Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huna ppointi dogo yani mtu ajenge hospitali ashindwe kuweka vifaa nikama vile unasema sisi tunajenga reli ya sgr alafu tushindwe kununua treni
😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬

Zile habari Sukuma gang mkiziona mnatumia Sana,huku ndiko SSH anapata mapato sasa.

Coal shipment to Europe imeanza 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220528-180623.png
    Screenshot_20220528-180623.png
    114.4 KB · Views: 31
Naendelea kuwapa vitasa vya SSH nyie muwe mnaitikia na wimbo wenu uliochuja wa hakuna miradi mipya 😂😂..

Mama yuko kazini,limekamilika 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220528-180727.png
    Screenshot_20220528-180727.png
    288.7 KB · Views: 29
Hili taahira hovyo kweli, eti anasema JPM kaanzisha bila kumaliza [emoji23][emoji23][emoji23] anataka amalize akiwa kaburini? [emoji28][emoji28][emoji28]
Jamaa anachekesha sana, kila anachoweka humu ni matokeo ya JPM, hapo anashangilia meli ya makaa ya mawe Mtwara, anajisahaulisha nani kapanua hyo bandari mpk meli kubwa zinaweza kutia nanga hapo. Wenye akili tulishamuacha aongee pumba zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huku SSH kule Biden 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220528-182642.png
    Screenshot_20220528-182642.png
    125.7 KB · Views: 32
  • Screenshot_20220528-081830.png
    Screenshot_20220528-081830.png
    105.6 KB · Views: 33
Huyo ni taahira mkuu, anajidanganya JPM anaweza kifutika kirahisi [emoji23][emoji23] cha ajabu kila picture ya mradi anayo post ni JPM legacy
Hakuna mradi hata mmoja wa maana aliopost alafu usihusiane na Magu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Barrick kumwaga mahela Tzn.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220528-082112.png
    Screenshot_20220528-082112.png
    44.6 KB · Views: 29
  • Screenshot_20220528-082325.png
    Screenshot_20220528-082325.png
    132.2 KB · Views: 28
Sukuma gang ongezeni block..

Naendelea kuwakera na Kazi nzuri ya SSH👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220528-101620.png
    Screenshot_20220528-101620.png
    149.4 KB · Views: 37
Rais Uhuru Kenyatta kajiendesha mwenyewe leo kwenye airshow. Hivi kuna rais mgani mwingine wa Afrika ambaye ana mazoea ya kujiendesha? Napenda jinsi Uhuru yupo free sana.

Mwamba wa chato akiendesha mwendo kasi 👇. Magufuli akiendesha boti 👇. Magufuli akiendesha gari ya kawaida kwa speed kubwa 👇 . Magufuli akiendesha pikpiki 👇 . Mwamba alikua mwerevu hasa
 
Back
Top Bottom