7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,066
Kweli mzee inapiga kwa kwenda mbele, sasa hivi hatutaki tena kelele za kutengeneza hasara na madeni yasiyoeleweka. Kwa juhudi hizi lazima ilipe.Jioni hii mzee, ATCL inapiga kazi kwa ss co mchezo.
Kweli mzee inapiga kwa kwenda mbele, sasa hivi hatutaki tena kelele za kutengeneza hasara na madeni yasiyoeleweka. Kwa juhudi hizi lazima ilipe.Jioni hii mzee, ATCL inapiga kazi kwa ss co mchezo.
Sawa.. next time hasa wakenya, msituchukulie poa humu ndan 😄.. eti hatujui englishSikuwa nazungumza kuhusu wewe. Nilikuwa namjibu tu Geza Ulole kwa ujumla kuhusu magma cum laude. Najua hujasomea psychology. Umesomea vitu nzito.
Picha ya 3 kutoka juu mkuu sijaielewa,mbona kama iko ukingoni halafu mbele kuna jengo kubwa.Naomba unieleweshe tafadhali.
Embu post hapa madaraja ya hizo rivers in Nairobi nicheke kidogo. There is a difference between a river and a stream.Do you know the meaning of the word 'inland city' that you used? Ama hii ndio kubadilisha gear hewani?
And just in case you didn't know, there are so many rivers in Nairobi
Yaani ni bonge la CV kubwa watu Mathematics wanatafutwa sana hata nje, kikiwa vizuri ni LULU. Kama uko kazini unaweza kuapply Open University mitaala yao iko vizuri kwa wafanyakazi na watu ambao muda wao hautoshi kuwa darasani wakati wote. Pia vyuo vya nje Online Courses vinafundisha pia.Kweli mkuu.. hii kitu inabidi niiwekee malengo yake.. at least pia niwe na degree nyingine ya mathematics
Nimekusoma kaka.Thanks.Hapo ndo 'mwisho wa reli' kwa Dar
Kawaida yenu sana kukana kila kibaya chenuHata mimi nimezikana, hiyo bendera hapo pembeni kulia ni ya chama gani? Udongo wake pia unaonekana ni mfinyanzi na siyo kichanga.
Sure!!Ni kawaida yetu Watz.
Sijawahi kuwa na hamu ya kuja kutembea Nairobi nasikia crine rate ni kubwa sana maana mimi ni reveller naogopa profiling. I have been there few times kikazi lakini sichezi mbali na hotel nazofikia Sarova Stanley, Panari au the Bomas.Najua haya mambo hamjazoea huko kwenu glorified fishing village but it's called preserving green spaces. Nairobi ni green city under the sun. Hapo ni Gigiri ambapo makao makuu ya Umoja wa Mataifa yanapatikana. Besides that, kuna embassies nyingi sana hilo eneo ikiwemo za Marekani na Canada among many others. So usishangae sana. Ukifika Nairobi jaribu utembee maeneo hayo. Utarudi kwenu uswazini na maswali mengi sana bila kupata majibu
Upo dar nini unajaribu kutafuta slums but uzioni unaishia kupost tuThe same street.
![]()
So it's no longer about 'inland cities shouldn't experience flooding' to now 'nionyeshe madaraja"Embu post hapa madaraja ya hizo rivers in Nairobi nicheke kidogo. There is a difference between a river and a stream.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
70 % of dar is slums infact kutafuta the rest 30% ndio ngumu.Upo dar nini unajaribu kutafuta slums but uzioni unaishia kupost tu
Don't quote me if you can't name one.
The company manufacturing them in Tanzania is Kenyan owned and you think we don't manufacturer them?🤣🤣Kama ingekuwa rahisi si mngekua mnajitengenezea basi mbona mnaagiza njee
Alafu video ipi unasema
Kudos mzee...mm namba zilikua zinanigonga sana...I was gud in phy,chem &Biol, nikasoma pcb later medicineThat magma cum laude is for Bachelor's degree of Science in Mechanical Engineering. And throughout my secondary school education, i was the best student in Basic Mathematics every year, & I also tool addition mathematics and effortlessly passed with A in both form four and form six national exams, but additional maths with B in form four. Ukitaka ushahid wa awards za best student in mathematics nakutumia humu publicly (for just one, look at pic below: tokeo la form 4). So kuwa na heshima/adabu[emoji28]
Kuongezea
(Mathematics is my best subject ever, i really love it, unfortunately sikutaka nibase kwenye maths kwa maana kusomea degree yake; niliplan niwe engineer).. but kama itawezekana in future, napenda niwe na cheti (degree) cha mathematics kutoka chuon ili hata nikiwaambia watoto na wajukuu kuwa naipenda maths, niwaonyeshe na evidence ya degree yake pia [emoji1787] View attachment 2241407
Sasa kama akina Serena Williams come here and have a good time sasa wewe hustler nani atakuwa na haja ya kukuprofile?! 😂Sijawahi kuwa na hamu ya kuja kutembea Nairobi nasikia crine rate ni kubwa sana maana mimi reveller naogopa profiling. I have been there few times kikazi lakini sichezi mbali na hotel nazofikia Sarova Stanley, Panari au the Bomas.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Dar hakuna udongo mgumu na wa rangi hiyo umeuziwa matango pori [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi wewe hujui Dar. Barabara zenu kwa middle class area ni shamba, sasa uswazi je?
![]()