Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona Tanzania mna 14 fighter jets za aina ya J-7G ila kwenye maonyesho ya kitaifa mnatumia 5 pekee? Ni kwa sababu zingine lazima zibaki kwenye airbase ili kulinda taifa.
Leta picha za ndege zenu zote zikiwa "on ground" tuzihesabu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Oyaa narudia tena hakuna siku utawahi kuona fighter jets zote 17 za Kenya katika airbase moja. Vile vile hakuna siku utawahi kuona fighter jets zote za Tanzania katika airbase moja. Nini ngumu hapo wewe kuelewa. Soma hio article niliyokuwekea hapo juu inasema kwamba fighter jets zenu zipo katika Mwanza airbase na Dar es Salaam airbase, kwa hivyo hutawahi kuona zote 14 zikiwa katika eneo moja. Huo utakuwa ni ujinga kwa maana adui atakuwa na wakati rahisi kuzibomb zote zikiwa zimewekwa mahali pamoja.
 
Nani amukuambia lazima upendwe?, ni muhimu kujifanyia "self assessment" ili kujua Kama unaendana na watu ambao unaendesha nao mjadala au hapana, ukigundua kwamba walio wengi hawakuelewi kwasababu wao ni wajinga na hawana akili, ni Bora uachane nao na utafute kundi ambalo unaendana nalo.

Kwa mtazamo wangu ni kwamba, watu wengi hapa umewazidi akili, hawakuelewi kiasi kwamba umeanza kuwa ni kero kwao, Sasa usiendelee kujibishana na watu wajinga kwa muda mrefu, mwisho na wewe utaonekana ni mjinga Kama wao.

Kuna forum Moja hapa inaitwa' Great thinkers', ninahisi kule wewe kunakufaa zaidi kuliko hapa, wewe nenda kule, achana na hawa wajinga wanao mchukia rais wetu mpendws mama SSH.

Niliwahi kukuomba wewe au hao mafala wenzako kujibishana?

Kama hivi ulivyojileta kwani nimekuita?

Sasa kwa taarifa yako ntazidi kuwakera,swala kunielewa au kutonielewa hayo ni matatizo yenu binafsi na hayanihisu kuyatafua...

Mbona wejinga wenzako wame block wasione comments zangu na wewe si una block tuu shida iko wapi? Hata mimi nimemblock Lwiva kwani umeona maisha hayaendi?

Rubbish mkubwa..
 
Mzee ni nchi gani inaweka fighter jets zake zote mahali pamoja? Kamwe hilo haliwezekani. Lazima fighter jets zisambazwe katika maeneo tofauti nchini ili adui awe na wakati mgumu wa kuzibomb. Kwenye maonyesho ya kitaifa ni kawaida fighter jets 5 kutumika katika maonyesho hapa Kenya. Hio haimaanishi kwamba Kenya ina fighter jets 5 pekee. Ni ujinga uliopitiliza ikiwa unategemea Kenya itumie fighter jets 17 katika maonyesho ya kitaifa. Lazima fighter jets zingine zibaki kwenye airbase kwa sababu ya ulinzi wa taifa.
Kwahiyo basi tukubaliane kwamba Tanzania tunazo fighter jets 32, kwasababu hizo zenu F-5, counter part zake ni MIG-21 na sio J-7.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
There has been two major wars fought between countries in the Eastern African region in the last 60 years. Incidentally, in these two wars all the participants were Kenyan neighbours. There is the Uganda-Tanzania war and the Somalia-Ethiopia war. All these four countries are neighbours of Kenya. Sasa swali langu ni kwa nini yule nduli mla nyama ya binadamu Iddi Amin wa Uganda alivamia Tanzania na kujaribu kuiba ardhi yenu badala ya kuvamia Kenya? Kumbuka Iddi Amin aliamini kwamba Naivasha inastahili kuwa chini ya Uganda.
Kwa nini Somalia ilivamia Ethiopia na kujaribu kuiba ardhi ya Ethiopia badala ya kuvamia Kenya? Kumbuka Somalia inaamini kwamba Ardhi ya Kenya (NFD) na Ethiopia (Ogaden region) ambayo Wasomali wanaishi inastahili kuwa chini ya nchi ya Somalia, lakini kwa nini waliattack Ethiopia na sio Kenya? Wewe unadhani sababu za Uganda na Somalia kutoivamia Kenya ni gani?
Umenikumbusha ni kweli kabisa amini altaka kuivamia kenya ila mkakimbilia us akaleta melivita mombasa na kupaisha ndegevita zake kenya ....amini akaogopa😂😂😂 kama utani iviii kumbe kweli😂😂

Akatuona sie vibonde....myb angevamia kenya angesalia madarakani

By the way tz ilkua haipatani na nchi yoyote kwe jumuia sio kenya sio uganda mlkua mnamtamani nyerere ila mkasahau Tanzania z'a blessed country!!!
 
Nani amukuambia lazima upendwe?, ni muhimu kujifanyia "self assessment" ili kujua Kama unaendana na watu ambao unaendesha nao mjadala au hapana, ukigundua kwamba walio wengi hawakuelewi kwasababu wao ni wajinga na hawana akili, ni Bora uachane nao na utafute kundi ambalo unaendana nalo.

Kwa mtazamo wangu ni kwamba, watu wengi hapa umewazidi akili, hawakuelewi kiasi kwamba umeanza kuwa ni kero kwao, Sasa usiendelee kujibishana na watu wajinga kwa muda mrefu, mwisho na wewe utaonekana ni mjinga Kama wao.

Kuna forum Moja hapa inaitwa' Great thinkers', ninahisi kule wewe kunakufaa zaidi kuliko hapa, wewe nenda kule, achana na hawa wajinga wanao mchukia rais wetu mpendws mama SSH.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ushauri mzuri.
 
Naendelea kuwakera ..

Moto wa awamu ya 6..

Made in Tanzania 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220529-083231.png
    Screenshot_20220529-083231.png
    210.4 KB · Views: 15
Oyaa narudia tena hakuna siku utawahi kuona fighter jets zote 17 za Kenya katika airbase moja. Vile vile hakuna siku utawahi kuona fighter jets zote za Tanzania katika airbase moja. Nini ngumu hapo wewe kuelewa. Soma hio article niliyokuwekea hapo juu inasema kwamba fighter jets zenu zipo katika Mwanza airbase na Dar es Salaam airbase, kwa hivyo hutawahi kuona zote 14 zikiwa katika eneo moja. Huo utakuwa ni ujinga kwa maana adui atakuwa na wakati rahisi kuzibomb zote zikiwa zimewekwa mahali pamoja.
Punguza ujinga basi kidogo, mbona sisi inajulikana kwamba ndege zetu zipo Mwanza na Dar es Salaam, na idadi ya ndege zilizopo Mwanza inajulikana na Dar inajulikana,na hata picha za satelites zinaonyesha idadi yake zikiwa ktk hizo Airbases, mbona kwenu haijulikani?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Umenikumbusha ni kweli kabisa amini altaka kuivamia kenya ila mkakimbilia us akaleta melivita mombasa na kupaisha ndegevita zake kenya ....amini akaogopa😂😂😂 kama utani iviii kumbe kweli😂😂

Akatuona sie vibonde....myb angevamia kenya angesalia madarakani

By the way tz ilkua haipatani na nchi yoyote kwe jumuia sio kenya sio uganda mlkua mnamtamani nyerere ila mkasahau Tanzania z'a blessed country!!!
Hahaha ni kweli tulikimbilia USA. USA akatuokoa. Kwa hivyo sisi ni werevu kuwashinda. Amin kawaona nyie ndio weak baada ya kuona Kenya tuna protection kutoka USA. Tanzania hamkuwa na superpower wa kuwalinda, mlikuwa mayatima. Poleni sana. Anayetaka uhondo zaidi asome hapa
 
We never depend on some one for protection, food, or water supply, that's why we are independent and free to decide our future in international forums. Tofauti na ninyi lazima muegemee USA.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kenyan army like most of Arab World's armies which are specifically designed to control a population within their confines. Such armies, full of toy soldiers, some are extremely photogenic but with Zero history of winning wars.

