Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Kama tu ile picha unayo lazimisha eti ni Buruburu.., nipe jina ya hii slum nikuangalilie kwa google earth, inaonekana wewe ni fukara hauna uwezo.., 😂 😂 😂 😂 😂
Kama tu ile picha unayo lazimisha eti ni Buruburu.., nipe jina ya hii slum nikuangalilie kwa google earth, inaonekana wewe ni fukara hauna uwezo.., 😂 😂 😂 😂 😂
Unaumia kweli, umeishiwa na jibu kabisaaa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hapa ni wapi? 🤔Yaani wewe unaijua Buruburu kutushinda? basi dhibitisha ukitumia google earth, ukipata hii ni Buruburu nahama jf.., mbona hautaki kudhibitisha mwenyewe kupitia google earth na wameandika eti Buruburu?
View attachment 2245799
VS
View attachment 2245801
Hawa jamaa hawana akili kwa kweli they should come in Tz to study how to make projects zenye akili, sasa hawakujua kwamba stations za BRT zinapaswa ziwe na tuta kubwa kuzuia wanywa chang'aa kama huyo dereva wa hilo lorry? Kweli Watz tuna akili kubwa mno alafu hapo tumetumia only 1% of our brains but tunafanya mambo yatakayo last longer up to 100 yrs forward.Kwa lile tuta la Kituo cha mwendokasi Bongo Kama lorry litagonga kwa namna hiyo abiria watakua safe. Ila kwa hapo ni hatari sana. Kama kungekua na abiria na vioo ndio vingekua visu na kukata abiria wanaosubiri humo ndani.
Nani aliyekukaribisha mpk unaaga.Goodbye, today I'm not in the mood of baseless arguments.
Mara nyingi nmekuwa na mawazo kama haya, hapa kama co kupanua basi wangechimba ili BRT buses zipite chini zikatokee mbele kule alafu basi za kawaida zipite juu ili hapo pabaki na wembamba huo huo ningekuwa na uwezo ningelichora huo mchoro alafu niuweke humu nipate kueleweka vizuri.BRT Phase II
How i wish hii underpass ingepanuliwa!! huyu mkandarasi sijui walimtoa wapi??
View attachment 2245464
Simon what's ur take!
Panafanana sehemu za kayole, ama some areas around umoja., sio Buruburu.,. check google earth utazame kayole, Umoja, Mathare North ama Dandora.., just do it., usilazimishe usichokijuaHapa ni wapi? 🤔
View attachment 2245807
Huyo mdomo wake mpana ndio unaomponza mpk leo anasomaKuwa na nidhamu! Is this how you address your peers? Utapata laana!





Mbona unaweka picha kwa umbali hivyo? unajaribu kupotosha, google earth inaonyesha sehemu kubwa panapendeza kuliko Dar na Mwanza on avaerage, inakuuma najua, zoea sisi sio wenzenu ba mzee 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kakisumu ni kadogo mno lakini kameshadhoofika na utitiri wa slums kama ndugu zake Nairobi na Mombasa 🤣🤣🤣View attachment 2245814View attachment 2245815
Hizi ndio slums za Mwanza?
Bangladesh ya Mombasa unaijua?
View attachment 2245504View attachment 2245505View attachment 2245506View attachment 2245507View attachment 2245508View attachment 2245509View attachment 2245510









heb check jinsi mombasani ilivyo tulia. ata dar yenyewe hapana nusia
Wakunya wa humu wakiweka picha za Mombasa huwa wanaweka picha moja tu ya CBD tena CBD yenyewe imechoka kweli kweli ina majengo ya zamani sn enzi za sultan seyyid sayyid wa Oman. I bet hii Mombasa huenda ni slum county inayoshinda kibera na MathareUkiondoa maeneo machache mno wanamoishi waarabu wenye viwanda Mombasa, Mombasa yote ni uozo wa kinyesi kushoto kulia, CBD yenyewe yote ni slums
View attachment 2245637View attachment 2245638




and can u realy trace any form of slums in kisumu.!?Kakisumu ni kadogo mno lakini kameshadhoofika na utitiri wa slums kama ndugu zake Nairobi na Mombasa 🤣🤣🤣View attachment 2245814View attachment 2245815
Kibera has a population of over 2mil slum dwellers.but if you didn't know, Khayelitsha Slums with a population of 400,000 pple in Cape Town, stands to be the LARGEST SLUMS IN THE CONTINENT OF AFRICA.! if you didn't know, now u knw
nb: Kibera has about 100,000 pple only.! Google it please.......
Khayelitsha, Cape Town, South Africa
View attachment 2245656View attachment 2245657View attachment 2245658View attachment 2245659View attachment 2245660View attachment 2245661