Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
tutafika

tutafika

Heheheheeee Antananarivo imekuwa Dar.I am trying to imagine how a dumping site is expected to remain clean. Secondly, Murang'a road is in Nairobi, not murang'a. Lastly, stop being desperate, what do you have to say about these pictures of your towns and cities? View attachment 2247389View attachment 2247390View attachment 2247391View attachment 2247392View attachment 2247393View attachment 2247394View attachment 2247395View attachment 2247396















Eti mkenya anaita Dar chafuDanganyika is extremely filthy. Dar is a slum ni mji mchafu sana sana












Hivi ule wa Ali Hassan Mwinyi (Tabora) na lake Tanganyika (Kigoma) navyo ni vya CCM?Huo ni wa CCM.. mama anaongelea vya serikal.. ndo mana hajautambua wa mwanza..
Hivi vifaru mnanunua nje wakati cc tunatengeneza wenyewe, bora hizo pesa mngetupa cc tuwatengenezee.
Kenyan artillery is quite formidable...a product of the shifta war
then zote ni brand new.!🔥 state-of-the-art artillery. from the first one to the last one i saw today... 🚜🚜 💣💥Hivi vifaru mnanunua nje wakati cc tunatengeneza wenyewe, bora hizo pesa mngetupa cc tuwatengenezee.
Hivi ule mpango wa kujenga line iliyokuwa inaanzia Uvinza kwenda Musongati Burundi, ulishakufa?Ukisema lazma ipite Isaka hata nilipowaambia umbali ni mkubwa kwa Burundi na Kagame ni tatizo haaminiki na wadau wenzie yaani Burundi na DRC!
Hii ni report ya 2019
Km of roads network in Tanzania. Kwa sasa tudeal na paved roads tu
TARURA (district roads) = 2,250.69km
TANROAD (Truck & Regional) = 8,671km + 1,808km
Total of paved roads = 12,729.69 km mwaka 2019
View attachment 2247537View attachment 2247538
Imebid nitafute hii comment.. kwa kweli imenichekesha sana 😅.. na nyie mnamwamin kweli 2013 mlikuwa na 13,000 km of paved roads. Na yey kajenga 10,000 km of paved roads? 🤣Inasemekana Kenya ina 23,000 kilometres of paved roads. Hii ni kulingana na serikali ya Kenya. Ujumbe huu umetolewa leo wakati wa sherehe la madaraka. Ujumbe huo unasema kwamba 2013 wakati rais Uhuru anashika usukani wa nchi, Kenya ilikuwa na 13,000 km of paved roads. Uhuru amejenga 10,400 km of paved roads katika miaka 9 ya uongozi wake. Kwa hivyo kwa ujumla Kenya ina zaidi ya 23,000 km of paved roads kulingana na serikali ya Kenya. Teargas kweli Uhuru hacheki na kazi.
Cc tuusan
Cc