Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hivi umesahau kuna 8lane dongokundu bypass na chaani-changamwe course way.! ama nikuoneshe

hapa yote mombasani masera wangu, ila usikonde.. utazoea tu.
kenya wachana nayo kabisa.!! sio ligi yenu.

nadhan bado unakumbuka hii report hapa ya imf2022 View attachment 2251763View attachment 2251807
View attachment 2251758View attachment 2251760View attachment 2251756View attachment 2251757View attachment 2251759View attachment 2251762
Kwahyo mombasa ina barabara 2 na port
 
Last week nlienda Mbeya ni kweli japo kuna kitu huwa sielewi, kuna wakati nlifanya booking ya Dodoma yaani kwenye website naona last 1 seat kwa economy class ila after check in unakuta cabin in seat kibao empty ,
Kuna some politics kwenye shirika and if this isn’t taken care of italigharimu shirika,
Again gharama ya ticket ya mbeya is way too expensive. Wakati wa fastjet nakumbuka nlikuwa natumia less than 200k return , now with atcl ni zaidi ya 400k . This is quite expensive kwa domestic trip tena ya lisaa.
Hii ni kweli.
 
You mean this life where you've been using an itel L5007 forever? You guys joke a lot. This all boasting my life this my life that is just some projection.

One thing I am sure of is wewe ni fukara,
Kama unajikuta kwa level ya ku brag kwa brand ya mobile device basi I can grade you kwa level za madogo kama kina [mention]Teagas [/mention]
you are no match , neither appealing close to [mention]joto la jiwe [/mention]‘s personal life .
 
Last week nlienda Mbeya ni kweli japo kuna kitu huwa sielewi, kuna wakati nlifanya booking ya Dodoma yaani kwenye website naona last 1 seat kwa economy class ila after check in unakuta cabin in seat kibao empty ,
Kuna some politics kwenye shirika and if this isn’t taken care of italigharimu shirika,
Again gharama ya ticket ya mbeya is way too expensive. Wakati wa fastjet nakumbuka nlikuwa natumia less than 200k return , now with atcl ni zaidi ya 400k . This is quite expensive kwa domestic trip tena ya lisaa.
Kuhsu hyo 1 seat left najua huwa ni tricks za company i think..
Ili ku create sense of urgency ..which is not good
nakubaliana

But kama ulilipa 400k one way mbeya maybe ulichelewa sana kukata..ticket ndo ilivyo kwneye ndege

Mfano kama unataka kusafir next week bei ni 250k
Screenshot_20220606-075240_Chrome.jpg
 
Tunatofautiana sana kwenye hilo...wengine wametake sides, ooh mi nataka fulani ashinde, so what,vita ni hasara hakuna mshindi wa hasara

And the consequences is children and women suffering, and good soldiers dying for nothing but stupid politicians ego.
Nlipokuwa mdogo nlitamani niwe mjeshi but I am grateful Mungu aliniepushia mbali. Kazi nyingine ni ngumu sana .
 
Kuhsu hyo 1 seat left najua huwa ni tricks za company i think..
Ili ku create sense of urgency ..which is not good
nakubaliana

But kama ulilipa 400k one way mbeya maybe ulichelewa sana kukata..ticket ndo ilivyo kwneye ndege

Mfano kama unataka kusafir next week bei ni 250kView attachment 2251811

Around 400k huwa ni return, still too expensive .
 
One thing I am sure of is wewe ni fukara,
Kama unajikuta kwa level ya ku brag kwa brand ya mobile device basi I can grade you kwa level za madogo kama kina [mention]Teagas [/mention]
you are no match , neither appealing close to [mention]joto la jiwe [/mention]‘s personal life .
One thing I am sure of is wewe ni fukara,
Kama unajikuta kwa level ya ku brag kwa brand ya mobile device basi I can grade you kwa level za madogo kama kina [mention]Teagas [/mention]
you are no match , neither appealing close to [mention]joto la jiwe [/mention]‘s personal life .
Whatever rocks your boat mate.
 
Haya ya Tanzania hii hapa funga mjadala sasa, na kama kweli hauko biased kama Tony kubali kushindwa kuliko kukaa hapa unampangia mwenzio cha kuongea ilihali wewe umejawa wivu na tabia za kitoto, haya kubali kushindwa haraka tuone kweli joto la jiwe hakukosea kukuita mtoto
Screenshot_20220606-081611.jpg
tapatalk_-1250334515_687x384.jpg
 
but u are very much ware tht kenya we don't have natural gas.. also south africa, even mauritius and botswana yet?.... malizia wewe mwenyewe
We are not producing LPG yet, we are importing it just like your, we outsmart you on handleling facilities...so lia taratibu
 
Asante Sana kwa kuwaelimisha wakenya wenzako, Kuna watu humu wenye Masters na CPA hadi Leo wanabisha wakidai kwamba "remittance" ni investment na CBK inaweka remittance katika kundi la "Investment"
Tony254
dyfre
NairobiWalker
Don YF

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
In my own understanding I think it's not. They may be right in their own ways depending on how they define FDI and whether it applies to the general understanding/definition of that word. I might be wrong and they might be right and the vice-versa could also be true
 
Haya ya Tanzania hii hapa funga mjadala sasa, na kama kweli hauko biased kama Tony kubali kushindwa kuliko kukaa hapa unampangia mwenzio cha kuongea ilihali wewe umejawa wivu na tabia za kitoto, haya kubali kushindwa haraka tuone kweli joto la jiwe hakukosea kukuita mtoto View attachment 2251828View attachment 2251829
Hakunaga Mkenya atakuonesha Marshalling Yard, hata siku moja...

Mimi kwenye hii Reli sitamsahau Magufuli
 
Back
Top Bottom