Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Japokuwa haziji kwa sababu ya Royal tour, Eurowings sio seasonal but will be all year round flights starting with weekly 2 flights! Epuka uropokaji!

Kama inaleta watu 300 plus ni wengi , imagine expenditure watakayo fanya itakua na multiplier effect kubwa kwenye . Uchumi . Wakiendelea kuja hivi ndani ya mwaka sector ya utalii itakua kwa kasi mno . Japo wakunya watakua wanapata wivu
 
Kia wametua abiria 172 wengine wameenda Zanzibar!
 
Wewe siku zote huna akili, bado inajiita msomi, inflation rate lazima ipande lakini serikali lazima iwe na uwezo wa kudhibiti isifikie Kiwango cha kuwaumiza wananchi, unadhani huko Wester n countries ilikua miaka yote haipandi, kwanini hivi Sasa wanalalamika?, Hii ni kwasababu hivi Sasa imepanda kwa Kiwango kikubwa wananchi wanalalamika kwamba maisha yamekua magumu.

Hapo kwenu watu wanalalamika kwamba maisha yamekua magumu kutokana na gharama za maisha zimepanda Sana, ninyi mnasema hata Ulaya na marekani pia hali ni hiyo hiyo kwahiyo hakuna sababu ya kulakamika, Sasa Kama hata huko Western countries ambao ni matajiri wanalalamikia serikali zao kuhusu kuongezeka kwa "inflation rate", hawasemi kwamba ni tatizo la duniani kote kwahiyo wake kimya, ninyi watu fukara, very primitive, mnakufa kwa njaa kila siku, badala ya kujipanga na kuzalisha chakula ninyi wenyewe, kwasababu zaidi ya 59% ya " inflation" katika nchi za Afrika inasababishwa na kuongezeka kwa bei za vyakula,badala yake mnakaa hapo Kibera na kujazana ujinga kwamba ni tatizo la duniani kote, mbona Tanzania na Uganda tumefanikiwa kudhibiti "inflation" isiongezeke Sana, vipi ninyi hamuwezi, au Uganda na Tanzania sio sehemu ya Dunia?, Punguzeni ujinga wa kujilinganisha na wazungu, wao hawafi kwa njaa Kama ninyi wapumbavu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa hapo ambapo nimekoleza kwa rangi nyekundu, mbona unarudia nilichosema? Unanicopy halafu unajifanya kunisahihisha? Sasa umenisahihisha wapi hapo? Hebu soma kauli yangu ya awali bila nyege. Mambo ya inflation wachana nayo kama huyaelewi. Sio lazima ulete battle kwenye kila kitu. Inflation target ya EU na Marekani huwa 2%. Huwa hawataki inflation izidi 2%. Mwezi uliopita inflation ya Marekani na EU zote zilikuwa zaidi ya 8%. Sasa hio utasema sio kuongezeka kwa inflation??? Punguzaga ujinga wakati mwingine.

Screenshot_20220604-112835.jpg

Screenshot_20220604-112807.jpg
 
Ukweli ni kwamba, Tanzania ndio chimbuko la SADC, bila Tanzania kusingekuwepo na SADC. SADC ni mtoto wa "Front line states", ambayo ndiyo iliyoongoza mapambano ya kuzikomboa nchi zote zinazounda SADC, ukiacha Lesotho, Zambia, Malawi na DRC, kiongozi wa hiyo "Front line states" alikua ni Nyerere na makao makua ni Dar.

Baada ya ukombozi kukamilika, Nyerere akasema nchi zote zilizokua zikipigania uhuru wa kisiasa ziungane kwa pamoja na kupigana uhuru wa kiuchumi, ndio ikazaliwa SADCC, ambayo baadae ikazaliwa SADC. Makao makua yalipendekezwa yabaki Tanzania, lakini Nyerere akasema yahamishiwe katika ya nchi wanachama wa SADC, ndio yakahamishiwa Botswana.

Kama ambavyo chimbuko la EAC ni Nyerere, hata chimbuko la SADC ni Nyerere (Tanzania). Tanzania ipo karibu zaidi na EAC "Geographically", lakini ni SADC by birth, spiritually, Faith, and Mentally.

Tatizo ni ninyi wakenya mnajaribu kutulazimisha tubaki EAC wakati Kenya na Tanzania hatuna historia yoyote ya mashirikiano zaidi ya mivutano na tofauti za kiitikadi, Kenya mnalazimisha Tanzania iegemee zaidi EAC kwasababu kuu mbili
1)Uchumi wa Kenya unategemea Sana "EAC"
2)Kenya Haina uwezekano wa kuomba kujiunga SADC kutokana na usaliti wenu kipindi cha Ukombozi kusini mwa Afrika

Summary;
Tanzania 80% SADC, and 20% EAC

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ila Mwl nae alikuwa mtu wa ajabu, mbona alikataa makao makuu kuwepo Dar?
 
Na mimi ningekua sijui Dar na Mwanza ungenibeba ujinga unavyo beba wenzako humu mr. google and tweeter., walai mmechoka kama jiji la Mwanza, mnapata tabu sana, sio makosa yetu, ni Kenya ilivyo, mtazoea tu, mimi sina ubaya, poleni kwa ufukara🤣🤣🤣 🤣 🤣 🤣
ww unaijua dar na mwanza 🤣🤣🤣 lini na wapi mzee wewe ulituambiwa ulienda mwanza over 10yrs ago au sio ww

hvi nyinyi hamujui kua tanzania imeinuka within 15 yrs ?? au hamuna taarifa hio

leo hii tanzania inawanyima usingizi hata yale matusi mliokua mukitukana siku hzi hakuna tena kwann??😂😂😂
 
Japokuwa haziji kwa sababu ya Royal tour, Eurowings sio seasonal but will be all year round flights starting with weekly 2 flights! Epuka uropokaji!

Unaweza ukawa unazungumza jambo zuri Sana, lakini ukalivunja nguvu wewe mwenyewe kwa kutaka kuweka vikorombwezo vya uongo, "facts and opinion are not always mixed together"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza ukawa unazungumza jambo zuri Sana, lakini ukalivunja nguvu wewe mwenyewe kwa kutaka kuweka vikorombwezo vya uongo, "facts and opinion are not always mixed together"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
umeonaa enhee... kitasa cha Germany ambassador kwa serikali ya Samia kupitia swali la mtangazaji wa TBC!
 
Sasa hapo ambapo nimekoleza kwa rangi nyekundu, mbona unarudia nilichosema? Unanicopy halafu unajifanya kunisahihisha? Sasa umenisahihisha wapi hapo? Hebu soma kauli yangu ya awali bila nyege. Mambo ya inflation wachana nayo kama huyaelewi. Sio lazima ulete battle kwenye kila kitu. Inflation target ya EU na Marekani huwa 2%. Huwa hawataki inflation izidi 2%. Mwezi uliopita inflation ya Marekani na EU zote zilikuwa zaidi ya 8%. Sasa hio utasema sio kuongezeka kwa inflation??? Punguzaga ujinga wakati mwingine.

View attachment 2250181

View attachment 2250180
Wewe huna akili, Mimi nilijibu post yako uliyosema kwamba "Democratic party wataangushwa katika uchaguzi wa November kutokana na kuongezeka kwa "inflation". Mimi nikasema kwamba huko kwenu jambo Kama hili likitokea badala ya kuisema au kuiadhibu serikali, badala yake mnatetea upumbavu kwa kusema kwamba "it is a global problem, therefore government should not be blamed.

Kuhusu haya Mambo ya uchumi wewe usijaribu kabisa kunichokoza, hizo CPA zako na Masters zako za kusoma kwa ajili ya kupasi Exams" kwa ajili ya kutafuta kazi hapo Kenya, tena kazi zenyewe ni mpaka umjue mtu wa kabila lako sio kutokana na uwezo wako, Kamwe hazina uwezo wa kupambana na Mimi(Form 4, division 4), kwenye uchumi na Medical sciences huko usinichokoze kabisa, utadhalilika.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ila Mwl nae alikuwa mtu wa ajabu, mbona alikataa makao makuu kuwepo Dar?
Mkuu, Nyerere ni mtuu wa kipekee Sana hapa duniani, kumbuka maneno ya Yoweri M7 kwamba yeye amesoma historia ya watu wote weusi duniani tangu kuumbwa kwa Dunia, lakini anaamini kwamba Nyerere ndiye mtu mweusi wa kwanza aliyesaidia jamii ya watu weusi kuliko mtu yeyote yule, ndiyo sababu anasema atajitahidi kuhakikisha kabla yeye hajaondoka duniani, anataka kuona Nyerere anatangazwa kuwa mtakatifu wa kanisa la RC.

Nyerere alikua akizichukulia hizo nchi zote sawasawa Kama alivyokua akiipenda Tanzania. Kama alivyoamua kuhamishia makao makuu ya Tanzania kutoka DSM kwenda Dodoma kwa sababu Dodoma ni katikati ya nchi, ndivyo alivyotaka kwamba nchi za SADC, makao makuu yawe katikati, Kama alivyopendekeza makao makuu ya EAC ya kwanza, yaani Kenya, Uganda na Tanzania yawe katikati(Arusha). Jommo Kenyatta alitaka yawe Nairobi, laki alishindwa na "Philosophy" za Nyerere

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
ww unaijua dar na mwanza 🤣🤣🤣 lini na wapi mzee wewe ulituambiwa ulienda mwanza over 10yrs ago au sio ww

hvi nyinyi hamujui kua tanzania imeinuka within 15 yrs ?? au hamuna taarifa hio

leo hii tanzania inawanyima usingizi hata yale matusi mliokua mukitukana siku hzi hakuna tena kwann??😂😂😂
Bro nenda beach ukajivinjari., 2022 kila kitu kiko wazi sana, jienjoy ni weekend 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
hiyo clip uliyo-comment!
Nimeona mkuu, hii ni aibu kwa Makame Mbarawa. Lakini hivyo ndivyo walivyo viongozi wetu wengi wa kisiasa hapa Africa, hata wasome vipi, lakini kujipendekeza kwa viongozi wetu ndio mtaji, hili tatizo ni kubwa Sana hapa Tanzania.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom