Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm sijasoma mbwa wewe mzee wa kuomba cheti, eti kasoma university of Nairobi, eti ana ajira alafu anavaa buti lina mashavu na infinix yenye 2gb Ram, nenda kadanganye chokoraa wenzio
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
Don't worry about my career cause whatever I studied allows me to jump from one company to the other without struggles. I'm soon starting a new job in another company while you are still stuck as watchman.

Screenshot_20220527-211354_1.jpg
 
Nimefuta picha yangu. Nilikuwa nataka kupost kwa dakika chache tu. Kuhusu swali lako. Nilifanya kazi mwaka mmoja unusu kabla ya kupata fully paid Czech government scholarship. Unalipiwa kila kitu kwa miaka miwili ya masomo ikiwemo monthly stipend ya upkeep.

Baada ya kurudi nyumbani June 2019, nilipata kazi baada ya mwezi mmoja tu ya kuwasili. Ni miaka mitatu sasa baada ya kuwasili Kenya. Ukiongeza na mwaka mmoja unusu ile ya awali basi nimefanya kazi miaka minne unusu pekee.

Basi tumezidiana kidogo miaka miwili Boss . [emoji41] Mimi pia nilipata scholarship ya Serikali ya Jiji flani baada ya Bachelor.
 
Ni kweli Tony, Kuhusu path ya Maisha kila mtu ana yake na haifai kudhihaki, Mimi siwezi dhihaki njia yoyote ya Maisha anayofuata mtu. Mimi nimebahatika kuona watu wanaoishi [emoji1787], Yaani unajijua live mimi kweli nasurvive siishi. Pia nimewahi kukaa na watu matajiri na wanaotoka mataifa Tajiri na walioendelea na kuona wanavyoishi na wanabishana kuhusu usafi wa miji yao. Wakati mimi naabudu mji flani ulivyomsafi kuna mtu anauponda na kusema mchafu [emoji1787]. Basi hapo ndio unapojua hujui. Je wewe umefanya kazi miaka mingapi toka umemaliza shule? Inawezekana hatujaachana sana [emoji41]
Inawezekana kumbe mimi humu ndiye muhenga kuliko wote,sasa nitaanza kukaa kwa kutulia niwe mtuliza fujo, halafu kama hustle na kustruggle hamnivikii wengine mmezaliwa kwenye neema au mambo yalienda vizuri kwa support ya familia na wazazi wenu tofauti na mimi ambaye nimeishi kwa kubuni na kula kwa namba. Lakini ninajivunia mafanikio niliyo nayo mpaka sasa.

Tuishi kwa kuvumiliana na kuheshimiana wazee. Ila kuna wachokozi mpaka haya yote yanatokea. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo Tanzania nzima kumekosekana mtu mpaka tuje Kunyaland! Una wazimu wewe!
Who manufacturers electronics in Tanzania? Hata bulb pekee mnamanufacture nyinyi? Unadhani kumanufacture electronics from scratch ni mchezo? 🤣🤣
 
Hizi ajira zimepigiwa kelele sana kuhusu kibali, kama kitatoka maana yake ule upungufu wa wafanyakazi kwenye idara ya afya hautakuwepo kwasababu walikuwa hawana kibali cha kuajiri.
Ni kweli mkuu maana kuna vituo vya afya,zahanati na hospital za Wilaya zimekamilika zaidi miaka 2 Sasa ila hazifanyi Kazi Kwa sababu hakuna watumishi kwa hiyo hii ni njia nzuri..

Tanroads na Tarura wanatumia Sana mbinu hii, yaani kwenye hizo taasisi 50% ya ajira ni za mkataba.
 
Ni kweli mkuu maana kuna vituo vya afya,zahanati na hospital za Wilaya zimekamilika zaidi miaka 2 Sasa ila hazifanyi Kazi Kwa sababu hakuna watumishi kwa hiyo hii ni njia nzuri..

Tanroads na Tarura wanatumia Sana mbinu hii, yaani kwenye hizo taasisi 50% ya ajira ni za mkataba.
Hapa watakuwa wameupiga mwingi sana.
 
Sasa unataka nitishike kwa sababu nimesoma na kugraduate? Hahaha [emoji1787][emoji28] Jamaa anataka nitishike kwa sababu ya kusoma hadi chuo kikuu. Majority ya watu hapa JF hawajamaliza hata high school. Siwezi kupata aibu kwa sababu ya werevu ambao nimepewa na Mungu. So far bado hakuna Mtanzania yeyote aliyepost degree certificate yake humu Including NDINDA anayeringa bila kupost chochote.
Tukipost huku utakimbia wewe kijana. Sisi sio watu wa mchezomchezo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kawaida.. binadam huwa tunapewa kushow off kitu cha thaman ulichonacho kuzid.. now imagine kaenda sijui kusoma nje.. lkn kapost cheti cha chuo cha maseno 😂😂
yan umesoma nje ila unapost maseno tena kwa kufichaficha kisijulikane🙄😂

Kibaya zaid naweza kumtrack majina yake na kujua ukweli anayoyasema.. kaonyesha graduation year (12/2015), school aliyosomea (business & economics), na jina lake moja (TONY), huko mtandaon maseno inatoa graduation booklet kila mwaka inaonyesha list ya waliograduate mwaka husika na school husika
View attachment 2240857
Jamaa alisema he posted maisha yake kidogo sana but he was willing to go full blown if NDINDA was ready to do the same. Sio jambo rahisi kwa mtu kujianika mitandaoni but if he's ready to do that why is the other guy not ready?
 
Back
Top Bottom