Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You made a great deal out of something so small bongolala. Kenya ndio ngome ya mboga na matunda ukanda huu. We are the leading exporters of fresh fruits and vegetables in this region sasa unawashwa na nini kwenye hiyo picha ama unataka nasi pia tuweke picha za vibanda vya kuuza matunda kando ya barabara ndio uridhike? You must be an a**hole!
We ku**** usije ukanitukana mbwa wewe
 
Nini cha ajabu?Hawa
Screenshot_20220601-175549_Chrome.jpg
wakuria wana hasira balaa kama wameru wa maua,mbere na embu 😁😁😁
 
Uhuru ametumia zaidi ya ksh 1 trillion kwenye mabarabara. Wacha ubishi wewe mtu. Budget ya infrastructure ya Kenya ni ksh 200 billion kila mwaka na zaidi ya nusu ya hii pesa inakwenda kwenye mabarabara. Hio budget inafadhiliwa na taxes na mikopo ambayo GoK imeomba kwa miaka 9. GoK imeomba mikopo zaidi ya ksh 3 trillion. Sasa wewe unaongea kuhusu ksh 1 trillion pekee? Geza Ulole unamsikia mwenzako anavyosema? Kwamba Kenya haiwezi kupata ksh 1 trillion ya kujenga mabarabara.
Nyamaza. Usilazimishe tufanane, Kenya has a total paved roads of 23,000km to Tanzania's 9,000km.
Kagombaneni na WB 😅😅😅

 
Tukianza hii game hamtakaa hapa na Amani trust me picha mnaokota wakati sisi tupo kwa groud 😁😁😁😁😁
kwa hivyo hiyo number plate kwenye hiyo gari sio ya Tanzania? 😂 😂
Na wewe leta basi gari likiosha barabara za Nairobi na kinyesi tuone
 
Back
Top Bottom