chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,124
Hii record mama yako hata kaa aifikie mpaka tunamzikaKu urgue na fool ni kujichosha,uko experienced kwenye upumbavu 👇
Hii record mama yako hata kaa aifikie mpaka tunamzikaKu urgue na fool ni kujichosha,uko experienced kwenye upumbavu 👇
Nakuru inapendeza kweliNakuru na eldoret zimetulia
Tatizo humu ndani habari za maana zinasahaulika mapema yani wameshahasahu hadi hiliWewe inawezekana ni school dropout ikiwa unashindwa hata kufanya simple maths kama hiyo..
Summation of Revenues for 3 consecutive qters =16.69Trilion/9=1.85Til..,
Kwa hiyo 1.85 less 1.3 Unapata ngapi wewe kilaza? Figures kama hizi uliwahi ziona awamu ya 5?![]()
We jamaa unaakili ndogo sanaHii record mama yako hata kaa aifikie mpaka tunamzika




Yaani mtu anajipiga kifua kwa 1.3T anasahau mama kaupiga mwingi kwa 1.85T kwa mwaka mmja tuu...Tatizo humu ndani habari za maana zinasahaulika mapema yani wameshahasahu hadi hili
Hii record mama yako hata kaa aifikie mpaka tunamzika
Alafu mahitaji yanabadilika,kama hosp zimeshajengwa izo hosp zinahitaji vifaa tiba, wataalamu,dawa na vitendanishi...Yaani mtu anajipiga kifua kwa 1.3T anasahau mama kaupiga mwingi kwa 1.85T kwa mwaka mmja tuu...
Eti hawaoni miradi mipya..Hizi hospital hapa zimeanzishwa hii fy year na Mwaka ujao kuna hospital ya Rufaa ya Kanda ya Magharibi inaanza kujengwa
Hamna chochote mama yako anafanya JPM hakufika
Hospital zenyewe hasikuisha,hazikuwa na vifaa wala wataalamu ,mama amemalizia,ameweka vifaa tiba na ajira juu..Alafu mahitaji yanabadilika,kama hosp zimeshajengwa izo hosp zinahitaji vifaa tiba, wataalamu,dawa na vitendanishi...
Kama barabara imejengwa mahitaji yanaweza kia kutoa mikopo watu wafanye biashara na kustawisha maisha yao ..kwann watu wanalazimisha miradi ifanane....
Cha ajabu ni kwamba miradi hii hii alikuwa anaiponda ila kwa sasa anaishangiliaUtaira ulionao ni kushindwa kujua miradi yote hii unayoiweka imeanzishwa na JPM
Na huna akili sababu hujui namna serikali inafanya kazi, yaani hakuna hata kimoja Samia kafanya zaidi ya kupokea zile pesa za uviko, hizi barabara, miradi ya maji, sgr, ndege 5 zijazo, kila kitu ni legacy, ukitaka jinyonge




Unavyosema hazikuwa zimeisha au hazina vifaa kwani jpm halikua amemaliza mda wakeHospital zenyewe hasikuisha,hazikuwa na vifaa wala wataalamu ,mama amemalizia,ameweka vifaa tiba na ajira juu..
Kama Kawaida ya Mwendazake huwa anaanzisha na hamalizii ikiwemo Chato Referral kaimalizia mama ..CAG ameeleza miradi kibao ambayo ilikamilika ila haitumiki kwa kukosa wataalamu,umeme na vifaa tiba mama kafanya vyote hivyo .👇
Kwani hakumaliza miaka 5? Mda gani unataka kufanya justification? Ma failures huwa mna excuses nyingi sana.Unavyosema hazikuwa zimeisha au hazina vifaa kwani jpm halikua amemaliza mda wake
Alikuwa muongo hata mm naona, hakununua ndege, hakujenga bwawa la umeme, hakujenga BRT, hakujenga massive bus terminals, hakujenga ports, hakujenga airports, hakujenga markets, hakujenga ferries, hakujenga SGR wala hakujenga meli. Alikuwa muongo sana, viko wapi hivyo vitu mbona havionekaniMagu alikua muongo sana, ilikua the same tu, coz now things have even worsened due to external factors., sio makosa yenu.







Hata ulie but haiondoi ukweli kwamba massive projects kama bwawa la JNHPP na electrifitried SGR phase 1 ni pesa za ndani."kwa pesa za ndani" na "Tanzania haikopi" narrative.,
Forum ya hawara yako mpaka unapanga wa kuwemo?We jamaa unaakili ndogo sana
Watu kama ww hatuwataki kwenye hii forum
Huna ppointi dogo yani mtu ajenge hospitali ashindwe kuweka vifaa nikama vile unasema sisi tunajenga reli ya sgr alafu tushindwe kununua treniKwani hakumaliza miaka 5? Mda gani unataka kufanya justification? Ma failures huwa mna excuses nyingi sana.
Miaka 5 unajenga nini ambacho hakimaliziki? Mbona Samia kajenga vituo vya afya zaidi ya 233 na ameamua mwaka huu kutenga pesa mahsusi kwa ajili ya kuvi equip na vifaa tiba na wataalamu..
Nyie kwa miaka 5 mlitegemea nani aje awafanyie?
Hili taahira hovyo kweli, eti anasema JPM kaanzisha bila kumaliza 😂😂😂 anataka amalize akiwa kaburini? 😅😅😅Cha ajabu ni kwamba miradi hii hii alikuwa anaiponda ila kwa sasa anaishangilia![]()