7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,066
Hongereni wafanyakazi, chonde chonde mkiwa mnatupita na STK,STJ,msitumwagie maji machafu barabarani kwa kuvimba kwenu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mama kama Mama ameamua tuvimbe mjini
Hongereni wafanyakazi, chonde chonde mkiwa mnatupita na STK,STJ,msitumwagie maji machafu barabarani kwa kuvimba kwenu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mama kama Mama ameamua tuvimbe mjini
Vyeti ni makaratasi tu kama cheti cha ndoa [emoji16][emoji16][emoji16]Sasa unataka nitishike kwa sababu nimesoma na kugraduate? Hahaha [emoji1787][emoji28] Jamaa anataka nitishike kwa sababu ya kusoma hadi chuo kikuu. Majority ya watu hapa JF hawajamaliza hata high school. Siwezi kupata aibu kwa sababu ya werevu ambao nimepewa na Mungu. So far bado hakuna Mtanzania yeyote aliyepost degree certificate yake humu Including NDINDA anayeringa bila kupost chochote.
Heheheheeee mpaka sasa tayari Watz wawili hapa wamesoma mbele, wao wanatamba na videgree vya Maseno, samahani bwana Tony ngoja na mm nikupige kdg [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]In a room of full professors, no one calls himself a prof.. unamvimbia nan sasa kama wote ni maprof, lbd kama kuna na maDr ndan kujiita prof kidogo utaleta heshima (kujivimbia).. im a degree holder too kutoka USA and masters kutoka UDSM (ya juzijuzi tu hapa) ... kama hutaki kuamin niseme tu nimeishia la saba [emoji28].. na sijakutisha sababu umesoma.. what i did is kujua details zako mana ulificha kwa cheti.. and through them nimejua majina yako na grade ulizopata (mana kuna waliopata 1st class honours, 2nd class honours upper division & lower division)..hata wew najua ulipata ngap.. thats all.. & through them ninaweza kujua humu ndan unasema ukwel au unadanganya.. mana nyie kwa kusema uongo hamjambo. Ila kuwa na aman [emoji111]
View attachment 2241214
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tafadhali sanaHongereni wafanyakazi, chonde chonde mkiwa mnatupita na STK,STJ,msitumwagie maji machafu barabarani kwa kuvimba kwenu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii barabara ya Lusahunga-Rusumo imeharibu sana magari ya watu bora ikitengenezwa madereva watapumua hasa magari makubwa haipiti wiki kukuta magari kadhaa yamekwama au yamedondoka.[emoji122]
Mikopo ni mizuri..ila itumike kikamilifu kweny mirad iliyokusudiwa
View attachment 2241104View attachment 2241105
Tony254 , unajua Magna cum laude ni nn?In a room of full professors, no one calls himself a prof.. unamvimbia nan sasa kama wote ni maprof, lbd kama kuna na maDr ndan kujiita prof kidogo utaleta heshima (kujivimbia).. im a degree holder too kutoka USA and masters kutoka UDSM (ya juzijuzi tu hapa) ... kama hutaki kuamin niseme tu nimeishia la saba 😅.. na sijakutisha sababu umesoma.. what i did is kujua details zako mana ulificha kwa cheti.. and through them nimejua majina yako na grade ulizopata (mana kuna waliopata 1st class honours, 2nd class honours upper division & lower division)..hata wew najua ulipata ngap.. thats all.. & through them ninaweza kujua humu ndan unasema ukwel au unadanganya.. mana nyie kwa kusema uongo hamjambo. Ila kuwa na aman ✌
View attachment 2241214
Dar inapambwa na majengo yaliyojengwa kipindi cha JKIla la dsmView attachment 2240846
NDINDA co mzee wacha woga ni kijana kama wewe na huenda umemzidi umri au mko sawa au kakupita kdg, wengine wamezaliwa familia za kipato cha juu kufanikiwa kama kuvunja bua la mhindi vilee kama kina Simon na wengine pia hustling na mipango ya Mungu pia, so mtu kuendelea co lazima awe mtu mzima au mzee.NDINDA Sawa. Kwanza, Mimi sitapinga na kusema kwamba unadanganya wala nini. Kwa uungwana wangu nitakubali kwamba hizi picha kweli ni zako.
