Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Actually it's four ndio zinaoperate and not six

View attachment 2243090

Baadhi ya fighter jet 2016.
Yaani hadi wakunya wenzako hawakuamini tena!

IMG_1883.jpg
 
Picha ili-appear mwaka wa 2015 katika huu uzi.
Hata Leo hii tukipiga picha ya MIG-21 kule Mwanza, zinaonekana hivi, haimaanishi hizo ndege zinafanya kazi.

Lazima mjue kwamba, Tanzania na Uganda zimenunua ndege mpya miaka ya karibuni 3rd generation fighter jets, Kenya bado hamjanunua ndege mpya, ni zilezile za 70s, secand generation fighter jets.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hata Leo hii tukipiga picha ya MIG-21 kule Mwanza, zinaonekana hivi, haimaanishi hizo ndege zinafanya kazi.

Lazima mjue kwamba, Tanzania na Uganda zimenunua ndege mpya miaka ya karibuni 3rd generation fighter jets, Kenya bado hamjanunua ndege mpya, ni zilezile za 70s, secand generation fighter jets.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mig-21 zenu hazipo on standby. Zimekuwa retired. Wacha kudanganya watu.
 
Hapana Ngerengere ni kamandi kuu ya Anga!

Magufuli azindua uwanja wa ndegevita Tanzania​

7 Machi 2017
Rais Magufuli akifyatua risasi hewani kuashiria ufunguzi wa uwanja wa ndege vita nchini Tanzania

CHANZO CHA PICHA,IKULU YA TANZANIA

Maelezo ya picha,
Rais Magufuli akifyatua risasi hewani kuashiria ufunguzi wa uwanja wa ndege vita nchini Tanzania

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, amezindua uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere uliofanyiwa ukarabati baada ya miundombinu ya uwanja huo kuharibika.

Katika hotuba yake Rais Magufuli amelipongeza Jeshi la Tanzania (JWTZ) kwa kazi kubwa linayofanya na pia akamshukuru Rais wa China Xi Jinping na Serikali yake kwa msaada mkubwa iliyoutoa kujenga uwanja huo.

"Mhe. Balozi Lu Youqing naomba unipelekee shukrani zangu za dhati kwa Rais wa China kwa kutoa msaada huu mkubwa wa kujenga uwanja wa ndegevita wa Ngerengere, najua China imetusaidia kujenga Reli ya TAZARA, Kiwanda cha Urafiki na Uwanja wa Mpira, hii yote inathibitisha uhusiano wetu mzuri, urafiki na undugu"

Balozi wa China nchini Tanzania Lu Youqing amesema kujengwa kwa uwanja huo kumeimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano kati ya Tanzania na China na amempongeza Magufuli kwa kuendeleza uhusiano huo.

Mbali na kuzindua uwanja huo Magufuli alishuhudia maonesho ya ndege za kivita zilizorushwa kwa mbinu mbalimbali za kivita, ili kutoa heshima

Rais Magufuli azindua uwanja wa ndege vita Ngerengere

CHANZO CHA PICHA,IKULU YA TANZANIA
Maelezo ya picha,
Rais Magufuli azindua uwanja wa ndege vita Ngerengere

Rais Magufuli akihutubia wakati wa ufunguzi wa uwanja wa ndegevita Ngerengere.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo amesema ukarabati wa uwanja huo ulioanza tarehe 15 Julai, 2013 umegharimu Tanzania bilioni 137 na milioni 631 ikiwa ni ufadhili wa Serikali ya China na umehusisha kujenga upya njia ya kuruka na kutua ndege yenye urefu wa mita 3,000 upana wa mita 45 na unene wa sentimeta 45.

Jenerali Mabeyo ameongeza kuwa uwanja huo ni miongoni mwa viwanja bora zaidi duniani kwa sasa na una uwezo wa kutumiwa na ndege za aina zote zilizo chini ya Boeing 777 huku akibainisha kuwa pamoja na ndege za kivita pia unaweza kutumiwa na ndege za kawaida za abiria kwa dharula.

Aidha, Magufuli ameahidi kujenga barabara ya lami ya kuunganisha kamandi ya Jeshi la anga ya Ngerengere na barabara kuu ya Dar es Salaam - Morogoro.

Mwanza na Dar, ndio Airbases wakati Ngerengere ndio Makao makuu(Command) ya anga.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
I don't know why even these Tanzanians are fighting very hard to compare their military hardwares to Kenya's. Everybody can clearly see that Kenya is much superior to them.

Paratroopers.

20220526_201734.jpg
 
Kenya is operating independently and that's why most of the time you will KDF using its own hardware in Somalia na sio za Amison. Hata drones tunatumia huko Iko na flags za Kenya.

These are KDF in Somalia , if they were under Amison you could have seen any green item in them. But unfortunately for you, they don't have it.

View attachment 2243066View attachment 2243068View attachment 2243074View attachment 2243076
Hujui kitu kuhusu hili eneo, Baki katika eneo lako la mascara wacha kutupitezea ATPs zetu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tell me any modern war that Tanzania has ever participated in? The wars that you are talking about are wars of 1960' when parties engaged were actively practicing gorilla wars.
I said it, this subject is way beyond you.

You, too, are ignorant. When you have zero idea of what is being said or discussed, it's important you ask for an assistance.

You don't even know what is Gorilla warfare. All wars from 1970 to date are contemporary wars.

Gorilla tactics are always applied by a force that cannot engage conventionally, chiefly due to its inadequacies either in logistics or manpower.

A conventional army such JWTZ, KDF, UPDF can take nearly any army in this world even the mighty USA, conventionally.

JWTZ, KDF, UPDF may apply Gorilla tactics at a later stage if its power, logistics in particular, depleted - but initially, the engagement will be conventional.

Most of you on here, Kenyans hasa, hamna uelewa wowote.
 
Back
Top Bottom