Mbona nilete evidence na dunia ya leo kila kitu kiko wazi sana nyie ndio mnaumwa vile mko fukara zaidi kimaendeleo na ni kubwa karne hii 😆 😆 😆 ., Wewe unataka kuona lami, ingia google type any county in Kenya kisha itisha images of paved roads and those under construction, ukishindwa kuamini maana najua ukweli utakuuma sana, ingia google earth tazama jina la eneo yenye picha you confirm, nini ngumu hapo? yaani unataka nipingane na upumbavu wenu?🤣🤣🤣🤣🤣🤣, I can't feed your stupidity😆😆😆😆🤣🤣🤣, mwageni povu kwa amani, ni weekend.,mimi ni raha tele., nyie mifukara, jikazeni, najua ni uchungu ila zoea😆😆😆😆😆😆🤣🤣Inauma zaidi unapogundua hujaleta evidence hata moja mpk ss ilihali Watz wanazidi kutoa evidence ya road network [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
You should go back and find out what the argument was about with your ignorant and full of jealousy brother.,Kwani ni thika pekee ndio barabara kenya?
👇Oya post finished roads pekee. Sio huu upuuzi unaopost.
Tunajienjoy wao wakihangaika, wanajitia hamnazo, ila tumewatesa sana, na bado 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Anataka upost 23,000km of roads [emoji23][emoji23]....Yani JF imejaa mabongolala huwa nashindwa mnasurvive aje [emoji28]
Yani ukikufa utabebwa na hio lorry. 🤣 🤣 🤣 🤣Pambaneni na ukabila kwanza, kumbuka "yribalism is a primitive way of life, it remains only in primitive communities".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Toa ujinga wako,Makete nyumbani.kwa.Matajiri.wa Tanzania hii ndio kusijulikane?Hivi kwa kusini mwa jagwa la Sahara Kuna nchi ya kujilinganisha na sisi kweli pata picha huko ni makete ambako watanzania wenyewe hawajui ni wapi lakini mtandao wa lami umefika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo barabara imekamilika toka 2021 ,wanasubiria uzinduzi tuu.Wanakagua ujenzi wacha ujinga. Huu sio uzinduzi. Huu ni mchezo wa kitoto sasa. Unataka Wakenya wapost uzinduzi ilhali wewe unapost ujenzi. Akili kichwani basi.
shida ni venye Tz mnajipendekeza sana. mna try sana kuji align na kujifix kwa lazma to the southern countries ilahali nyinyi mpende msipende, mko africa ya mashariki.! hivi mnahisi sana as if south africa na nyinyi nikama chanda na pete ama ndugu wa toka nitoke.. ila kwa ground vitu ni different, hivi zamu zote za xenophobia, nyie ndo wa kwanza kufurushwa.!😆COMESA hakuna kitu mkuu, ndio sababu wakenya walipiga Sana kelele tulipoamua kujitoa COMESA, waulize wakupe takwimu za biashara wanayofanya na COMESA, hawana kwa kukimbilia zaidi ya EAC hapa Afrika, kwa kifupi Kenya hutegemea Tanzania na Uganda tu hapa Afrika, na South Afrika, nchi ambayo waliisaliti enzi za utawala wa wazungu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Lakini bado munabeba wagonjwa kwa machela ju ya barabara mbovu. 🤣 🤣 🤣 🤣Hizi ni za vijijini zina sidewalk mpaka street lights
View attachment 2249860View attachment 2249861
Hizo maps haziko updated,angalia mwaka hapo.Kumbe Tanzania ni hovyo.., ona black lines ni tarmac.., Vumbi nation, sihitaji dhibitisho ya vipicha naeza tumia google earth.,
Asante sana TANROADS kwa kuweka kila kitu wazi chongchung na The best 007 hawatanipotosha,🙏😆😆😆😂😂.,
ona mifano👇👇👇 wasio penda ukweli wajinyonge😜
View attachment 2249380
View attachment 2249397
View attachment 2249395
View attachment 2249398
View attachment 2249400
TARURA yakamilisha barabara za Vijijini 👇Barabara za vijiji in some counties in Kenya.
Makete inaongoza ligi ya baridi,Jana hiyo 👇
Mmekazana mkipost thika Road hasa nionee wivu barabara moja?You should go back and find out what the argument was about with your ignorant and full of jealousy brother.,
Nyie hiyo KeRRA imeanza kitambo wakati huku Tanzania Tanzania Rural and Urban Roads Agency TARURA imeanza 5 years ago na Kwa sasa ndio inaanza kujipanga vizuri baada ya kuongezewa bajeti 👇Ziko mingi sana. Hatuwezi jenga 1000km per year kwa vijiji na tukose evidence. Hizi ni a few projects za last quarter of 2020 pekee. By the time nafikia posts za 2017 kama nyinyi si itakua next month. 🤣 🤣 🤣
Nionyeshe any article from TARURA ambayo inaonyesha wanajenga an average of 1000km of paved roads per year nifunge hii account sahii.TARURA yakamilisha barabara za Vijijini 👇
Hahaha ni vizuri umekubali bado mko nyuma lakini munajipanga. 😀Nyie hiyo KeRRA imeanza kitambo wakati huku Tanzania Tanzania Rural and Urban Roads Agency TARURA imeanza 5 years ago na Kwa sasa ndio inaanza kujipanga vizuri baada ya kuongezewa bajeti 👇