Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In Kenya cholera outbreaks occurs in Nairobi almost every after one year.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Umesema vyema sasa nairobi inaoccur ALMOST meaning si kila siku au mwaka ni miaka michache lakini dar na mikoa mingine ni kila mwaka unatokea mkurupuko wa shonde..

imagine adi maslums zinaflood


Waaah...nimecheka kweli
Screenshot_20220529-235554.jpg
Sewage_in_the_street_in_Tandale%2C_Dar_es_Salaam_(3233303875).jpg
Screenshot_20220529-235538.jpg
Screenshot_20220530-090051.jpg
 
Ni maamuzi tu ya Ku host tu ki commit we need like 500billion tsh to invest in 5 years and in 2027 we are ready to host ..

500 billion tsh can build
1 good stadium of 50k
2 good stadiums of 30k
And training facilities in those regions..

Inabaki tu kurekebisha few stadiums and we are ready
Mtu ataekuja kuwa Rais na kuja kuinvest massively kwenye viwanja vya michezo mim naona ni Majaliwa tu 😅
sijui kwann lkn naona yey (endapo akiwa Rais) atafanya vizur sana kwenye miundombinu ya michezo
 
Mnakata na naona tandale slum,kariakoo..
na nashangaa wanaupinga nyumbani kwao na inaonekana wazi,hili ni kwamba sehemu chache ya dar ni urban na kubwa ni slums
Screenshot_20220530-090429.jpg
Screenshot_20220530-091157.jpg
39751258-aerial-view-of-the-city-of-dar-es-salaam-showing-the-densely-packed-houses-and-buildi...jpg
daressalaam.jpg
0b7e490a-76cc-4d43-9e2a-540107c86922_rw_1920.jpg
 
Na hili mnasemaje wadau...Kigoma na maeneo mengineo si kuzuri .
Hunger crisis in new york of africa
Mnasema mnaweza kujitosheleza na chakula cha ndani ila nashanga hawa chakula haiwafikii
Screenshot_20220530-091242.jpg
Screenshot_20220530-091209.jpg
Screenshot_20220530-091300.jpg
Screenshot_20220530-091340.jpg
Screenshot_20220530-091322.jpg
 
'hidden hunger' mnaficha adi njaa ili msigunduliwe mko vibaya,ukatili kweli si mseme msaidiwe,malnultrition,drought,famine
 
Umesema vyema sasa nairobi inaoccur ALMOST meaning si kila siku au mwaka ni miaka michache lakini dar na mikoa mingine ni kila mwaka unatokea mkurupuko wa shonde..

imagine adi maslums zinaflood


Waaah...nimecheka kweliView attachment 2244126View attachment 2244130View attachment 2244129View attachment 2244131
Just because nyie mna ma slums Kenya nzima mnafosi na cc tuwe nayo? Umenoa mzee, pambaneni muyaondoe ma slums la sivyo hata iweje nchi yenu itabaki kuwa the failed state ever in the world. Msifosi tufanane, just stick to your lane please
 
Mtu ataekuja kuwa Rais na kuja kuinvest massively kwenye viwanja vya michezo mim naona ni Majaliwa tu
sijui kwann lkn naona yey (endapo akiwa Rais) atafanya vizur sana kwenye miundombinu ya michezo
Akipita huyu mzee naamini lazima akupe shavu mana unampigania sn, all in all he deserves to be our upcoming PURT, baada ya Majaliwa aje Bashe cjali asili yake, tupa kule cz ana uwezo na anamkaribia JPM kdg, nasema kdg mana kwa hapa Africa hakujawahi kutokea Rais mwenye uwezo mkubwa kushinda JPM.
 
Back
Top Bottom