Tupo.
jieshimu mzee ukileta za kuleta huwa sikopeshi!Hili litaahira kila mmoja humu yupo against nae halafu hashtuki, hakuna hata mmoja anamuelewa, kichaa mwenzie Geza alishamgive up siku nyingi saivi naona zimemrejea 😂😂😂😂
Labda tuusan asiejua hata maana ya kutag 🤣🤣🤣🤣
Acha porojo you will never manake nn,kwamba iyo ni life sentence?JKIA is the busiest airport in East Africa. You will never see JNIA this full.
View attachment 2242839
Hehehe chill broh.Acha porojo you will never manake nn,kwamba iyo ni life sentence?
Makumbusho upande ule wa mikocheni mkuuWapi hii mkuu.
Si ndio nikasema kuna tofauti gani na mlichotuonyesha?Si mlishatuonyesha?? nini tena zaidi ya wale jamaa wa kubeba sufuria na kuvunja matofali??
Mnooo mkuuuAiseee very classy.
Hawa vizuuuu wacha tuwanyosheeIlishawekwa hii picture siku 1, mmoja wao akaapa hapa hapawezi kuwa Dar![]()
Duh mbona watu wanahesabika, kauwanja kadogo watu kumi wanaonekana wengi, jana nilitaka niweke picha humu sema taratibu za kazi haziruhusu. Kwa muonekano huu kweli JNIA ni the best kwa ss.JKIA is the busiest airport in East Africa. You will never see JNIA this full.
View attachment 2242839
Yah according to WB that's true Dar real estate is more expensive than that of Nairobi.Can anyone bring me an estate in dar that can match this in quality standards? Especially Since ..."Dar real estate is bigger than Nairobi's"View attachment 2242571
Ps I'm crossing my fingers msilete hio Chinatown