Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂 Nimecheka sana, kwahyo unalinganisha NAIROBI na Bunda.? a village center in Musoma district.? Au unachanganyikiwa sasa.? 👇View attachment 2247257View attachment 2247258
You made a great deal out of something so small bongolala. Kenya ndio ngome ya mboga na matunda ukanda huu. We are the leading exporters of fresh fruits and vegetables in this region sasa unawashwa na nini kwenye hiyo picha ama unataka nasi pia tuweke picha za vibanda vya kuuza matunda kando ya barabara ndio uridhike? You must be an a**hole!
 
Aisee
IMG_20220601_171242.jpg
 
Ameirudia mara nyingi. Hio ndio itakuwa legacy yake. Kujenga 10,000 km of tarmac roads ndani ya 10 years sio mchezo
Haiwezekani hata siku moja, unless hamjui kilometers ya lami ni bei gani!

Kilometer 1 ya lami ni kes 100m kwa uchache, unataka kusema uhuru katumia 1 trillion kes kwa miaka 9 kwenye kujenga lami tu, leta hiyo mikataba ya thamani hiyo! Anawadanganya mafala!
 
Unaniuliza na nyie hu Google kila k2?wamewazidi by far..last time I checked Egypt paved nearly 50k kms, Morocco over 30kms
Why are you not including Tanzania with her 9,000km of paved roads?😂😂
 
Kenya is leading , mnapenda sifa sana . Labda mna lead kuja kukunua machungwa , ndizi na parachichi Tanzania
Hautakuwa wa kwanza wala wa mwisho kukana data zinazoweka Kenya mbele ya taifa lenu. Kama mnaamini tunanunua kutoka kwenu ni nini kinawazuia kuuza direct kwenye hizo mataifa za kigeni ili nanyi pia mtambulike? You must be so stupid to sell to us then we resell to international markets.

Even if you shout from the top of mount Kilimanjaro, it won't change this fact below 👇 👇
 
Haiwezekani hata siku moja, unless hamjui kilometers ya lami ni bei gani!

Kilometer 1 ya lami ni kes 100m kwa uchache, unataka kusema uhuru katumia 1 trillion kes kwa miaka 9 kwenye kujenga lami tu, leta hiyo mikataba ya thamani hiyo! Anawadanganya mafala!
Nyamaza. Usilazimishe tufanane, Kenya has a total paved roads of 23,000km to Tanzania's 9,000km.
 
Haiwezekani hata siku moja, unless hamjui kilometers ya lami ni bei gani!

Kilometer 1 ya lami ni kes 100m kwa uchache, unataka kusema uhuru katumia 1 trillion kes kwa miaka 9 kwenye kujenga lami tu, leta hiyo mikataba ya thamani hiyo! Anawadanganya mafala!
Uhuru ametumia zaidi ya ksh 1 trillion kwenye mabarabara. Wacha ubishi wewe mtu. Budget ya infrastructure ya Kenya ni ksh 200 billion kila mwaka na zaidi ya nusu ya hii pesa inakwenda kwenye mabarabara. Hio budget inafadhiliwa na taxes na mikopo ambayo GoK imeomba kwa miaka 9. GoK imeomba mikopo zaidi ya ksh 3 trillion. Sasa wewe unaongea kuhusu ksh 1 trillion pekee? Geza Ulole unamsikia mwenzako anavyosema? Kwamba Kenya haiwezi kupata ksh 1 trillion ya kujenga mabarabara.
 
Currently over 3,000km of roads are being paved. Next year wakikuuliza how we have reached 26,000km of paved roads waonyeshe hii table.

Screenshot (50).png
 
Kama ni umeme unawekewa fence, mbona poles Kenya Power ama Tanesco hazina fence?

The tracks are not necessarily electrified. Power is supplied overhead.

Fence ni ya kuzuia wanyama ama watu wasikaribie train tracks, causing accidents and derailments. Kenya's SGR also has a fence the whole way.
Mbona unajiuliza alafu unajijibu mwenyewe, umepanic au?
 
Ni ngumu kutenganisha Kenya na uchafu kama ilivyo ngumu kutenganisha Kenya na slums, Murang'a without filter View attachment 2247230View attachment 2247231
I am trying to imagine how a dumping site is expected to remain clean. Secondly, Murang'a road is in Nairobi, not murang'a. Lastly, stop being desperate, what do you have to say about these pictures of your towns and cities?
Screenshot_20220601-174712~2.png
Screenshot_20220601-173831~2.png
Screenshot_20220601-173738~2.png
Screenshot_20220601-174853~2.png
Screenshot_20220601-174758~2.png
Screenshot_20220601-174124~2.png
Screenshot_20220601-174452~2.png
images - 2022-06-01T174236.157.jpeg
 
Back
Top Bottom