Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yah gati imekamilika karbia mwaka sasa , bila iyo gati mpya iyo meli ikitiaje nanga hapo
Acha kuzingua,gati imekamilika kwenye mwezi wa 12 mwaka Jana sio mwaka....

By the way ujenzi wa barabara ya kuunganisha na gati jipya utaanza mwaka ujao 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220528-192531.png
    Screenshot_20220528-192531.png
    65 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220528-191859.png
    Screenshot_20220528-191859.png
    175.5 KB · Views: 16
Mwamba wa chato akiendesha mwendo kasi 👇. Magufuli akiendesha boti 👇. Magufuli akiendesha gari ya kawaida kwa speed kubwa 👇 . Magufuli akiendesha pikpiki 👇 . Mwamba alikua mwerevu hasa

Mwamba kama Mwamba 😬😬😬..

Huyu na yule wa kupiga sarakasi kuna tofauti ipi? 🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20220526-121511.png
    Screenshot_20220526-121511.png
    164.3 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220526-121519.png
    Screenshot_20220526-121519.png
    182.3 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220526-121938.png
    Screenshot_20220526-121938.png
    318 KB · Views: 19
Battle ni dar vs Nairobi turudi kwenye jambo lilitotuweka hapa...niliwahi kusema hizi habar ila jamaa amekaza sana haelewi,mahaba yamemzidi
Mbona huwaambii hao mafala wenzenu?

Tuko awamu ya 6 ,tuna post mambo yanayofanywa na Serikali..

Wakileta ligi na sijui kuponda na kulinganisha lazima zijibiwe accordingly..
 
Aisee hii ni hatari kama mnavyomjua Kagame lazma a-retaliate na hapa ndipo Wajinga wa Kaskazini watajijua hawajui na kujitamba agressiveness yao! On the other hand more money to our TCAA maana Rwanda itaongeza matumizi ya air space yetu!









Huyu Bwana Mdogo akiwa Rais wa Uganda kazi wanayo…..he is so immature.
 
Hili taahira hovyo kweli, eti anasema JPM kaanzisha bila kumaliza 😂😂😂 anataka amalize akiwa kaburini? 😅😅😅
Unajenga nyumba inafika hadi hatua ya kuweka mbao .. yan bado kuwezeka bati tu...unafariki afu ndugu wanaanza kulalamika mbona hakumaliza kuweka bati..
Au anatokea ndugu anamalizia kuweka bati..mnaona alieweka bati kafanya la maana kuliko aliejenga msingi wa nyumba hadi kufikia hatua ya kuweka mbao..
Haingii akilin lbda uwe mwehu
 
Unataka kusema kdf haijawahi kuvunja matofali kwenye maonesho?
Siku wakiwaonyesha wakivunja matofali watabadili gear angani. Ila kama komandoo na mkufunzi wa GSU alimkimbia jambazi mwenye panga unategemea wana mafunzo gani Kaka?
 
We jamaa unaakili ndogo sana
Watu kama ww hatuwataki kwenye hii forum
Sasa hapa amedanganya nini hizi records si zipo tangu mwaka juzi? Jamani hata kama kuna agenda ya kusifia tusifie kwa usawa. Kwani hawezekani kusifia pasipo kusema sijui mwendazake/Magufuli this and that??
 
Acha tabia ya kujitia wazimu, nimekwambia huyo mama hamfiki rais yoyote aliye pita na hayuko kwenye level ya kucompet na yeyote, Ila nakupinga wehu wa kujifanya huoni chochote alicho fanya mwenda zake...
 
Hata ulie but haiondoi ukweli kwamba massive projects kama bwawa la JNHPP na electrifitried SGR phase 1 ni pesa za ndani.
Hivi unaweza kwenda kukopa kwa mtu au sehemu kama huna uwezo wa kulipa na ukakopeshwa? Kama alikopa alijua wapi atapata pesa ya kulipia mkopo/mikopo.

Kitu kinachowauma hawa watu ni uamsho alioufanya Magufuli kwa Tanzania na hauzimiki ni bampa to bampa mpaka kieleweke.

Zamani walikuwa wanatuita malazy kwamba shamba la bibi, Magufuli baada ya kuwabana wakapoteana, miradi mingi aliyoianzisha hawakujua kama itawezekana, sasa wameona kwamba itaisha na itaipaisha Tanzania kiuchumi.

Kitu kingine ni uchumi wa kati ,hawakupenda kusikia hiki,sisi tunapanda, wao wanashuka. Hata baadhi ya Watanzania wanajiuliza why it wasn't me but him?
Chuki ni kubwa kwasababu alituaminisha mambo mengi yanawezekana kwetu tukiamka kama taifa. Rasilimali zetu zinatutosha kabisa kututoa hapa tulipo na kwenda mbele zaidi.
 
Back
Top Bottom