tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Unawazimu broWhy are you not including Tanzania with her 9,000km of paved roads?![]()
Unawazimu broWhy are you not including Tanzania with her 9,000km of paved roads?![]()
Tuzo imekuja kwetu ama kenya iko Asia?foolI usually tell them that no President in East Africa, both dead and alive can rival what Uhuru has done in infrastructure.
Ikiwabana waonyeshe barabara wanakimbia . Hawana hata barabara hata moja ya 1500km hatafu watakuambia wana barabara zenye urefu wa 23kKagombaneni na WB
Kwa ujenzi huo na matumizi hayo ya pesa si Uhuru angechukua tuzo juzi ya miundombinu ambayo Samia amepewa.Uhuru ametumia zaidi ya ksh 1 trillion kwenye mabarabara. Wacha ubishi wewe mtu. Budget ya infrastructure ya Kenya ni ksh 200 billion kila mwaka na zaidi ya nusu ya hii pesa inakwenda kwenye mabarabara. Hio budget inafadhiliwa na taxes na mikopo ambayo GoK imeomba kwa miaka 9. GoK imeomba mikopo zaidi ya ksh 3 trillion. Sasa wewe unaongea kuhusu ksh 1 trillion pekee? Geza Ulole unamsikia mwenzako anavyosema? Kwamba Kenya haiwezi kupata ksh 1 trillion ya kujenga mabarabara.
Sio lazima Afdb impatie tuzo Uhuru. Wakenya watamkumbuka Uhuru milele.Kwa ujenzi huo na matumizi hayo ya pesa si Uhuru angechukua tuzo juzi ya miundombinu ambayo Samia amepewa.
Umesoma post niliokujibu before au ndo hamnazo🙄kwa hivyo hiyo number plate kwenye hiyo gari sio ya Tanzania? 😂 😂
Na wewe leta basi gari likiosha barabara za Nairobi na kinyesi tuone
Hahaha. Hii sikuwa nimeiona. Duh! Sijawahi kuona kitu kama hiki. Lorry inasafisha barabara hadi inang'ara.Dar the sewage city, hadi mavi inatumika kuosha barabara. 🤮🤮🤮
![]()
![]()
Rivian electric trucks zimefika Kenya for testing. 🙌 The Kenyan engineer who helped build the company ni kama ametukumbuka. 😁☺️
![]()
Rivian electric trucks zimefika Kenya for testing. 🙌 The Kenyan engineer who helped build the company ni kama ametukumbuka. 😁☺️
![]()
Danganyika is extremely filthy. Dar is a slum ni mji mchafu sana sanaRaw Sewage kila pahali hadi kwa beach.
![]()
Duuhh aiseee huu ni ufukara wa mwisho kabisa, shame on GoK.Ndioo![]()