Sikiliza ulivyo mpumbavu!Who manufacturers electronics in Tanzania? Hata bulb pekee mnamanufacture nyinyi? Unadhani kumanufacture electronics from scratch ni mchezo? 🤣🤣
Nionyeshe electronics mnazomanufacture Mr. Geza Ulole.Sikiliza ulivyo mpumbavu!
Subiri utajibiwa!Nionyeshe electronics mnazomanufacture Mr. Geza Ulole.
Tanzania kuna zaidi ya viwanda vi5 vya kutengeneza mita na vinatosheleza mahitaji ya mita, Tanzania haiagizi mita kutoka nje
Haiondoi ukweli kwamba Samia keshaizidi legacy...Your level of stupid is terrible!
Ngoja wazee wa infinix 2gb Ram nao wapige picha kama hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecapture hii just a moment ago.. ndege mbil za mbal sana zinapishana
Hio yenye moshi inaonekana ilikuwa na spid, mana before..huyo mwingine alikuwa karibu..mara naona kapitwa distance ndefu after intersection point
View attachment 2241742
Mama sio mtu wa viwanda vya mdomoni au vyerehani ,ni real viwanda..
Mwaka mmoja bado mapema kukamilisha Big projectTatizo ahadi zimekuwa nyingi bila vitendo, unaenda mwaka huu tunatembea na miradi ile ile ila ahadi zimekuwa lukuki.
Ni kweli ila angeanza hata mmoja japo robo na co kupiga piga kelele kila kukicha wkt mambo hayaendi.Mwaka mmoja bado mapema kukamilisha Big project
Uchumi hafifu 😂 😂 😂 😂Ni kweli ila angeanza hata mmoja japo robo na co kupiga piga kelele kila kukicha wkt mambo hayaendi.
Mtu mwenye chuki hawezi ona miradi mipya,iko mingi Sana naweza jaza Seva bure..Mwaka mmoja bado mapema kukamilisha Big project
[emoji846][emoji846][emoji846]Aisee!
Bado sanaa!
The simple fact that you guys mention Kibera every time a debate comes up says a lot about Dar. Just shows your city lacks anything in Nairobi to compare it with except slums like Kibera. Anyway, just to remind you, Kibera ipo mbali sana na Gigiri, but you can always be directed there ukaone mazingira ambayo umezoea Dar kama ya Gigiri yatakuwa yanakupa chenga. You are most welcomeN Mbona umesahau sweet aroma breeze from Kibera.
ti9n
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Siyo Afya tu hata Walimu wa Kiswahili wangesaidiwa kutafutiwa ajira huko nje, kuna uhitaji mkubwa sana na hapa nchini wapo wengi waliohitimu. Nawapongeza Wizara ya Afya kwa kufanya hivi.Mtu mwenye chuki hawezi ona miradi mipya,iko mingi Sana naweza jaza Seva bure..
Kilichobadilika ni kuitumia kutafuta sifa lukuki..mfano anaesema hakuna mradi mpya anafahamu kwamba ujenzi wa sgr ya makutopora -Tabora ni mradi mpya, barabara ya Pangani -Mkange ni mradi mpya,kuna hospital za Rufaa 5 mpya za Mikoa zinajengwa nk nk..
Wewe si ni mtu wa Afya kama huna Kazi awamu ya 6 inawatafutia kazi so hii inakuhusu [emoji116]
Tutawafikishia wahusika..Siyo Afya tu hata Walimu wa Kiswahili wangesaidiwa kutafutiwa ajira huko nje, kuna uhitaji mkubwa sana na hapa nchini wapo wengi waliohitimu. Nawapongeza Wizara ya Afya kwa kufanya hivi.
Kipindi cha Magu ulikuwa hafifu zaidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uchumi hafifu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Labda mambo yako ndio hayaendi unajumuisha mambo hayaendi unaweza defend?Ni kweli ila angeanza hata mmoja japo robo na co kupiga piga kelele kila kukicha wkt mambo hayaendi.
Mwaka ulioisha kwa sehemu ulikuwa ni mwaka wa kufukia mashimo na kuziba viraka na matobo.. Uchumi ulikuwa kwenye growth rate ya 4% na Sasa uko kwenye 4.9-5.2%Uchumi hafifu 😂 😂 😂 😂