Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimesema weka hapa Takwimu za mwaka mmja wa Magufuli tulinganishe acha ufala..

Pili mimi sijatumwa na Samia najituma mwenyewe..

Vituo vya afya hivi hapa 👇
Buda si utulie uulize vile ku upload picha, tumejaribu kukuambia lakini sijui mbona haupo mpole kuuliza...mimi huwa napita tu kwa hizo picha unaweka bila kuziangalia maana hazionekani na sina mda wa kuziangalia moja moja.. najua sio mie pekee...sio kwa ubaya lakini rekebisha ama uendelee hivo, sitorudia kusema. Mda unekuwa huku unatosha ujue haya
Screenshot_20220528-130315.png
 
Fenty launch inatrend pale twitter and Africans being Africans, you can't miss some humor 😅
 
Hata ya kilimo imepanda pia kwa uwiano huohuo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwenye kilimo imepanda kweli ikitumika ipasavyo italeta tija maana kwa ukubwa wa ardhi ya nchi yetu, vyanzo vya maji kwa ajili ya umwagiliaji, mifugo tutapata mavuno ya kutosha. Waziri apewe support sana yuko vizuri.

Nashauri bajeti ya mwaka wa fedha ijayo Wizara ya Kilimo ipewe fedha zaidi ya hii ya mwaka huu.
 
Kwenye kilimo imepanda kweli ikitumika ipasavyo italeta tija maana kwa ukubwa wa ardhi ya nchi yetu, vyanzo vya maji kwa ajili ya umwagiliaji, mifugo tutapata mavuno ya kutosha. Waziri apewe support sana yuko vizuri.

Nashauri bajeti ya mwaka wa fedha ijayo Wizara ya Kilimo ipewe fedha zaidi ya hii ya mwaka huu.
Next year hata ikipata 1.5tr itapendeza zaidi. Maana kilimo ndio backbone ya nchi yetu tukiweza kupandisha GDP ya Kilimo itainua watu wengi sana kutoka umaskini.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Buda si utulie uulize vile ku upload picha, tumejaribu kukuambia lakini sijui mbona haupo mpole kuuliza...mimi huwa napita tu kwa hizo picha unaweka bila kuziangalia maana hazionekani na sina mda wa kuziangalia moja moja.. najua sio mie pekee...sio kwa ubaya lakini rekebisha ama uendelee hivo, sitorudia kusema. Mda unekuwa huku unatosha ujue hayaView attachment 2242105
Unaongea nini wewe kenge wa kibera?
 
Kila mkoa uwe na makao makuu yake ya ardhi, me nakubali ile ya kikanda hapana ilichelewesha watu kupata hatimiliki zao mwishowe wanaamua kujenga bila kibali, ndio huo ujenzi holela kila sehemu.
Ndio hizo ofisi za Mikoa zinajengwa mwaka huu..

Japo binafsi sikubaliani na huu utaratibu wa kujenga maofisi kwa sababu Mikoani kuna majengo mengi ya Taasisi za Serikali yako empty..

Kwa mfano majengo mengi ya Ofisi ya RC Yanga vyumba loose havitumiki,kama wanajenga iwe ni maeneo ambayo yana uhaba wa ofisi..

Mkoa kama Manyara ,lile jengo la RC Lina ofisi nyingi ziko wazi,hivyo hivyo Rukwa nk..

Mwendazake aliwahi wapiga stop Tarura kujenga ofisi na akasema watumie majengo ya DED au DC,so this should continue to apply otherwise ni matumizi mabaya ya pesa za umma,tunahitaji miji yetu ipangwe vizuri sio kupoteza pesa kwenye maofisi.
 
Magufuli kaingia madarakani kakuta TRA inakusanywa billion 850 kwa mwezi, kaondoka TRA inakusanya trillion 1.3 ongezeko la billion 500, kichaa anachekelea mishahara kuongezwa hajui aliefanya mapato yapande mishahara iongezeke ni nani! 😂😂😂

Anyway idiots are just idiots


Sasa kuna cha kujisifu hapo kweli kama miaka yote hiyo ongezeko ni bil.500 monthly?

Haya hapa kuna ongezeko la Bei gani kutoka 1.3Triln? 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220406-163449.png
    Screenshot_20220406-163449.png
    53.8 KB · Views: 16
Back
Top Bottom