Sasa unabisha nini?,;Kenya ndiyo nchi ya kwanza Afrika kujitambua serikali ya Did Amin baada ya kumpindua Obote, Kenya ndiyo nchi ya Kwanza kumkaribisha Did Amin na kumpa heshima zote Kama rais wa nchi.
Kenya ilikataa kuwakaribisha wapinzani wote wa Did Amin ambao walikimbia Uganda wakiwa na lengo la kumpindua serikali ya Amin, Kenya mliwatelekeza na kuwaambia watafute nchi ingine kwa kuogopa Did Amin angeishambulia Kenya, Sasa Kama mlikataa kuwasaidia waganda waliokua wanauliwa na Idd Amin, vipi mnajisifia kuwasaidia Israel kuwakomboa mateka wao?, Kwahiyo Kenya mpo tayari kuwasaidia watu weupe lakini suo5 waafrika wenzenu Kama mlivyofanya enzi za ukombozi wa Afrika.
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app