Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikua nadhani ni jokes, kumbe haka kastation ni kadogo hivi.

dar-es-salaam-in-tanzania-aerial-view-picture-id1279126140
Hapo bottom right naona daladala
 
Ntapost Mkuu Tonny ngoja nitafute makaratasi yenyewe yalipo, Maana sijaona umuhimu wake, Wakati nasoma ughaibuni kuna mtu raia wa nje aliniona kupitia social media yangu, Akaniambia ukirudi njoo kwenye kampuni yangu upige kazi , Nilivyokuja tu nikaenda ofisini kwake kaniambia nianze kazi kesho yake, Sijawahi peleka hata hizo certificates na nina uhakika sintapeleka tena popote hata Copy yake . Kwa kuwa siku nikitoka kwake siombi kazi tena popote kwani hapa najiandaa kufanya yangu mwenyewe.

BTW nimeishi ughaibuni kwa Miaka zaidi ya kumi baada ya High school na nimeishi huko hadi Nilipopata masters nikarudi zangu.

View attachment 2241150

Hiko Kiatu kwa Bei ya Bongo ni kama Laki tano na Kitu, najua hutaamini ila ndio bei yake. Nikichanganya na hiyo bei ya saa unafungua duka , Btw angalia hilo koti La Moncler na bei zake kwa ajili ya rejea

View attachment 2241164


Nilikua napenda Sana Bike enzi hizo hata hapa nyumbani nilinunua Ki SYM Xross .


Hiki hapa ki YSM xross 125 nikitoka kuangalia kiwanja changu kigamboni, Niligongwa na Dereva Taxi pale Palm beach nikakauza siku hiyo hiyo nikahamia kwenye zile asset zako ki F20 cha 2012
 
That magma cum laude is for Bachelor's degree of Science in Mechanical Engineering. And throughout my secondary school education, i was the best student in Basic Mathematics every year, & I also tool addition mathematics and effortlessly passed with A in both form four and form six national exams, but additional maths with B in form four. Ukitaka ushahid wa awards za best student in mathematics nakutumia humu publicly (for just one, look at pic below: tokeo la form 4). So kuwa na heshima/adabu😅

Kuongezea
(Mathematics is my best subject ever, i really love it, unfortunately sikutaka nibase kwenye maths kwa maana kusomea degree yake; niliplan niwe engineer).. but kama itawezekana in future, napenda niwe na cheti (degree) cha mathematics kutoka chuon ili hata nikiwaambia watoto na wajukuu kuwa naipenda maths, niwaonyeshe na evidence ya degree yake pia 🤣 View attachment 2241407
Magna cum laude
Impressive!
 
Nimefuta picha yangu. Nilikuwa nataka kupost kwa dakika chache tu. Kuhusu swali lako. Nilifanya kazi mwaka mmoja unusu kabla ya kupata fully paid Czech government scholarship. Unalipiwa kila kitu kwa miaka miwili ya masomo ikiwemo monthly stipend ya upkeep.

Baada ya kurudi nyumbani June 2019, nilipata kazi baada ya mwezi mmoja tu ya kuwasili. Ni miaka mitatu sasa baada ya kuwasili Kenya. Ukiongeza na mwaka mmoja unusu ile ya awali basi nimefanya kazi miaka minne unusu pekee.
Aisee!

Bado sanaa!
 
Kidogo ifanane na CRDB makao makuu DAR.
Sidhani kama zinafanana. Crdb hq ina 14 floors linganisha hio na cbk tower ambayo ina 27 floors. Ila zinatoshana kabisa kwenye bei. Majengo yote mawili yalicost around $25 million kujenga. So bei ni same, sasa wewe mwenyewe jiulize nani kapigwa!


Crdb bank headquarters (14 floors)
images (6).jpeg

images (7).jpeg


Central bank of Kenya pension tower (27 floors)
FTrsRcaWQAg2fXO.jpeg
download (4).jpeg


Angalia hapa bei zinatoshana 👇 👇
Screenshot_20220528-050247.png




Screenshot_20220528-050135.png
 
Dar es Salaam, Tanzania

AZAM GROUP: AN AFRICAN GIANT One of the Biggest Conglomerate in East Africa



When I visited Tanzania, the word AZAM was everywhere from Zanzibar to Dar es Salaam. I looked into it and found that it is part of a huge company - a true AFRICAN GIANT in business.

Analysing An African Giant: AZAM (Bakhresa Group)| Tanzania

Source : Chido Starts Up
 
ASAS DAIRIES FARM LTD - TANZANIA



ASAS DAIRIES FARM LTD Take a look at one of our Asas Dairies farms (Msisina) in Iringa where corn is being harvested for silage. Our corn silage season is in full swing. Both crop and harvest conditions have been pretty much ideal so far. As they say, “The ultimate goal of farming is not the growing of crops, but the cultivation and perfection of human beings”
 
Back
Top Bottom