The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Zitarudi vipi? Viwanja vinakarabatiwa kwa ajili gani?Haswa approach wanayoenda nayo ya kutumia budget ya serikali bila ya kuoainisha zitarudi vipi! Ila PPP inawezekana na viwanja vya CCM haswa Kirumba unalipa. Ni jinsi ya modalities zinakuwa formulated! Angalia hata Spain na France jinsi wanafanya kabla ya ku-host tournaments!