Mkuu Tonny [emoji1787] Hujaona J/K hapo mbele ya Maseno? Kuhusu kusoma Mkuu Tonny hata mimi nimepita pita huko na sijaacha kusoma kama unavyofanya wewe hapo unaenda Majuu kusoma, Mimi chuo cha mwisho ambacho kipo majuu pia hakijawahi acha kunishtua kuendelea na program yoyote inayokuja wanayoona inanifaa, Napiga hata online hamna shida. Na nina mavyeti rundo kama vyako.
Kwa Kazi wewe ni CPA na mimi nipo eneo nyeti labda Tunapishana kwenye mkwanja tu[emoji41] ila sijui wako au wangu upo juu.
BTW kuhusu exposure hakulengwa mtu maalum, So Chillax na Battle iendelee. Halafu si unajua tupo kwenye battle lazima kuzinguana.