Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tena ni over 11k 😂😂😂
Mbona mnaanza kuzipunguza mapema hivi 🤣🤣🤣

Huyo ni Veronicah ambaye hatujui ni nani. Rais Uhuru mwenyewe kwa mdomo wake alisema amejenga 10,000km Sasa mbona unawasikiliza akina Veronicah na rais mwenyewe keshaongea kwa mdomo wake mwenyewe?
 
Naomba ushahidi bwana Tony
 
I can bet 70% of these roads never built up by uhuru, lakini atakuambia kajenga 11k kilometers, hivi Kenya kuna longest roads nyingine tofauti na hizi?

Hata 3500 hazifiki 😂😂😂

2022-6-3_10-28-53.PNG
 
Kwani hii reginal inaundwa na Uganda pekee, Tanzania ni tegemeo kwa nchi zote ukanda huu, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, DRC, na Kenya & kwenye LPG, Kenya zaidi ya Uganda, ni nchi gani tena zinategemea bandari yenu?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hata Uganda LPG na oil percent kubwa inatoka Tanzania!
 
Kwa Jinsi wanavyoongea watu wa Huu mji nilitegemea Kuendane na maneno yao.

Kwenye Video Properly marked roads ni mtihani , Full of Chaos na hii ni Jumapili je siku za kazi inakuaje. Pia inaonekana Mikokoteni inalipa maana ipo kila kona, Jiji halina Bus la maana hata moja na malori yaliyogeuzwa kubebea abiria yapo kila kona . Wana kamera barabarani ambazo zinasaidia mengi pamoja na kuweka order ila sidhani kama zinatatua mambo hayo. ( Traffic na Police wangekusanya rundo la pato kutokana na kuwaadabisha wanao sababisha kutokua na order mfano maeneo ya pedestrian na kusimamisha magari ovyo kila eneo hasa ya abiria. Moi avenue imesifiwa na mwenye video kwamba ni properly marked road lakini kwa Taifa la uchumj mzito hivyo haina maajabu yoyote.

Pia swala la ukusanyaji taka ni majanga, kuna taka kila eneo.

Ule ugonjwa wa Dar wa Machinga pembezoni mwa Barabara naona tumewaachia wao.

Naona huu mji hauheshimu hata kidogo Pedestrian, wanavuka ovyo hakuna maeneo yao muhimu ya kuvukia na wengine wanatembea juu ya Fly over .

View attachment 2248867
View attachment 2248868
View attachment 2248869
View attachment 2248870
View attachment 2248871
View attachment 2248872
View attachment 2248873

Machinga Kambi popote .

View attachment 2248874
View attachment 2248875

Watu wanatembea juu ya Fly over .

View attachment 2248876
View attachment 2248877
View attachment 2248878

Typical Third world city type with African broken streets.

View attachment 2248883
View attachment 2248884
View attachment 2248885
View attachment 2248886
View attachment 2248887
Sasa uwasikie wenyewe na Kiingereza chao kibovu wakisifia Nairobi utafikiri ni Tokyo fulani.
 
Hadi Sasa you never noticed with Kenyans who hate the government hata ujenge Nini they will always find a thing to complain. Build them roads you will see a section complaining that we don't eat roads, bring a good education system wengine ndio Hao that it is too engaging, Mafuta inakosa worldwide wanasema uhuru ameficha mafuta... It helps sometimes to keep the government in check because anything guys complain in tweeter is picked by the main stream media's but sometimes they too much... They don't know how to appreciate, now a Tanzanian reading might think Kenya is burning but in real sense we having it better than most African countries.
So ni uongo Kenya bado kuna njaa?
Ni uongo Kenya bado kuna slums?
Ni uongo Kenya bado kuna insecurity?
Ni uongo Kenya bado kuna ukabila?
Ni uongo Kenya kuna shida ya maji?
Ni uongo Kenya kuna shida ya umeme?
Ni uongo Kenya kuna gape kubwa la maskini na tajiri?
Ni uongo Kenya inasumbuliwa na magonjwa kuliko nchi yoyote EA?
Ni uongo Kenya kuna rushwa kuliko nchi yoyote EA?
Ni uongo uchumi wa Kenya unamilikiwa na wageni wachache?
Ni uongo Kenyatta family na wanasiasa wachache wanamiliki karibu 3/4 ya ardhi yenye rutuba Kenya?

Fikiri alafu tafakari, usiwe mjinga.
 
Hadi Sasa you never noticed with Kenyans who hate the government hata ujenge Nini they will always find a thing to complain. Build them roads you will see a section complaining that we don't eat roads, bring a good education system wengine ndio Hao that it is too engaging, Mafuta inakosa worldwide wanasema uhuru ameficha mafuta... It helps sometimes to keep the government in check because anything guys complain in tweeter is picked by the main stream media's but sometimes they too much... They don't know how to appreciate, now a Tanzanian reading might think Kenya is burning but in real sense we having it better than most African countries.
Hawa ni mbuzi, ata upige guitar hawawezi kuskiza., utachoka bure, jienjoy, they can't change facts kuhusu Kenya ndia maana wamekimbilia tweeter, reputable bodies zimewaumbua, they have nothing substantial.
 
Back
Top Bottom