Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na wao 2020 wako na 11,000km 🤣🤣🤣alaf anakuja na data za kupika zile ambazo uhuru hutumia kuwadanganya wampe kura tena ili awachezee kende mpaka za wajukuu zao
Kuna mtu alidai the 84 km dual carriage in Kenya is the longest in East and Central Africa

tuusan kuna siku uliuliza kuhusu barabara za Kenya. Hapa kuna 84 kilometre dual carriageway ambayo itamalizika mwishoni mwa mwaka huu. Rais wa Afdb Akinwumi Adesina amekuja kutembelea mradi huu. Hii ndio itakuwa the longest dual carriageway road in East and Central Africa. Hakuna barabara ndefu yenye leni nne kushinda hii. Inaitwa Kenol-Marua road. 84 kilometres ya dual carriageway sio mchezo.



nilipomuonyesha Dodoma ring road 112.2 km kabadilika anadai wao wana 150 km.

Wow. Thank you for the information. Geza Ulole sasa umesikia? Kuanzia Nairobi CBD hadi Marua ni dual carriageway distance ya takriban 150 km. Sitakuita mpumbavu kama wewe ulivyoniita ila jifunze kwamba mwishoni mwa mwaka huu Kenya itakuwa na 150 km of continuous dual carriageway.
 
Hii ni report ya 2019
Km of roads network in Tanzania. Kwa sasa tudeal na paved roads tu

TARURA (district roads) = 2,250.69km
TANROAD (Truck & Regional) = 8,671km + 1,808km
Total of paved roads = 12,729.69 km mwaka 2019


View attachment 2247537View attachment 2247538
Kila mwaka barabara zinazinduliwa mpya...sinijuzi tu Pres SSH kazindua zaidi ya 400km Tabora,miaka miwili ya 2020 na 2021 hakuna mwaka hawajazindua barabara zenye lami....itakua washafika 14k +++
 
Raw Sewage kila pahali hadi kwa beach.
Image
Kubabake hawa mbwa ni wachafu sana. Hii ndo Mara yangu ya kwanza kuona sewage baharini.
Danganyika is extremely filthy. Dar is a slum ni mji mchafu sana sana
There's a report I read a few years back that Dar cbd ni sehemu chache sana ziko connected to sewerage system. Seeing this picture, it's hard not to believe such stories

Huo ni mfereji wa mto.
 
Hivi ule mpango wa kujenga line iliyokuwa inaanzia Uvinza kwenda Musongati Burundi, ulishakufa?
Mradi wa Uvinza-Msongati-Gitega upo kwenye manunuzi

Only SGR Isaka-Keza-Kigali imekwama na tatizo ni Kagame inakaa Burundi na DRC wanamuhepa!
 
Kila mwaka barabara zinazinduliwa mpya...sinijuzi tu Pres SSH kazindua zaidi ya 400km Tabora,miaka miwili ya 2020 na 2021 hakuna mwaka hawajazindua barabara zenye lami....itakua washafika 14k +++
Zanzbar nayo si Tanzania? Tuwaongezee na hizi za kutoka Zanzbar (2018)..
kwa zanzbar mpk sasa (2022) tuassume tuna 1000km of paved roads
20220601_212424.jpg
 
na wao 2020 wako na 11,000km [emoji1787][emoji1787][emoji1787]alaf anakuja na data za kupika zile ambazo uhuru hutumia kuwadanganya wampe kura tena ili awachezee kende mpaka za wajukuu zao

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom