Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mdanganyikan atajuaje venye city inakaa wakati dar-is-a-slum ni kijiji cha uvuvi?
Hii kitu unaona hapo chini.? 👇 Unakaa City.? 😂😂
Screenshot_20220521-163601.jpg
 
Nashangazwa sana na hawa wakenya aisee 😂😂 mji wa mombasa ni wa watu lazy na .askini kwa kiwango kikubwa, wanataka walinganishe na Mwanza 😂😂. Labda kwa interchange na bandari tu watashinda hiyo battle
Mombasa inaishinda Mwanza hata kwa ujenzi bongolala. hizo hapo juu ni eneo la makazi iitwayo Kizingo. Heba leta picha yoyote ya Mwanza kama hizo tuone
 
Kuvumbua umesema wewe! Mimi nimeomba kampuni ya money transfer service iliyotumia that catchy phrase kabla ya NALA!

Just creative vibes...!!










Kama tunazungumza kuhusu ni kampuni gani ilikuwa ya kwanza kuadvertise hio common phrase basi Nala ndio kampuni ya kwanza kufanya hivyo.
 
Uzuri nipo Mwanza 😂😂 utatataga 👇 yani unapost walk ways.? Ulifkir Mwanza hakuna .? Mwanza is beautiful and clean (The tanzania's cleanest city) nakuwekea picha bila filter wala nini.. hiyo mombasa ni uchafu tu mbele ya Mwanza View attachment 2246393View attachment 2246397View attachment 2246401View attachment 2246405View attachment 2246407View attachment 2246412View attachment 2246417walk ways Mwanza zipo hadi mitaani uko
Sama boy 255 najua Mwanza ndio nyumbani kwenu lakini ukweli usemwe. Mwanza imeparara vibaya sana. Hebu post jengo ndefu zaidi Mwanza tuone kama linaweza kushinda na majengo marefu ya Mombasa.
 
Hongera [mention]TANESCO [/mention]
Leo nilikuwa na changamoto ya umeme nyumbani kwangu lakini kupitia hii app mpya ya nikonekt kutoka TANESCO nimepata msaada ndani ya lisaa, yaani walifika kwangu na kutatua tatizo.
[mention]Simon [/mention] mmeupiga mwingi kinyama.

Hii huduma waliizindua juzi.

NB; App ya nikonekt nilishusha kwenye simu ya android.
View attachment 2246189
Tony254 bado unaamini mpo mbele ya Tanzania kwenye IT?
 
Blessed Tanzania ndani ya wilaya ya Bunda mkoani Mara 👇.. View attachment 2246464View attachment 2246465View attachment 2246468jamaa zetu wa north vitu kama hiv huko ndani ndani kwao wanavionaga tu kwenye Tv 😂😂😂 yani kwao kula matunda ni utajiri.. wazembe sana hawa wakunya, hawawezi kuzalisha hata chakula chao wenyewe
Tanzania hakuna mkoa uende ukute chakula ni bei ghali tofauti na mkoa mwingine, yaani chakula ni fairly easy to access on the whole country with affordable prices, kunyaland chakula ni issue, hakuna penye ahueni, sio mashariki wala kusini kote chakula ni ghali 😅😅😅
 
Back
Top Bottom