Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Facts...
Screenshot_20220530-091134.jpg
Sewage_in_the_street_in_Tandale%2C_Dar_es_Salaam_(3233303875).jpg
8029130921_e9a5ab0981_b.jpg
 
Chalinze-Morogoro highway is our economy mainstay si sawa kuwa toll highway wakati is the only link to Dar port from upcountry! Waziri aepuke mradi wa namna hii. Siafiki hapa!
Something sounds good and curious. Umenipa jambo ambalo sikuwa nimelifikiria hapo kabla. Ni kweli wasikurupuke wafanye utafiti kidogo. Hii miradi ya mwendo kasi ingefanyika hata huku pembezoni mfano Bagamoyo road to Bagamoyo town to Mkata,au hapo vipi?
 
Kwahyo Watu wa mipango miji hawawezi kabisa kufanya kazi kama hii? Sijaona cha maana kwenye suala la mipango miji kwenye miji yetu mingiView attachment 2244209
Mkuu una kitu fulani ambacho nami ninacho kwa kweli ninapenda sana miji iliyopangwa, na Watanzania wengi tuko hivyo, tunapenda kuona inafanyika hivyo.Shida sasa viongozi wetu sijui ni vipofu hawaoni kabisa kwamba uzuri wa miji ni mipangilio na siyo ujenzi holela.
 
Sasa hii Dar mnayoshabikia hapa ndio haijapangika mwanzo mwisho
 
Something sounds good and curious. Umenipa jambo ambalo sikuwa nimelifikiria hapo kabla. Ni kweli wasikurupuke wafanye utafiti kidogo. Hii miradi ya mwendo kasi ingefanyika hata huku pembezoni mfano Bagamoyo road to Bagamoyo town to Mkata,au hapo vipi?
Iyo ni phase 4 mkuu na pesa zake zipo tayar tangu mwaka juzi ila brt itaishia Tegeta kibaoni
 
mzee unataka kufanya maamuzi magumu, kuna mambo yanachosha, sema makubaliano ya Muungano nayo ni shida.
Hii Zanzibar ina historia tatanishi sana. Waarabu walikuwa wanawatumikisha Waafrika kama watumwa kwa Karne nyingi. Kuna huyu Mjaluo kutoka Uganda kwa jina la John Okello alikwenda Zanzibar na kuwachinja Waarabu sana. Hii historia hatukufunzwa shuleni. Nimekuja kuisoma juzi tu humu mitandaoni.
download (9).jpeg
images (2).jpeg

Waarabu wengine walitorokea Ughaibuni na mmoja wao ni yule ambaye alishinda Nobel prize in literature.
Cc joto la jiwe
 
Sasa hii Dar mnayoshabikia hapa ndio haijapangika mwanzo mwisho
Ni sehemu chache ambazo hazijapangika na ni uzembe wa viongozi wetu. Kuna miji mingi sana hapa Tanzania imeanza kuchipua hii ndio tunaipigia kelele wawahi kufika na kuipanga. Hasa sehemu za vijijini wanapoona ni mashamba kumbe ndani ya muda mfupi tayari imekua.
 
Hii Zanzibar ina historia tatanishi sana. Waarabu walikuwa wanawatumikisha Waafrika kama watumwa kwa Karne nyingi. Kuna huyu Mjaluo kutoka Uganda kwa jina la John Okello alikwenda Zanzibar na kuwachinja Waarabu sana. Hii historia hatukufunzwa shuleni. Nimekuja kuisoma juzi tu humu mitandaoni.
View attachment 2244268View attachment 2244269
Waarabu wengine walitorokea Ughaibuni na mmoja wao ni yule ambaye alishinda Nobel prize in literature.
Ni kweli kuna mambo mengi yapo chini ya kapeti, kuna mtu mmoja alijifanya kutaka kufukunyua sana huu muungano kaishia kuisikilizia mbali Ikulu.

Huyu John Okello siye tunamjua historia yake ipo.
 
Napost vle nataka...wewe weka zako na mjadala uendele,mgeni namna gani ulitaka nibishe nikafunguliwe
Humu kuna mafala wanajifanya wanamikiki jukwaa na wanataka u post vinavyowafurahisha..

Yaani UKr apangiwe maisha na Russia,sasa mimi nimekataa huo upumbavu wao,wakawapangie wanaowalisha na kuwaingiza penis zao.
 
Back
Top Bottom