Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

heb check details vizuri mzee... hii ni direct from my A52 Samsung phone camera.. lol.!
 
Hadi Kigogo 2014,pia walimuomba awe anatoa habari za Kenya akawaambia tengenezeni Kigogo wenu
🤣 nenda tik tok sasa 90% ya wakunya wanatumia trending za TZ kupost,comedy,music,sports n.k na ukuti Mtz akijishughulisha na vitu vya kunyaland,yan sisi hatuna habari nao kabisa,wao sasa kila kizuri chetu na wao chao
 
Uzuri nipo Mwanza utatataga yani unapost walk ways.? Ulifkir Mwanza hakuna .? Mwanza is beautiful and clean (The tanzania's cleanest city) nakuwekea picha bila filter wala nini.. hiyo mombasa ni uchafu tu mbele ya Mwanza View attachment 2246393View attachment 2246397View attachment 2246401View attachment 2246405View attachment 2246407View attachment 2246412View attachment 2246417walk ways Mwanza zipo hadi mitaani uko

Tarehe 26/05/2022.
Mbona huwa hawa wakunya hawapost picha walizopiga wenyewe!
 
Screenshot_20220531-233401.jpg
 
Wacha ujinga. Huo ni msemo tu wa mtaani. Nala hawakuvumbua huo msemo. Huo msemo husemwa na mtu anayepokea pesa na huwa anamuambia anayetuma pesa atume na ya kutoa. Sio kila mtu anayepokea pesa ana pesa ya kutoa. Huu msemo ni wa kawaida sana kwa watu masikini hususan wale ambao hawana pesa ya kutoa. Mna ushamba sana. Nala hawajavumbua chochote hapo. Nala wenyewe hawakudai kwamba wamevumbua huo msemo.

Cc chongchung
Kuvumbua umesema wewe! Mimi nimeomba kampuni ya money transfer service iliyotumia that catchy phrase kabla ya NALA!

Just creative vibes...!!









 
Blessed Tanzania ndani ya wilaya ya Bunda mkoani Mara 👇..
IMG_20220531_112246_911.jpg
IMG_20220531_112312_264.jpg
IMG_20220531_112319_109.jpg
jamaa zetu wa north vitu kama hiv huko ndani ndani kwao wanavionaga tu kwenye Tv 😂😂😂 yani kwao kula matunda ni utajiri.. wazembe sana hawa wakunya, hawawezi kuzalisha hata chakula chao wenyewe
 
Back
Top Bottom