Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wa Arusha hauna nafasi ya kutosha! na mbona kila kitu kijengwe kwenu tu? utaifa upo wapi?

Shiekh Amri Abeid
Sheikh_Amri_Abeid_Memorial_Stadium.jpg

f2fde28854b3d62768c0a857722170c3.jpg

VS

CCM Kirumba
600bc353532e3ed03a2cdcda21f192d9.jpeg

img-621f82a04042e.jpg

View attachment 2252353

Hapa wanachimba katikati na kuongeza sitting levels pia kwa nje kuna nafasi unapanuliwa kama Olympic stadion au Estadio Bernabeu!

Msilazimishe mambo Sukumagang!
Kama amphitheater za romans aisee
 
Hivi ile project iliyokuwa chini ya Tamisemi ilikuwa inaitwa Tanzania cities Strategic project imekufa?

Wakati Magu anakufa ilikuwa kuna miradi kwenye miji mingi tu ikiwemo stendi za mabasi na masoko Arusha, Kagera nk.
Miradi hii ilikuwa ianze Toka last year ila kimya, kuna anayejua?
Upo kwenye pipeline na pesa tayari WB wameziachia. TAMISEMI wapo kwenye mchakato wa tendering and procurement
 
Hebu taja hiyo the busiest airport in east and Central Africa inyopatikana Tanzania ni gani na inapokea passengers ngapi kwa mwaka

Longest sgr line is in Tanzania? . How long is it and when did it start operation?

So the Grand Ethiopian Renaissance Dam is no longer the biggest hydropower dam in East Africa?

What's the name of that ship which the biggest in East Africa and what's its capacity?

Can you name for us those morden transportation systems found in Tanzania?

Three-level interchange? Well, can you define what a three-level interchange is? I know several in Nairobi Kenya

What's the name of that busiest port in East Africa found in Tanzania and how many metric tones of cargo does it receive in a year?

Mention those morden and biggest arenas found in Tanzania and their capacity when full.

Jina ya hiyo morden and longest dual carriageway inaypoitkaba Tanzania ni gani and what is it's length in kilometers?

Ni hayo tu kwa sasa. Povu rukhsa
Heheheheeee umeumia

Ngoja kuna kazi namalizia alafu nitakurudia with evidence mpk unyooke
 
Umeandika insha refu ila nataka tu kusema jambo moja. Tangu lini mtanzania akajua kiingereza aanze kufunfisha na wengine. Kama Magu mwenyeww hakuwahiijua hiyo lugha sasa vilaza wa humu wataijuaje?
Ndio huu upumbavu hataki bwana Tony misemo ya kizamani sn hii, hivi una miaka mingapi we mkalee mana isije ikawa nachat na babu
 
Sio kwamba I am the wisest Kenyan hapa. Kuna Wakenya na Watanzania wengi hapa ambao ni werevu kunishinda. Mimi sio mwerevu sana. Mimi ni mtu wa kawaida tu kama wewe. Tatizo ni kwamba anataka kunipimia hewa. Yeye ndiye anataka kuniambia nitasema nini hapa na sitasema nini? Eti mimi nimekuwa pathetic kwa sababu hapendi jinsi ninavyo-interact na Watanzania humu. Approach yake ni ya kimabavu. Approach yake ni ya kutusi watu, kudharau watu, kudhalilisha watu. Mimi sina hio roho mbaya. Mimi huwa nashindwa kubeba chuki moyoni kama yeye anavyobeba chuki moyoni.

Yeye anawachukia Watanzania kiukweli. Hajui hapa tupo battle, yaani tupo hapa kujifurahisha. Mtu unapiga kazi, ukipata dakika tano unaingia JF kidogo kisha unaendelea na kazi yako. Yeye hanilipii chakula wala hanilipii bill ya umeme au maji sasa ataniambiaje cha kusema huku? Eti hapendi jinsi ninavyotangamana na Watanzania, yaani anataka niwe natukana na kudharau Watanzania ili kuonyesha kwamba mimi ni Mkenya?

Mimi nipo hapa kivyangu na wala sipo hapa kufurahisha mtu yeyote. Kama hapendi basi too bad for him kwa sababu hakuna chochote anachoweza kunifanyia. Hata hanijui na anakasirishwa na mtu asiyemjua? Mtu unayekutana naye mtandaoni unamchukia ili iweje?
Njoo inbobo nikutunuku kipusa cha kindengereko, umenigusa 😅😅😅😅
 
Did you know that at 4.5km, the Ngong SGR tunnel is the longest railway tunnel in East Africa and the second longest on the African continent? It has a clearance height of 9 meters and a width of 7 meters
images - 2022-06-06T165935.808.jpeg
images - 2022-06-06T165840.232.jpeg
images - 2022-06-06T165810.384.jpeg
 
Heheheheeee umeumia

Ngoja kuna kazi namalizia alafu nitakurudia with evidence mpk unyooke
I knew you got nothing under your sleeves. But as I said, povu rukhsa and that's what you've done. Adios bongolala!
 
Hebu taja hiyo the busiest airport in east and Central Africa inyopatikana Tanzania ni gani na inapokea passengers ngapi kwa mwaka

Longest sgr line is in Tanzania? 😂 😂 😂. How long is it and when did it start operation?

So the Grand Ethiopian Renaissance Dam is no longer the biggest hydropower dam in East Africa? 🤔 🤔

What's the name of that ship which the biggest in East Africa and what's its capacity? 😂 😂 😂

Can you name for us those morden transportation systems found in Tanzania?

Three-level interchange? 😂 Well, can you define what a three-level interchange is? I know several in Nairobi Kenya

What's the name of that busiest port in East Africa found in Tanzania and how many metric tones of cargo does it receive in a year?

