Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtu mwenye akili timamu hawezi kuulizwa hili swali "Kwanini Amin alivamia Tanzania na sio Kenya".

Kwanza Jiulize, kwanini vyama vyote vya ukombozi wa Afrika vilitumia Tanzania Kama makao makuu ya kuendeshwa shughuli zao za ukombozi?.

Wapinzani wote wa Did Amin, kuanzia Obote, Tito Okelo, Museven na wanajeshi wao, kwanini walikimbilia na kuishi Tanzania na sio Kenya

Kabila, John Garang wa South Sudan, Rene wa Sychelles kwanini walikuja Tanzania na sio Kenya, ulijibu haya maswali, ndio utakua kwamba Kenya sio sehemu ya Afrika ndio sababu haikujishughulisha kabisa na Mambo ya Afrika, ndio sababu haikushambuliwa na nchi yoyote ya Afrika

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Iddi Amin mwenyewe kasema kwamba Naivasha na Western Kenya ni part of Uganda. Sasa mbona hakuivamia Kenya? Somalia kasema NFD ni part of Somalia mbona haikuivamia Kenya?
 
wewe dogokundu, heb ona kenya fighter jet... wapi yenu kaa hii

View attachment 2242913
It is F-5, a second generation fighter jet, made in 1980s, very old fighter jet.

Please go and try to find out the differences between 2nd and 3rd generations fighter jets before you post these scrappers.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Coming to America2. King Akeem's son, Lavelle (wrapped on a kenyan flag) to heir kingship of Zamunda..

Ev57uLLXIAwvNWx.jpeg
 
Kuna watu huwa wanajidai kuwa ndio wana the biggest estate in subsahara afrika ,hii ya Angola sasa wataitaje ina accomodate almost 500k people it is more of a city than an estate , ila wachina wamewekeza afrika jamani tuache utani

Hao watu kila kitu kwao lazima wataweka neno "the biggest", tunawajua huna sababu ya kuwataja, wanajulikana kwa kupenda sifa lakini kwa uasilia bila Tanzania uchumi wao utasambaratika.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
There had never been an argument between you and I, NEVER.

If you ever took any of my aide-memoire of your STUPIDITY as an argument then, you are unbelievably STUPID.

Show me a post or two where two of us were engaged in an argument.

It's pretty sad that you are so STUPID to an amazing point, drawing a simple distinction between "argument" and "engagement" is a mountain to climb.

You are very STUPID!
Siongeagi na ma fool👇
 
Attachments

  • 20220216_225742.jpg
    20220216_225742.jpg
    20.8 KB · Views: 14
@Tony254 hesabu hizo F-5, zipo Tano pekee Kenya yote, hapo zipo 4 na Moja ndio ambayo inachukua hiyo video toka ndani

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tuna 17 fighter jets. Nani amekuambia kwamba hizo ndio zote?
Sasa kama tuna tano pekee hapa chini unaona ngapi?
15497544_2838103531666390057779444601417534296480592n_jpegd3b0aa4346b18f5cf3cd6ed795fc88e0.jpeg

Halafu nchi haistahili kuweka fighter jets zote katika airbase moja. So fighter jets zipo katika airbase mbili au tatu. Hizi kwenye picha ni za airbase moja. Hapa nadhani ni Nanyuki airbase kama sijakosea. Kuna main airbase ya Kenya Airforce ambayo ipo Eastleigh, Nairobi na hapo pia kuna ndege za kivita. Unategemea Kenya iweke ndege zake zote za kivita mahali pamoja ili iwe rahisi kwa adui kuzibomb zote mara moja?
 
Are you a man or woman?, Mimi mwanzo nilidhani wewe ni dume, lakini hizi kucha zako ni nyembamba Kama za like, samahani Kama nitakua nimekukwaza.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
wacha porojo pia na ww... sema makucha mzuri.!

nb:
kitu nimegundua na karibu nyinyi wabongo wote humu. mnapenda sana kuchambua vitu. ata vitu vidogo vidogo negligible pia mtavichambua very deeply.... aisee wabongolee..🤔🤔 basi jinsi ninavyoona mimi ni kwamba bongo imejaa sana fitna na umbeya... inashangaza sana kua pia mandume wako na hii hii tabia ya kibinti.. imetamba sana..

cc: The best 007
Teargas
Tony254
 
Tuna 17 fighter jets. Nani amekuambia kwamba hizo ndio zote?
Hizo ndege zilinunulia mwishoni mwa 1970s, zilikua 17, lakini ambazo hadi Sasa zinafanya kazi ni 5 pekee, ndio sababu Uhuru Kenyatta alitaka kununua "used F-16 kutoka Jordan lakini alisimamisha kutokana na uhaba wa fedha.

Kumbuka Tanzania tulikua na MIG-12 kabla ya 2013 kuamua kuachana Nazo kutokana na kuputwa na wakati na kuwa chakavu, Kama tutazihessbu , basi Tanzania itakua na jumla ya 32 fighter jets, yaani 18 second generation MIG-21, na 3rd generation J-7 zipo 14

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kaka, jaribu kusikiliza maoni ya watu wengi, Sasa hata huyu mkenya Tony 254, pia anamchukia SSH, au naye pia ni miongoni mwa Sukuma gang?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wananilisha? Kwani Niko kwenye kampeni? Kwani nataka wanipende?

Hakuna wa kunipangia maisha and so expect no difference okay..

Ndio maana nimemwambia ana kiherehere kama kapigwa pipe😬😬
 
Iddi Amin mwenyewe kasema kwamba Naivasha na Western Kenya ni part of Uganda. Sasa mbona hakuivamia Kenya? Somalia kasema NFD ni part of Somalia mbona haikuivamia Kenya?
Nani amezingumzia kuhusu kusema madaia ya sehemu za Nchi?, Wacha kujitia ukichaa, soma tena post yangu na ujibu hayo maswali, kwanini hao viongozi wote waliokwenda kuzikomboa nchi zao hawakuja kuishi Kenya na kupata mafunzo kutoka kwa KDF?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hizo ndege zilinunulia mwishoni mwa 1970s, zilikua 17, lakini ambazo hadi Sasa zinafanya kazi ni 5 pekee, ndio sababu Uhuru Kenyatta alitaka kununua "used F-16 kutoka Jordan lakini alisimamisha kutokana na uhaba wa fedha.

Kumbuka Tanzania tulikua na MIG-12 kabla ya 2013 kuamua kuachana Nazo kutokana na kuputwa na wakati na kuwa chakavu, Kama tutazihessbu , basi Tanzania itakua na jumla ya 32 fighter jets, yaani 18 second generation MIG-21, na 3rd generation J-7 zipo 14

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mzee ni nchi gani inaweka fighter jets zake zote mahali pamoja? Kamwe hilo haliwezekani. Lazima fighter jets zisambazwe katika maeneo tofauti nchini ili adui awe na wakati mgumu wa kuzibomb. Kwenye maonyesho ya kitaifa ni kawaida fighter jets 5 kutumika katika maonyesho hapa Kenya. Hio haimaanishi kwamba Kenya ina fighter jets 5 pekee. Ni ujinga uliopitiliza ikiwa unategemea Kenya itumie fighter jets 17 katika maonyesho ya kitaifa. Lazima fighter jets zingine zibaki kwenye airbase kwa sababu ya ulinzi wa taifa.
 
Utopians ni watu wa hovyo Sana,waliharibu Zimbabwe sasa Mnangangwa anahangaika kuirejesha Nchi ilikokuwa awali..

Yale Yale yanayompa shida SSH baada ya Nchi kuharibiwa na Wajamaa uchwara kwa propaganda na upumbavu mwingi..

Nachukia Sana Wajamaa ndio maana naunga mkono Walivyokuwa wanauawa toka zama za kupigania uhuru,ni waharibifu na Rubbish kabisa.👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220529-081456.png
    Screenshot_20220529-081456.png
    194.1 KB · Views: 14
Hizo ndege zilinunulia mwishoni mwa 1970s, zilikua 17, lakini ambazo hadi Sasa zinafanya kazi ni 5 pekee, ndio sababu Uhuru Kenyatta alitaka kununua "used F-16 kutoka Jordan lakini alisimamisha kutokana na uhaba wa fedha.

Kumbuka Tanzania tulikua na MIG-12 kabla ya 2013 kuamua kuachana Nazo kutokana na kuputwa na wakati na kuwa chakavu, Kama tutazihessbu , basi Tanzania itakua na jumla ya 32 fighter jets, yaani 18 second generation MIG-21, na 3rd generation J-7 zipo 14

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbona Tanzania mna 14 fighter jets za aina ya J-7G ila kwenye maonyesho ya kitaifa mnatumia 5 pekee? Ni kwa sababu zingine lazima zibaki kwenye airbase ili kulinda taifa.
 
Wananilisha? Kwani Niko kwenye kampeni? Kwani nataka wanipende?

Hakuna wa kunipangia maisha and so expect no difference okay..

Ndio maana nimemwambia ana kiherehere kama kapigwa pipe
Nani amukuambia lazima upendwe?, ni muhimu kujifanyia "self assessment" ili kujua Kama unaendana na watu ambao unaendesha nao mjadala au hapana, ukigundua kwamba walio wengi hawakuelewi kwasababu wao ni wajinga na hawana akili, ni Bora uachane nao na utafute kundi ambalo unaendana nalo.

Kwa mtazamo wangu ni kwamba, watu wengi hapa umewazidi akili, hawakuelewi kiasi kwamba umeanza kuwa ni kero kwao, Sasa usiendelee kujibishana na watu wajinga kwa muda mrefu, mwisho na wewe utaonekana ni mjinga Kama wao.

Kuna forum Moja hapa inaitwa' Great thinkers', ninahisi kule wewe kunakufaa zaidi kuliko hapa, wewe nenda kule, achana na hawa wajinga wanao mchukia rais wetu mpendws mama SSH.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom