The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Soma tena ili unielewe.Labda mambo yako ndio hayaendi unajumuisha mambo hayaendi unaweza defend?
Soma tena ili unielewe.Labda mambo yako ndio hayaendi unajumuisha mambo hayaendi unaweza defend?
Mm sitafuti kazi...hao wanaosema hawaoni miradi mipya wasikusumbue maana inawezekana wanafuatilia zaidi habari za udakuMtu mwenye chuki hawezi ona miradi mipya,iko mingi Sana naweza jaza Seva bure..
Kilichobadilika ni kuitumia kutafuta sifa lukuki..mfano anaesema hakuna mradi mpya anafahamu kwamba ujenzi wa sgr ya makutopora -Tabora ni mradi mpya, barabara ya Pangani -Mkange ni mradi mpya,kuna hospital za Rufaa 5 mpya za Mikoa zinajengwa nk nk..
Wewe si ni mtu wa Afya kama huna Kazi awamu ya 6 inawatafutia kazi so hii inakuhusu![]()
Unapoteza muda kujadiliana na huyo,anavyomuelezea huyo Magu unaweza dhani Magu alikamilisha mradi hata mmja wakati kiuhalisia hadi anakufa hata km 200 za reli zilishindikana kumalizika kwa miaka yote aliyokaa madarakani..Labda mambo yako ndio hayaendi unajumuisha mambo hayaendi unaweza defend?
😂😂 Nilikuwa nafikisha ujumbe tuu mkuu,hakuna jobless atashinda kwenye mitandao maana bando lenyewe mtihani..Mm sitafuti kazi...hao wanaosema hawaoni miradi mipya wasikusumbue maana inawezekana wanafuatilia zaidi habari za udaku
JPM hajakaa madarakani miaka 6 wacha ku-exaggerate mambo!Unapoteza muda kujadiliana na huyo,anavyomuelezea huyo Magu unaweza dhani Magu alikamilisha mradi hata mmja wakati kiuhalisia hadi anakufa hata km 200 za reli zilishindikana kumalizika kwa miaka yote aliyokaa madarakani..
Muulize Magu alikamilisha mradi Gani hasa? Hana jibu..
Kwa mda mfupi tuu mama kajenga vituo vya afya 234 kwa mwaka mmja wakati Mwendazake alijenga na kukarabati vya zamani kwa ujumla 353 for 6 years sasa unaweza ona hapo nani anafanya Kazi..
Kwenye elimu, maji kuna maelfu ya miradi imekamilika na inaendelea..Nyumba hizi za watumishi wa Afya zimejengwa mwaka uliopita 👇
Tupe uwiano wa miaka 5 aliyokaa na alichofanya tulinganishe na alichofanya Samia..JPM hajakaa madarakani miaka 6 wacha ku-exaggerate mambo!
Unajua kumtetea mtu lazma uwe smart kichwani, sasa huu u-fanatism unaofanya haumsaidii mama!Tupe uwiano wa miaka 5 aliyokaa na alichofanya tulinganishe na alichofanya Samia..
Weka hapa tulinganishe kuanzia makusanyo hadi matumizi na matokeo across all sectors.
Nimesema weka hapa Takwimu za mwaka mmja wa Magufuli tulinganishe acha ufala..Unajua kumtetea mtu lazma uwe smart kichwani, sasa huu u-fanatism unaofanya haumsaidii mama!
Soja mwenye jana amepiga picha duni hapo kwa airport, picha ziko pixlated, nikama alipiga na pinhole camera.nairobae soja anakuita.
Hamna kitu mfananya kigeni kwa Tanzania msijidanganye!Kwa hivo huko ndio kurepair simu kama ulivyosema eti Kijana wetu Mbetsa anarepair simu?
Utaira ulionao ni kushindwa kujua miradi yote hii unayoiweka imeanzishwa na JPM 😅😅😅Kishindo kingine cha Samia hiki hapa kimfikie Geza and the likes..
Bajeti ya Tarura kutoka bil.272 hadi bil.802 ndani ya mwaka mmja tuu👇
Akimuuzia nani? 😅😅😅Huyo sii fundi simu wewe kilaza, huyo anatengeneza simu from scratch. Kuna siku mmebrag humu vile mnaintroduce new generation token meters ambazo mtu haitaji kubonyeza code kwa meter. Mnajua hizo meter zimetoka wapi? Ni huyo kijana mbetsa anazitengeneza kwa factory yake akiwauzia. Tazama video kama huna bundles useme.
Sawa, hatengenezi meters. Umefurahi sasa? 🙂Akimuuzia nani? 😅😅😅
Kubishana na huyo kilaza ni kujichosha tuu huyo ni mzee wa mapambio tuu usipoteze mda wakoUtaira ulionao ni kushindwa kujua miradi yote hii unayoiweka imeanzishwa na JPM 😅😅😅
Na huna akili sababu hujui namna serikali inafanya kazi, yaani hakuna hata kimoja Samia kafanya zaidi ya kupokea zile pesa za uviko, hizi barabara, miradi ya maji, sgr, ndege 5 zijazo, kila kitu ni legacy, ukitaka jinyonge
Jana umekimbia nilivyokuuliza uback up ur claims kuhusu africab kuwa ni kampuni ya kenyaSawa, hatengenezi meters. Umefurahi sasa? 🙂
Hili daraja kwenye picha na supporting structures hazifiki Tshs 6 bln!Kishindo kingine cha Samia hiki hapa kimfikie Geza and the likes..
Bajeti ya Tarura kutoka bil.272 hadi bil.802 ndani ya mwaka mmja tuu👇
Itakuwa zinauzwa kwa wauza mkaa Kismayo!Akimuuzia nani? 😅😅😅
Sikukimbia, ni kuwa wise maanake wengine wenu humu mnapenda ubishi tu. Utaonyeshwa ila utabisha tu kama unavyoona hapa mnavyobisha hustle ya kijana Mbetsa ambaye amejenga kampuni ya kuunda electronics hadi akaitwa ikulu ya Marekani na nimewapea video ila mnapisha eti anafanya kazi ya kurepair simu. Juzi mkasema kuna slum statehouse Kenya nikawauliza muonyeshe hiyo slum kwa Google maps mkashindwa yet bado mnabisha tu. Sasa kuna haja gani ya kudebate na mtu aina hiyo? Si heri umuache aamini anachotaka kuamini?Jana umekimbia nilivyokuuliza uback up ur claims kuhusu africab kuwa ni kampuni ya kenya