Pili, sitadanganya kwamba nimefanya kazi kwa muda mrefu kukushinda kwa sababu nimefanya kazi kwa miaka michache tu. Umri wangu bado mdogo sana. Sasa nakubali pia upo mbele yangu kwenye mambo ya asset acquisition. Japo nami pia ninajaribu kujiendeleza upande huo.
Mzee aliyefanikiwa kama wewe unastahili kutupatia motisha sisi vijana wadogo tuliomaliza masomo juzi na kufanya kazi kwa miaka michache tu. Hongera. Mimi sipo JF kudhihaki au kudharau yeyote. Sasa sielewi kwa nini watu wasiheshimiane. Tuheshimiane tu kwa sababu kila mtu ana path yake ya maisha. Hapa nikiwa masomoni nje [emoji116] [emoji116]
View attachment 2241217View attachment 2241218
Asee watu wengine hapa watakuwa "hawagusi mishahara"
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji106][emoji106][emoji106]Yah Tony mtu poa sana japo naye mda mwingine anajiingiza kwenye matatizo bure lkn jamaa hana tabu na mtu. Ndiye rafiki yangu pekee kutoka Kenya tangu dunia kuumbwa.
Soja unajua unaongea hapa na bado hujatuonyesha yako.NDINDA co mzee wacha woga ni kijana kama wewe na huenda umemzidi umri au mko sawa au kakupita kdg, wengine wamezaliwa familia za kipato cha juu kufanikiwa kama kuvunja bua la mhindi vilee kama kina Simon na wengine pia hustling na mipango ya Mungu pia, so mtu kuendelea co lazima awe mtu mzima au mzee.
Noma mzee, wazee wa kudukua [emoji39][emoji39]nyinyi watanzania ni watu wabaya sana.. [emoji28]
Pamoja mkuu.In a room of full professors, no one calls himself a prof.. unamvimbia nan sasa kama wote ni maprof, lbd kama kuna na maDr ndan kujiita prof kidogo utaleta heshima (kujivimbia).. im a degree holder too kutoka USA and masters kutoka UDSM (ya juzijuzi tu hapa) ... kama hutaki kuamin niseme tu nimeishia la saba 😅.. na sijakutisha sababu umesoma.. what i did is kujua details zako mana ulificha kwa cheti.. and through them nimejua majina yako na grade ulizopata (mana kuna waliopata 1st class honours, 2nd class honours upper division & lower division)..hata wew najua ulipata ngap.. thats all.. & through them ninaweza kujua humu ndan unasema ukwel au unadanganya.. mana nyie kwa kusema uongo hamjambo. Ila kuwa na aman ✌
View attachment 2241214
Kishindo cha awamu ya SitaIringa, Lake Manyara na Tanga ni muhimu sana kwenye Utalii..Pia hizo barabara za South tanzania ni muhimu cause ya Uzalishaji wa mazao mengi ,hasa Mahindi, Parachichi na Korosho
Us army tunapiga nao mzigo kimya kimya hao
Nyie huwa hamuoneshi ni mkopo wa nini na mnaufisadi Sana.When it's Tanzania borrowing then it's good but when it comes to Kenya it becomes bad.
Do you want us to teach you how to upload pictures in JF?Us army tunapiga nao mzigo kimya kimya hao
Mm sijasoma mbwa wewe mzee wa kuomba cheti, eti kasoma university of Nairobi, eti ana ajira alafu anavaa buti lina mashavu na infinix yenye 2gb Ram, nenda kadanganye chokoraa wenzio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]So unajua unaongea hapa na bado hujatuonyesha yako.
Nilisema mie [emoji28][emoji28][emoji28]In a room of full professors, no one calls himself a prof.. unamvimbia nan sasa kama wote ni maprof, lbd kama kuna na maDr ndan kujiita prof kidogo utaleta heshima (kujivimbia).. im a degree holder too kutoka USA and masters kutoka UDSM (ya juzijuzi tu hapa) ... kama hutaki kuamin niseme tu nimeishia la saba [emoji28].. na sijakutisha sababu umesoma.. what i did is kujua details zako mana ulificha kwa cheti.. and through them nimejua majina yako na grade ulizopata (mana kuna waliopata 1st class honours, 2nd class honours upper division & lower division)..hata wew najua ulipata ngap.. thats all.. & through them ninaweza kujua humu ndan unasema ukwel au unadanganya.. mana nyie kwa kusema uongo hamjambo. Ila kuwa na aman [emoji111]
View attachment 2241214