Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii imekaaje ? 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220531-164620.png
    Screenshot_20220531-164620.png
    109.3 KB · Views: 15
Check for your Country's absolute and comparative advantage for different items 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220531-164513.png
    Screenshot_20220531-164513.png
    100.6 KB · Views: 17
key word
people can not afford food
nye nye nye GDP
@Tony254
dyfre
Nicxie
Don YF
Don YF

Ninyi endeleeni kushabikia UN offices na Google ofisi za Nairobi na Express high way wakati matatizo ya msingi(basic needs) hamna habari nazo.

Kenya mtaendelea kuwa ni taifa lenye watu wenaopata taabu na kuteseka zaidi hapa Afrika kwasababu hata vijana Kama ninyi bado mnashabikia maisha ya watu wenye hali ya juu na Kati na kutothamini kabisa mahitaji muhimu ya watu wa hali ya chini ambao ndio zaidi ya 80% ya wakenya wote.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Uzuri nipo Mwanza 😂😂 utatataga 👇 yani unapost walk ways.? Ulifkir Mwanza hakuna .? Mwanza is beautiful and clean (The tanzania's cleanest city) nakuwekea picha bila filter wala nini.. hiyo mombasa ni uchafu tu mbele ya Mwanza View attachment 2246393View attachment 2246397View attachment 2246401View attachment 2246405View attachment 2246407View attachment 2246412View attachment 2246417walk ways Mwanza zipo hadi mitaani uko
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tony254 bado unaamini mpo mbele ya Tanzania kwenye IT?
Ndio. Hebu njoo Kenya ujionee. Usisikilize propaganda za watu. Ukija nitakutembeza Nairobi. Huku stima haipotei hovyo. Wi-Fi watu wengi wameziweka majumbani na ni fast. Wi-Fi ni unlimited, sio mambo ya kusumbuana na bundles. Bora ununue router ya $40 upo sawa. Unalipa $15 au $20 kwa mwezi na unapata unlimited internet.
 
Wakenya wakwamisha biashara mpakani Namanga kwa hofu ya kupitwa na Tanzania..

Ndio maana Mwendazake alikuwa anawablacklist kwa sababu hamjiamini 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220531-165310.png
    Screenshot_20220531-165310.png
    125 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220531-165410.png
    Screenshot_20220531-165410.png
    42 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220531-165730.png
    Screenshot_20220531-165730.png
    39.9 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220531-165530.png
    Screenshot_20220531-165530.png
    42.2 KB · Views: 16
SSH mtu ya watu,hapa Madam President amealikwa kuwa mgeni Rasmi kwenye party ya mwanachama wa Upinzani,Joseph Mbilinyo a k a Sugu 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220531-224557.png
    Screenshot_20220531-224557.png
    209.9 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220531-224422.png
    Screenshot_20220531-224422.png
    209.9 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220531-224151.png
    Screenshot_20220531-224151.png
    202.1 KB · Views: 16
🤣 nenda tik tok sasa 90% ya wakunya wanatumia trending za TZ kupost,comedy,music,sports n.k na ukuti Mtz akijishughulisha na vitu vya kunyaland,yan sisi hatuna habari nao kabisa,wao sasa kila kizuri chetu na wao chao
Juzi nikiwa home visit ikapita gari la campaign inapiga ngoma la balaa mc nakuja kucheza kwao sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom