Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya SGR is 5 years old
7.8 million passengers carried
1.7 million teus transported


Screenshot_20220606-161814.jpg
 
Kwani hivyo vya Arusha na mbeya haviwezi kukarabatiwa vikawa vya kisasa?

Kwa sasa hakuna ligi kuu huko na Afcon 2027 bado ukarabati wa nini?
Kwanza kuna viwanja viwili kuna nyamagana pia, bora kujengwe majukwaa nyamagana tena nyamagana ni wa serikali sio wa ccm.
Mnapenda kila kitu mwanza tu acheni usukumagang.
wa Arusha hauna nafasi ya kutosha! na mbona kila kitu kijengwe kwenu tu? utaifa upo wapi?

Shiekh Amri Abeid
Sheikh_Amri_Abeid_Memorial_Stadium.jpg


f2fde28854b3d62768c0a857722170c3.jpg


VS

CCM Kirumba
600bc353532e3ed03a2cdcda21f192d9.jpeg


img-621f82a04042e.jpg

1654521930690.jpeg


Hapa wanachimba katikati na kuongeza sitting levels pia kwa nje kuna nafasi unapanuliwa kama Olympic stadion au Estadio Bernabeu!

Msilazimishe mambo Sukumagang!
 
Enyewe ni ukweli Comedy za bongo ni boring sana kama tu bongo movies.

siasa ziliharibu kama si Rostam kuingilia management ya Original comedy ITV kipindi kile Kunyaland isingeona ndani hata kwenye hii sector! Kupindi cha kanumba filamu ilikuwa na nguvu pia!
 
They don't like divergent views, especially from their countrymen. Kuna wakati Geza na Walker255 walizozana sana humu ndani just because Walker wasn't subscribing to their line of thinking. In most cases, wanasemanga watu Kama hao sio patriots and they even go as far as saying they are Kenyans
Huyo Walker 255 unayemsema hapa ndio alikuwa mwiba mkali kwa Wakunya humu ndani usijifanye umesahau yeye ndiye aliyekuwa anakufundisha kingereza, alibadilika siku moja baada ya Magu kumtaka mmoja aliyesomeshwa kwa gharama za taifa kufanya kazi serikalini kwanza, pia kuna mambo mengine alianza kuwa tofauti na serikali baada ya hapo kwa kutetea ushoga na mambo mengine ya watu wa haki za binadamu.

Sasa ukitaka kujua ni kiasi gani ulivyo biased ni pale unapomsifia Walker 255 kwamba ni muungwana just because leo yupo upande wako lkn kipindi kile anakupiga pini na kukufundisha kingereza hakuwa muungwana, yn wewe ni mjinga kweli kweli.
 
ichoboy01 mtu wako Lavrov amekatiza safari yake na ndege yake kulazimika kurudi Russia kwa sababu EU imefunga airspace yake kwa ndege zote za Russia. Alikuwa anaenda Serbia ambayo ni nchi rafiki ya Russia. Hii ni madharau kweli.
 
The biggest SGR control center in East and Central Africa is in Tanzania.

The longest SGR railway line in Africa is in Tanzania.

The biggest hydro power dam in East and Central Africa is in Tanzania.

The biggest ship in East and Central Africa is in Tanzania.

The biggest market in East and Central Africa is in Tanzania called Kariakoo market.

The modern public transport in East and Central Africa is in Tanzania.

The biggest and modern Airports in East and Central Africa are in Tanzania.

The most busiest airport in East and Central Africa is in Tanzania.

The one and only 3 level interchange in East and Central Africa is in Tanzania.

The biggest and modern bus terminals in East and Central Africa are found in Tanzania.

The busiest port in East and Central Africa is in Tanzania.

The biggest football stadium in East and Central Africa is in Tanzania.

The biggest and modern Arenas in East and Central Africa will be found in Tanzania soon.

The longest and modern dual carriage ring road will be found in Tanzania soon.

Na bado kuna mambo mengi sijayaweka hapa, so mtu anayetaka kushindana na Tz kwanza ajipime kwenye hayo mambo aone kama nchi yake inatosha?
Hebu taja hiyo the busiest airport in east and Central Africa inyopatikana Tanzania ni gani na inapokea passengers ngapi kwa mwaka

Longest sgr line is in Tanzania? 😂 😂 😂. How long is it and when did it start operation?

So the Grand Ethiopian Renaissance Dam is no longer the biggest hydropower dam in East Africa? 🤔 🤔

What's the name of that ship which the biggest in East Africa and what's its capacity? 😂 😂 😂

Can you name for us those morden transportation systems found in Tanzania?

Three-level interchange? 😂 Well, can you define what a three-level interchange is? I know several in Nairobi Kenya

What's the name of that busiest port in East Africa found in Tanzania and how many metric tones of cargo does it receive in a year?

Mention those morden and biggest arenas found in Tanzania and their capacity when full.

Jina ya hiyo morden and longest dual carriageway inaypoitkaba Tanzania ni gani and what is it's length in kilometers?

Ni hayo tu kwa sasa. Povu rukhsa
 
Huyo Walker 255 unayemsema hapa ndio alikuwa mwiba mkali kwa Wakunya humu ndani usijifanye umesahau yeye ndiye aliyekuwa anakufundisha kingereza, alibadilika siku moja baada ya Magu kumtaka mmoja aliyesomeshwa kwa gharama za taifa kufanya kazi serikalini kwanza, pia kuna mambo mengine alianza kuwa tofauti na serikali baada ya hapo kwa kutetea ushoga na mambo mengine ya watu wa haki za binadamu.

Sasa ukitaka kujua ni kiasi gani ulivyo biased ni pale unapomsifia Walker 255 kwamba ni muungwana just because leo yupo upande wako lkn kipindi kile anakupiga pini na kukufundisha kingereza hakuwa muungwana, yn wewe ni mjinga kweli kweli.
Umeandika insha refu ila nataka tu kusema jambo moja. Tangu lini mtanzania akajua kiingereza aanze kufunfisha na wengine. Kama Magu mwenyeww hakuwahiijua hiyo lugha sasa vilaza wa humu wataijuaje?
 
Back
Top Bottom