Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Vita ya urusi na ukraini ni neema kwetu , meli iyo ya kampuni ya uswizi
Alafu kuna mtu anasema Magufuli ka accomplish nin
Alafu kuna mtu anasema Magufuli ka accomplish nin
Zije nyingi tunayo mengi ya kutosha..Vita ya urusi na ukraini ni neema kwetu , meli iyo ya kampuni ya uswizi
Kwani serikali bado iko Dar es salaam? Ile hospitali ya rufaa kule mtwara( vituo vya afya)?, vipi usambazaji wa umeme vijijini kufikia 9000+ kutoka elfu 2000+ 2015,uko apa kupost wingi wa magari pale port hujui expansion ilifanyika kipindingani? Kupoka mradi wa bomba la mafuta?ujenzi wa mabarabara kutoka elfu 9000km mpka 13000km, vipi kurudisha huduma za rail kaskazini na kuboresha ya kwenda kigoma mpka waifanyia welding?hatakama ni kipofu kipindi gani kilifufua shirika la ndege pia uambiwe?upanuzi wa mabandari yote,vivuko vipyana meli mpya ikiwemo ile ya Mwanza?Complishments za Magufuli ziko wapi? Taja hata moja ..
Hujaona chuki binafsi zisikufanywe kuwa mpumbavu..
Salander bridge ikiwa imekamilishwa? Juzi Rais alikuwa kuzindua barabara aliyoimalizia nani?.
Harafu usiwe mpumbavu,miradi aliyomaliza JK huijui? [emoji116]
Rais Uhuru Kenyatta kajiendesha leo kwenye airshow. Hivi kuna rais mgani mwingine wa Afrika ambaye ana mazoea ya kujiendesha? Napenda jinsi Uhuru yupo free sana.
Yeah, I remember seeing Kagame driving his range rover. Museveni bado ni old school sana. Yeye akitaka kupiga simu anasimamisha magari anatoka nje na kiti ili apige simu.Me najua Uhunye, Abiy na Kagame tu. 😀
Upofu wa kusudi ndio tatizo.Vita ya urusi na ukraini ni neema kwetu , meli iyo ya kampuni ya uswizi
Alafu kuna mtu anasema Magufuli ka accomplish nin
Mimi kusema kweli huyo jamaa nilisha mpiga block kitambo sana... [emoji4].Kwani serikali bado iko Dar es salaam? Ile hospitali ya rufaa kule mtwara( vituo vya afya)?, vipi usambazaji wa umeme vijijini kufikia 9000+ kutoka elfu 2000+ 2015,uko apa kupost wingi wa magari pale port hujui expansion ilifanyika kipindingani? Kupoka mradi wa bomba la mafuta?ujenzi wa mabarabara kutoka elfu 9000km mpka 13000km, vipi kurudisha huduma za rail kaskazini na kuboresha ya kwenda kigoma mpka waifanyia welding?hatakama ni kipofu kipindi gani kilifufua shirika la ndege pia uambiwe?upanuzi wa mabandari yote,vivuko vipyana meli mpya ikiwemo ile ya Mwanza?
Elimu bure?unajua wanafunzi wqngapi walianzishwa chekechea?kuongenza madawati na madarasa.kuwa na adabu
Ivi unajua kuwa 2015 kampuni za bia ndio zilikuwa zina toa kodi kubwa?wakati tunamadini ya kila aina?leo mnachelea kuwepo kwa mapato ya dhahab mnasahau ni bada ya kuanzishwa kwa masoko ya madini ndani ya nchi na kujenga smelter,unajua ma billionare wangap tuliwapata?vipi kule mereran? Kujitoa muhanga ili kuweza kubadili sheria za madini kwa faida ya Taifa ?na uhakika maswala ya treni za umeme tungendelea kuishi kama ndoto.kuwa na adabu
Kifupi mwenda zake amefanya zaidi ya kawaida , japo alikuwa na mapungufu yake hasa kwenye siasa na kuibana mbavu private sector.
Huyu 1 atafanya anacho weza lakin wacha kufananisha mbingu na ardhi, ivi uyu mama ndio angemfwata JK, leo kungekuwa na bwawa la nyerere?serikali dodoma?kunadilishwa kwa sheria za madini? Vipi kipindi cha uviku watu wasinge lia njaa?kuwa na adabu View attachment 2242310View attachment 2242311View attachment 2242313View attachment 2242314
Kwa akili yako finyu unaona kuna 500 billion excess kati ya hiyo miezi?Sasa kuna cha kujisifu hapo kweli kama miaka yote hiyo ongezeko ni bil.500 monthly?
Haya hapa kuna ongezeko la Bei gani kutoka 1.3Triln? 👇
Hivyo hivyo mwenzako alisema hakuna kiwanda cha mita za umeme Tanzania, tunaagiza kunyaland, mwishowe kaondoka na aibu 😅😅Vitu kama hizi huezipata Tanzania.
