Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ninakubaluana na wewe mkuu katika Hilo, ATCL ndio shirika la ndege lenye bright future nyuma ya Ethiopia Airline, haya mengine yataporomoka kwasababu hawana domestic routes ambazo hazina completion na mashirika ya nje,hivyo kuwahakikishia kipato cha uhakika

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Juzi KQ ya usiku imekuja ikiwa na livery ambayo co ya kq na kila siku inakuja na livery ya kq which means haikuwa ndege ya Kenya

Hii imethibitisha kwamba shirika limeshajifia lina ndege 3 chakavu ambazo ndio wakunya wanakisifia humu ilihali TC ina ndege 11 brand new na nyingine 6 zinakuja
 
Oya hizi ndege zinajaza co kitoto kaka.
Yeah hata mimi niliambiwa na mtu anayefanya airport..pia huwa na cheki at times webiste yao unakuta most seats zimeuzwa..au hakuna seat kabisa..i think in near future wataanza kwenda 4x a week ..wataongeza na Jumapili..thats how i see it

Plus zile 737 Max 9 mbili zikija...I think route zake kubwa itakuwa ni Mumbai, Middle east countires (Dubai , Muscat?, Tel Aviv), na Accra plus Lagos

Plus maybe wanaweza wakaanza na Route za some european cities kama Istanbul, Rome ambazo zinafikika kwa range ya Max 9
 
TBT: The day Museveni hoodwinked Nyayo on Uganda's oil!

MY TAKE
Huwa tunawaambiaa Wakunya watulize bol hawataki sasa ona Moi, Kibaki na Uhuru wote walichezwa na Museveni on EACOP!

This EACOP you keep boasting over is a project on the rocks. Relax.
 
Relax boss, I simply said I don't understand how you tolerate some idiots here juu nimedeal nao ni watu wenye hata ukitoa facts watapinga tu sio eti nakupanga. Unachochwa na ng'ombe kama the best whatever na unachocheka tu.
Wacha ujinga wakudharau watu ikia huna chamana unatoa na unataka ukubalike , ww ni mkunya wa kijinga sana, kama #Tony anataka kuzungumza au kuargue na yoyote hiyo ni hiyari yake sio ww pimbi unanza kumpangia na kuleta dharau za kitoto na kijinga, i pit you young men
 
Huyo ni mjinga sn anataka kumpangia mwenzie cha kuongea kwamba asitoke nje ya mawazo yake.
 
Relax boss, I simply said I don't understand how you tolerate some idiots here juu nimedeal nao ni watu wenye hata ukitoa facts watapinga tu sio eti nakupanga. Unachochwa na ng'ombe kama the best whatever na unachocheka tu.
Ivi ww unakitu gani hasa cha kutukana watu hapa, unajua mda mwingine nachukia sana kenge wanao dharau wengine wakati wao hawana mbele wala nyuma, sasa ww mafii kutoka kenya unamtukana nani hapa? Unajua nini zaidi ya kupost vipicha uchwara hapa?
 
Huyo NairobiWalker ni wazimu sn, nitashangaa nikiona mtu kama Tony254 anakubaliana naye kwa jinsi alivyojaribu kumtoa akili bwana Tony.
 
Wacha ujinga wakudharau watu ikia huna chamana unatoa na unataka ukubalike , ww ni mkunya wa kijinga sana, kama #Tony anataka kuzungumza au kuargue na yoyote hiyo ni hiyari yake sio ww pimbi unanza kumpangia na kuleta dharau za kitoto na kijinga, i pit you young men
It's idiots like you I'm talking about. People shouldn't waste time on you unless they're rubbishing your 'points' like I'm doing now.
 
Stop living in the past Geza
This is not the past, this is the reason why Tanzania is very stable and united country while all our neighbours and majority of African countries are struggling to get peace and unity, Julius Nyerere is the glue of our togetherness, in SADC and within Tanzania. His speeches are important and will remain important like those of Martin Luther King in USA. Kenyans you are missing these types of speeches, that's why you don't have a country, what you have there are Luo, Kamba, Kikuyu, Kalenjin Nations

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Yeah..ni kweli
Domestic routes ndo zinalipa kwa ATC hata CAG alisema hilo
Juzi nilikuwa nacheki route ya mbeya ..hamna seats kama siku 3 mfululizo

..Cha kwanza Goverement iziimarishe Domestic Airports ..

Najua Mbeya imafanyiwa Marekebisho ya runway na mwaka huu watamaliza.

Route ya Mbeya kuna siku inawateja wengi inahitaji A220s kwa masaa mengine..

Nimeshangaa kwann ATC wameagiza Q400 moja tu safari hii..kwa upeo wangu wanahitaji Q400s hata 4 nyingne ..wawe nazo 10 jumla.

Kwann nasema hivi..

Kuna route zinahitaji Kuongezewa Frequency kama .Mbeya , Kigoma..

Kuna route soon zitaongezwa Freq ..Kama Songea

Bado hawajaanza kuruka to Musoma, shinyanga, Iringa, Tanga, Pemba , Mombassa , Lake Manyara , Lindi (With LNG coming lazima utakuwa mji mkubwa..

So Q400s si chini ya 3 ilibidi ziongezewe ..

Kwa International Hyo 787 na 737 Max 9 zitazokuja zitatuweka sawa...Maana Max 9 ita free 787 kwenye route ya mumbai
 
Yet we have a bigger economy than you.
 
Hyper inflation tunazungumza kuhusu inflation zaidi ya 50% per month.
View attachment 2251644
Bwana Tony hyperinflation huwa inanzia kupimwa kwa siku mpka mwezi na mwaka kutokana na kuongezeka kwa exponential daily, na kawaida kwa siku huwa inaongezeka kwa 5% mpka 10% mdio mana kwa mwezi inafika 50% and above , hakuna tofauti ila ww ulichagua kumeasure by month ila huwa inapimwa daily
 
Yeah..ni kweli
Domestic routes ndo zinalipa kwa ATC hata CAG alisema hilo
Juzi nilikuwa nacheki route ya mbeya ..hamna seats kama siku 3 mfululizo

..Cha kwanza Goverement iziimarishe Domestic Airports ..

Najua Mbeya imafanyiwa Marekebisho ya runway na mwaka huu watamaliza.

Route ya Mbeya kuna siku inawateja wengi inahitaji A220s kwa masaa mengine..

Nimeshangaa kwann ATC wameagiza Q400 moja tu safari hii..kwa upeo wangu wanahitaji Q400s hata 4 nyingne ..wawe nazo 10 jumla.

Kwann nasema hivi..

Kuna route zinahitaji Kuongezewa Frequency kama .Mbeya , Kigoma..

Kuna route soon zitaongezwa Freq ..Kama Songea

Bado hawajaanza kuruka to Musoma, shinyanga, Iringa, Tanga, Pemba , Mombassa , Lake Manyara , Lindi (With LNG coming lazima utakuwa mji mkubwa..

So Q400s si chini ya 3 ilibidi ziongezewe ..

Kwa International Hyo 787 na 737 Max 9 zitazokuja zitatuweka sawa...Maana Max 9 ita free 787 kwenye route ya mumbai
Kweli kabisa, Q400 kuna mda unakuta hazipo kabisa zote zimeruka kitu ambacho kinatengeneza delays zisizo na msingi kabisa, unakuta 5H-TCK labda imeenda Mwanza alafu hyo hyo inatakiwa irudi iende Dodoma kitu ambacho kimsingi kinapelekea delay due to late arrival of the equipment, wafanye waongeze hizi q400 ziwe hata 10.
 
Back
Top Bottom