uwezo wa kumtoa mtu SSC. Huu ujinga ulio nao hapa ndio ulifanya Geza Ulole ale ban SSC. Akaja na account zingine na zote zikala ban. Meanwhile hakuna Mkenya amekula ban pale. Kuna jamaa hapa Uhuru n Umoja pia alikua anajiita Mark S kule akala ban, akaja kama Uhuru na Umoja pia akala ban. Ndio nawaambia Huu upuzi wenu mnaweza shamiri tu huku kwa mabongolala wenzenu Ila kwa international platforms hawezi kuwa tolerated. Pale SSC ukizoea kutoa habari za uongo ama zisizo eleweka ni ban tu utakula.
Ikiwa SSC unakula ban kwa kutoa habari za uongo hakuna mkenya angebaki mpk ss, si ni wewe na wakenya wenzio mlisema hii ni expressway yenu hii au
tapatalk_-632965455_493x573.jpg
 
Piga hesabu $500mil ya mwaka 1978 unapata kiasi gani kwa ss ndio utapata jibu kwnn tulipoteza nafasi yetu ya u super power wa EA kwa miaka ile mpk pale Magu alipoirudisha status yetu.
Mkuu bado hujaweka pesa Nyerere alikua anatumia kugharamia ukombozi wa nchi za kusini, sio pesa ndogo ni pesa ndefu mno billions of USD

 
Back
Top Bottom