Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Zanzibar Mao ze dong
Nope tanzania air force makaomakuu ni julius nyerere international airportMkuu, Ngerengere ndio Makao makuu Jeshi letu la angaa, wakati Dar na Mwanza ni Kambi za jeshi la anga Tanzania, sijadharau Labda ni lugha gongana
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Leta evidence unachosema!Nope tanzania air force makaomakuu ni julius nyerere international airport
Sio ngerere!
Wapi hii? Kwani pembeni ya Amani stadium kuna uwanja mwingine?Zanzibar Mao ze dongView attachment 2243163
So wanavuka border wanakuja kufanya nn, kuuteka mpk au? Huna akili.Soja maisha yangu isikusumbue. Concentrate on your watchman job.
For your information, Kenya police have been crossing border into Tanzania territory but there's is nothing you have ever done.
Viwanja vya Mao hivyo sio amani stadiumWapi hii? Kwani pembeni ya Amani stadium kuna uwanja mwingine?
They are coming to arrest TanzaniansSo wanavuka border wanakuja kufanya nn, kuuteka mpk au? Huna akili.
Where were your security officers when Kenyan police were tormenting Tanzanians hii siku?So wanavuka border wanakuja kufanya nn, kuuteka mpk au? Huna akili.
No, arresting and beating Tanzanians.Cross the border n do what? Kunywa pombe na kula sio?
JNIA is very empty as you can see on this video, hadi ameshambuliwa na nyuki na ndani ya terminal. 🤣 🤣 🤣 🤣Duh mbona watu wanahesabika, kauwanja kadogo watu kumi wanaonekana wengi, jana nilitaka niweke picha humu sema taratibu za kazi haziruhusu. Kwa muonekano huu kweli JNIA ni the best kwa ss.
Ujenzi umeanza 2021, unajua budget yake ilitengwa mwaka gani?Hakuna miradi mipya 🤭🤭
Ujenzi wa Hangar ya ndege za Serika ukiendelea..👇
Viko Zanzibar?Viwanja vya Mao hivyo sio amani stadium
Tuliza mukari kijana na ni swali la utani tu, wacha kutake things personalwacha porojo pia na ww... sema makucha mzuri.!
nb:
kitu nimegundua na karibu nyinyi wabongo wote humu. mnapenda sana kuchambua vitu. ata vitu vidogo vidogo negligible pia mtavichambua tu.... aisee wabongolee..basi jinsi ninavyoona mimi ni kwamba bongo imejaa sana fitna na umbeya... ata mandume huko wako na hii hii tabia ya kibinti.. hivi imetamba sana..
cc: The best 007
Teargas
Tony254


kuna mambo yanataka kuanza hapa 

I said you are stupid.I know gorilla warfare and that's why I mentioned it. Tell me in Kagera war you didn't use gorilla and dependent entirely on Israeli intelligence.
Well noted mkuu.Nadhani itabidi watu wengine tufuate nyayo zako, hatufai kabisa hapa
Tony254
Geza Ulole
NDINDA
Ichoboy
7seven
Chamoto
@
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Viko Zanzibar?
Nifundishe jinsi ya kumblock. Nimejitahidi nimeshindwa.Yani apuuzwe kabisa, abaki akijijibu mwenyewe mwishowe atarudi kwenye majukwaa yake ya ubishani wa kipuuzi. Jamaa ni mgomvi mgomvi sn na anayependa mipasho.