Mention those morden and biggest arenas found in Tanzania and their capacity when full.

Jina ya hiyo morden and longest dual carriageway inaypoitkaba Tanzania ni gani and what is it's length in kilometers?

Ni hayo tu kwa sasa. Povu rukhsa
Kubaliana naye uitwe mungwana kama Tony.🤣🤣
 
Mwengine nimemwambia jana hii tabia ya kujifunza new vocabulary alafu unakimbilia kuitumia kwa sentensi waache maanake wanaexpose ujinga wao.
Toka hko juu umekazania new vocabulary, na vocabulary yenye unazungumzia ni ATP, unaonyesha jinsi ulivyo mjinga na ktu pekee unachojua ni kingereza tu labda
 
siasa ziliharibu kama si Rostam kuingilia management ya Original comedy ITV kipindi kile Kunyaland isingeona ndani hata kwenye hii sector! Kupindi cha kanumba filamu ilikuwa na nguvu pia!
We mzee hukosangi kitu ya kujitetea. 🤣 🤣 🤣
 
Haswa approach wanayoenda nayo ya kutumia budget ya serikali bila ya kuoainisha zitarudi vipi! Ila PPP inawezekana na viwanja vya CCM haswa Kirumba unalipa. Ni jinsi ya modalities zinakuwa formulated! Angalia hata Spain na France jinsi wanafanya kabla ya ku-host tournaments!
Mimi si support swala la kuboresha hivi viwanja vya ccm kwanza viwanja hivi vilipewa ccm wakati nchi ni ya chama kimoja na hakukua na mtengano thabiti kati ya serikali na chama wakati huo hivyo viwanja vyote ni mali ya serikali tz na vinabidi virudishwe serikalini kwanza. Suala la kuingia ppp na ccm kuboresha hivi viwanja haitakuwa jambo la busara maana in the long run mfaidika hapo atakuwa ni ccm on the expense ya vyama vingine na italeta alot of sintofahamu.
 
siasa ziliharibu kama si Rostam kuingilia management ya Original comedy ITV kipindi kile Kunyaland isingeona ndani hata kwenye hii sector! Kupindi cha kanumba filamu ilikuwa na nguvu pia!
Wabongo hamtawai kubali ukweli.🚮🚮
 
Hebu taja hiyo the busiest airport in east and Central Africa inyopatikana Tanzania ni gani na inapokea passengers ngapi kwa mwaka

Longest sgr line is in Tanzania? . How long is it and when did it start operation?

So the Grand Ethiopian Renaissance Dam is no longer the biggest hydropower dam in East Africa?

What's the name of that ship which the biggest in East Africa and what's its capacity?

Can you name for us those morden transportation systems found in Tanzania?

Three-level interchange? Well, can you define what a three-level interchange is? I know several in Nairobi Kenya

What's the name of that busiest port in East Africa found in Tanzania and how many metric tones of cargo does it receive in a year?

Mention those morden and biggest arenas found in Tanzania and their capacity when full.

Jina ya hiyo morden and longest dual carriageway inaypoitkaba Tanzania ni gani and what is it's length in kilometers?

Ni hayo tu kwa sasa. Povu rukhsa
Haya tunaanza sasa, kwanza nashukuru cku hz una adabu mana kuna vitu nimevitaja ukaviacha kama vilivyo which means umekubali kimya kimya.

1. The busiest airport in East and Central Africa, JNIA na picha za u busy wake zimewekwa humu recently, ukitaka nitakuonesha
Screenshot_20220606-165150.jpg
 
Hebu taja hiyo the busiest airport in east and Central Africa inyopatikana Tanzania ni gani na inapokea passengers ngapi kwa mwaka

Longest sgr line is in Tanzania? . How long is it and when did it start operation?

So the Grand Ethiopian Renaissance Dam is no longer the biggest hydropower dam in East Africa?

What's the name of that ship which the biggest in East Africa and what's its capacity?

Can you name for us those morden transportation systems found in Tanzania?

Three-level interchange? Well, can you define what a three-level interchange is? I know several in Nairobi Kenya

What's the name of that busiest port in East Africa found in Tanzania and how many metric tones of cargo does it receive in a year?

Mention those morden and biggest arenas found in Tanzania and their capacity when full.

Jina ya hiyo morden and longest dual carriageway inaypoitkaba Tanzania ni gani and what is it's length in kilometers?

Ni hayo tu kwa sasa. Povu rukhsa
2. The longest SGR railway line in Africa, ukibisha taja SGR ndefu kuliko hii popote pale ilipo Africa kama huna kalia chupa na ukae kwa kutulia
Screenshot_20220102-090106.jpg
 
Hebu taja hiyo the busiest airport in east and Central Africa inyopatikana Tanzania ni gani na inapokea passengers ngapi kwa mwaka

Longest sgr line is in Tanzania? . How long is it and when did it start operation?

So the Grand Ethiopian Renaissance Dam is no longer the biggest hydropower dam in East Africa?

What's the name of that ship which the biggest in East Africa and what's its capacity?

Can you name for us those morden transportation systems found in Tanzania?

Three-level interchange? Well, can you define what a three-level interchange is? I know several in Nairobi Kenya

What's the name of that busiest port in East Africa found in Tanzania and how many metric tones of cargo does it receive in a year?

Mention those morden and biggest arenas found in Tanzania and their capacity when full.

Jina ya hiyo morden and longest dual carriageway inaypoitkaba Tanzania ni gani and what is it's length in kilometers?

Ni hayo tu kwa sasa. Povu rukhsa
3. The biggest hydro power dam in EAC, JNHPP (Ethiopia labda umeiweka wewe EAC) bonge la dude
Screenshot_20220503-191511.jpg
 
Back
Top Bottom