As we all remember just how four members of Kobaz-Soldiers terribly delt with them in Wastage Mall.

If they can't secure a Mall or a School under attack, how can they ever defend a country against the aggression of major armies with an incredible history of accomplishment such as JWTZ?

Dear Tanzanians,

Don't waste your time and energy engaging them in this subject - we are not their mate.
You are not even ashamed of mentioning JWTZ in the same sentence with war. Which modern war have you ever won? I know you will tell me the Kagera thing which the main contributer and mastermind was Israel. Are you talking about the same JWTZ which were afraid to go to Mozambique to fight terrorists? Or you are talking about the same JWTZ that were slashed with Pangas in Mozambique? When it comes to modern war, Tanzania has no history.
 
Punguza ujinga basi kidogo, mbona sisi inajulikana kwamba ndege zetu zipo Mwanza na Dar es Salaam, na idadi ya ndege zilizopo Mwanza inajulikana na Dar inajulikana,na hata picha za satelites zinaonyesha idadi yake zikiwa ktk hizo Airbases, mbona kwenu haijulikani?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbona kila website mtandaoni inasena kwamba Kenya ina 17 fighter jets ila wewe unakataa kuamini na unaziita hizo websites kwamba ni za uchwara? Halafu hii moja inayosema kwamba nyie mna 14 fighter jets unakubali haraka sana?
 
There has been two major wars fought between countries in the Eastern African region in the last 60 years. Incidentally, in these two wars all the participants were Kenyan neighbours. There is the Uganda-Tanzania war and the Somalia-Ethiopia war. All these four countries are neighbours of Kenya. Sasa swali langu ni kwa nini yule nduli mla nyama ya binadamu Iddi Amin wa Uganda alivamia Tanzania na kujaribu kuiba ardhi yenu badala ya kuvamia Kenya? Kumbuka Iddi Amin aliamini kwamba Naivasha inastahili kuwa chini ya Uganda.
Kwa nini Somalia ilivamia Ethiopia na kujaribu kuiba ardhi ya Ethiopia badala ya kuvamia Kenya? Kumbuka Somalia inaamini kwamba Ardhi ya Kenya (NFD) na Ethiopia (Ogaden region) ambayo Wasomali wanaishi inastahili kuwa chini ya nchi ya Somalia, lakini kwa nini waliattack Ethiopia na sio Kenya? Wewe unadhani sababu za Uganda na Somalia kutoivamia Kenya ni gani?
Go learn why it was of a paramount significance to have foreign military bases in Kenya.

When it comes to issues of security, your entire state security organs (intelligence, army, police) are next to useless.
 
Hakuna miradi mipya 🤭🤭

Ujenzi wa Hangar ya ndege za Serika ukiendelea..👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220529-083555.png
    Screenshot_20220529-083555.png
    191.6 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220529-083632.png
    Screenshot_20220529-083632.png
    47.4 KB · Views: 14
Ni kweli ila angeanza hata mmoja japo robo na co kupiga piga kelele kila kukicha wkt mambo hayaendi.
U
Globolist walifikiri uchumi wa Urusi unaweza kurubuniwa kwa kubadilisha vinamba namba kama wanavyofanya market makers kwenye stock market. Kumbe ni uchumi wao unaombewa na bidhaa halisi zinazohitajika ili watu waweze kuishi. Hii vita ilitakiwa kututoa wabongo, chakula kitapanda bei sana, sema ndiyo hivyo.
Magufuli angekuwepo ndio alikuwa wa kuona fursa, hawa wengine watakwambia dunia nzima iko hivyo na sisi sio kisiwa.
Wacha tuendelee kusoma binadamu alikuwa nyani 🤔🤔
 
Back
Top Bottom