Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inasemekana Kenya ina 23,000 kilometres of paved roads. Hii ni kulingana na serikali ya Kenya. Ujumbe huu umetolewa leo wakati wa sherehe la madaraka. Ujumbe huo unasema kwamba 2013 wakati rais Uhuru anashika usukani wa nchi, Kenya ilikuwa na 13,000 km of paved roads. Uhuru amejenga 10,400 km of paved roads katika miaka 9 ya uongozi wake. Kwa hivyo kwa ujumla Kenya ina zaidi ya 23,000 km of paved roads kulingana na serikali ya Kenya. Teargas kweli Uhuru hacheki na kazi.

Cc tuusan
Cc
 
Image

Ziko wapi hizo 23k? Alafu mkiwa humu JF mnakubali ni 23k ila mkiwa twitter mnakataa kata kata, sijui mnamkomoa nani.
 
23,000 for 7 days total, some vizuri acha kujifanya hujui kiingereza. Sasa anasema 31,000 per day. Seriously?
Exactly very possible, hata hiyo ni kidogo if u know the total number that uses Mombasa road..,
 
Ziko wapi hizo 23k? Alafu mkiwa humu JF mnakubali ni 23k ila mkiwa twitter mnakataa kata kata, sijui mnamkomoa nani.
Mimi ninareport kilichosemwa leo na serikali ya Kenya kwenye sherehe ya madaraka. Whether utaamini au utapinga ni haki yako. Yangu ni kureport yaliyosemwa. Jamaa wa kazi amefanya kazi.
 
Exactly very possible, hata hiyo ni kidogo if u know the total number that uses Mombasa road..,
True, watu washazoea expressway, sikuizi hadi mat zinaitumia sana. Yet it's just on pilot phase, when everything is complete itakua a total gamechanger.
 
mm najua maana ya main road na streets hzo unazoonesha ww ndio hzo nkurunah road sijui moi avenue road na mbona haziitwi streets ?? 🤣🤣 au walikosea budaa

tatizo lenu hakuna elimu iliyowasaidia nyinyi zaidi ya kuvukia barabara tu na kujenga magorofa ya matope 😂😂😂😂

siku mombasa itafikia level ya streets za mwanza nitag mm nifunge acc mamaae

Unajitia hamnazo tu😂😂😂😂😂, yaani ni too obvious u can't compare Mombasa and any other town in Tanzania nje ya Dar, tusisumbuane tafadhali😂😂😂😂😂, ngojeni wakati wenu utafika tu ata kama sio hiki kizazi chenu, pole naelewa haya maumivu na wivu😂😂😂😂Hizi clips zako nilizihifadhi, unajipiga risasi kwa mguu,Mwanza iko down maze, ni vyema kujipa matumaini 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1654077919896.png
 
True, watu washazoea expressway, sikuizi hadi mat zinaitumia sana. Yet it's just on pilot phase, when everything is complete itakua a total gamechanger.
Alafu ata sioni haja ya kuitumia sana, lately chini hakuna jam as such during rush hour, vehicles zimepungua, the traffic ina flow smoothly, only not speed kama juu., gridlock nikama inaisha.
 
Ziko wapi hizo 23k? Alafu mkiwa humu JF mnakubali ni 23k ila mkiwa twitter mnakataa kata kata, sijui mnamkomoa nani.
Ni maumivu kuona kanchi kadogo kama Kenya kakiwa na km nyingi ya paved roads kuliko bonge la nchi Tanzania, ni aibu sana, alafu total road network and connectivity in Africa ni SA pekee is ahead of Kenya, najua hili mtapinga kama ilivyo kawaida yenu.., na unataka kujilinganisha na sisi., nyie bado mko porini tukilinganisha bana, yaani ata Kenya ikibakia na 13,000km in relation to its size, it will still be ahead of Tanzania on average, nyie ni below 15,000km na hiyo size yoote ya nchi! 😂 😂 😂 😂 😂 ..,
1654078791166.png
 
Back
Top Bottom