Uwe unaweka maandishi sio kujisemesha kama shabiki...nataka maandishi ya barabara yanayoonesha kutoka 9,000 hadi 13,000...Kwani serikali bado iko Dar es salaam? Ile hospitali ya rufaa kule mtwara( vituo vya afya)?, vipi usambazaji wa umeme vijijini kufikia 9000+ kutoka elfu 2000+ 2015,uko apa kupost wingi wa magari pale port hujui expansion ilifanyika kipindingani? Kupoka mradi wa bomba la mafuta?ujenzi wa mabarabara kutoka elfu 9000km mpka 13000km, vipi kurudisha huduma za rail kaskazini na kuboresha ya kwenda kigoma mpka waifanyia welding?hatakama ni kipofu kipindi gani kilifufua shirika la ndege pia uambiwe?upanuzi wa mabandari yote,vivuko vipyana meli mpya ikiwemo ile ya Mwanza?
Elimu bure?unajua wanafunzi wqngapi walianzishwa chekechea?kuongenza madawati na madarasa.kuwa na adabu
Ivi unajua kuwa 2015 kampuni za bia ndio zilikuwa zina toa kodi kubwa?wakati tunamadini ya kila aina?leo mnachelea kuwepo kwa mapato ya dhahab mnasahau ni bada ya kuanzishwa kwa masoko ya madini ndani ya nchi na kujenga smelter,unajua ma billionare wangap tuliwapata?vipi kule mereran? Kujitoa muhanga ili kuweza kubadili sheria za madini kwa faida ya Taifa ?na uhakika maswala ya treni za umeme tungendelea kuishi kama ndoto.kuwa na adabu
Kifupi mwenda zake amefanya zaidi ya kawaida , japo alikuwa na mapungufu yake hasa kwenye siasa na kuibana mbavu private sector.
Huyu 1 atafanya anacho weza lakin wacha kufananisha mbingu na ardhi, ivi uyu mama ndio angemfwata JK, leo kungekuwa na bwawa la nyerere?serikali dodoma?kunadilishwa kwa sheria za madini? Vipi kipindi cha uviku watu wasinge lia njaa?kuwa na adabu View attachment 2242310View attachment 2242311View attachment 2242313
View attachment 2242314
No bro,unless wako on the same altitude ndio TCAS takes over for separationTCAS inafanya kazi hapo.
Unataka kusema kdf haijawahi kuvunja matofali kwenye maonesho?Si mlishatuonyesha?? nini tena zaidi ya wale jamaa wa kubeba sufuria na kuvunja matofali??
Huyo ni taahira mkuu, anajidanganya JPM anaweza kifutika kirahisi 😂😂 cha ajabu kila picture ya mradi anayo post ni JPM legacyKwani serikali bado iko Dar es salaam? Ile hospitali ya rufaa kule mtwara( vituo vya afya)?, vipi usambazaji wa umeme vijijini kufikia 9000+ kutoka elfu 2000+ 2015,uko apa kupost wingi wa magari pale port hujui expansion ilifanyika kipindingani? Kupoka mradi wa bomba la mafuta?ujenzi wa mabarabara kutoka elfu 9000km mpka 13000km, vipi kurudisha huduma za rail kaskazini na kuboresha ya kwenda kigoma mpka waifanyia welding?hatakama ni kipofu kipindi gani kilifufua shirika la ndege pia uambiwe?upanuzi wa mabandari yote,vivuko vipyana meli mpya ikiwemo ile ya Mwanza?
Elimu bure?unajua wanafunzi wqngapi walianzishwa chekechea?kuongenza madawati na madarasa.kuwa na adabu
Ivi unajua kuwa 2015 kampuni za bia ndio zilikuwa zina toa kodi kubwa?wakati tunamadini ya kila aina?leo mnachelea kuwepo kwa mapato ya dhahab mnasahau ni bada ya kuanzishwa kwa masoko ya madini ndani ya nchi na kujenga smelter,unajua ma billionare wangap tuliwapata?vipi kule mereran? Kujitoa muhanga ili kuweza kubadili sheria za madini kwa faida ya Taifa ?na uhakika maswala ya treni za umeme tungendelea kuishi kama ndoto.kuwa na adabu
Kifupi mwenda zake amefanya zaidi ya kawaida , japo alikuwa na mapungufu yake hasa kwenye siasa na kuibana mbavu private sector.
Huyu 1 atafanya anacho weza lakin wacha kufananisha mbingu na ardhi, ivi uyu mama ndio angemfwata JK, leo kungekuwa na bwawa la nyerere?serikali dodoma?kunadilishwa kwa sheria za madini? Vipi kipindi cha uviku watu wasinge lia njaa?kuwa na adabu View attachment 2242310View attachment 2242311View attachment 2242313View attachment 2242314
Wewe inawezekana ni school dropout ikiwa unashindwa hata kufanya simple maths kama hiyo..Kwa akili yako finyu unaona kuna 500 billion excess kati ya hiyo miezi?
Ku urgue na fool ni kujichosha,uko experienced kwenye upumbavu 👇I repeatedly said, "you are very stupid".
Hamna chochote mama yako anafanya JPM hakufikaWewe inawezekana ni school dropout ikiwa unashindwa hata kufanya simple maths kama hiyo..
Summation of Revenues for 3 consecutive qters =16.69Trilion/9=1.85Til..,
Kwa hiyo 1.85 less 1.3 Unapata ngapi wewe kilaza? Figures kama hizi uliwahi ziona awamu ya 5? 👇