Umemwaga povu gunia mzima. Ukizoea kuomba vitu usidhani kila mtu ako kama wewe.Mm sijasoma mbwa wewe mzee wa kuomba cheti, eti kasoma university of Nairobi, eti ana ajira alafu anavaa buti lina mashavu na infinix yenye 2gb Ram, nenda kadanganye chokoraa wenzio![]()
Yaani we acha, na kama umeoa unatumiwa picha ya mchepuko wako halafu unaulizwa vipi tumtambulishe kwa wife wako...hapo sasaunaweza tumiwa location ya Getho
![]()






Jitafakari fukara weweUmemwaga povu gunia mzima. Ukizoea kuomba vitu usidhani kila mtu ako kama wewe.








Hili nalo neno mkuu. Wataanza kufanyiana vigisu vigisu kupangiana safari, kuharibiana mood ya kazi, kuhonga/kuhongwa ili wapangiwe safari.Ila hapo wasio waadilifu safari za ovyo zitakua nyingi sana
Hata sasa tunawaahinda kwenye umeme Vijijini,maji mjini na kijijini nk..Ingekuwa inaingia mfukoni mwa wanasiasa saa hii Tanzania ingekuwa imeshinda Kenya when it comes to the number of
1. Total paved roads
2. People connected to the electricity
3. Primary Schools, Secondary Schools and Universities
4. Hospitals
5. Enclosed markets.
6. Bigger ports.
7. Industries
NDINDA Sawa. Kwanza, Mimi sitapinga na kusema kwamba unadanganya wala nini. Kwa uungwana wangu nitakubali kwamba hizi picha kweli ni zako.
Pili, sitadanganya kwamba nimefanya kazi kwa muda mrefu kukushinda kwa sababu nimefanya kazi kwa miaka michache tu. Umri wangu bado mdogo sana. Sasa nakubali pia upo mbele yangu kwenye mambo ya asset acquisition. Japo nami pia ninajaribu kujiendeleza upande huo.
Mzee aliyefanikiwa kama wewe unastahili kutupatia motisha sisi vijana wadogo tuliomaliza masomo juzi na kufanya kazi kwa miaka michache tu. Hongera. Mimi sipo JF kudhihaki au kudharau yeyote. Sasa sielewi kwa nini watu wasiheshimiane. Tuheshimiane tu kwa sababu kila mtu ana path yake ya maisha. Hapa nikiwa masomoni nje![]()
View attachment 2241217View attachment 2241218
, Yaani unajijua live mimi kweli nasurvive siishi. Pia nimewahi kukaa na watu matajiri na wanaotoka mataifa Tajiri na walioendelea na kuona wanavyoishi na wanabishana kuhusu usafi wa miji yao. Wakati mimi naabudu mji flani ulivyomsafi kuna mtu anauponda na kusema mchafu
. Basi hapo ndio unapojua hujui. Je wewe umefanya kazi miaka mingapi toka umemaliza shule? Inawezekana hatujaachana sana 
Kishindo cha Samia,hakuna cha visingizio na excuses za kisenge eti tunajenga sgr..





Hizo pesa zimeongezwa kuwasaidia viongozi na Wakuu wa Taasisi ila mwenzangu na mimi hadi upate safari mpaka aamue huyo huyo boss..Hili nalo neno mkuu. Wataanza kufanyiana vigisu vigisu kupangiana safari, kuharibiana mood ya kazi, kuhonga/kuhongwa ili wapangiwe safari.
Yaani we acha, na kama umeoa unatumiwa picha ya mchepuko wako halafu unaulizwa vipi tumtambulishe kwa wife wako...hapo sasa![]()








First do a favor like that to ur fellow kibera residentDo you want us to teach you how to upload pictures in JF?
Mzigo mwingine wa ajira za mda unaandaliwa,ni mwendo wa kuupiga mwingi kwa kwenda mbele. 👇Mama anaupiga mwingi sana...Ni suala la muda tu kila mtu atajionea
Nimefuta picha yangu. Nilikuwa nataka kupost kwa dakika chache tu. Kuhusu swali lako. Nilifanya kazi mwaka mmoja unusu kabla ya kupata fully paid Czech government scholarship. Unalipiwa kila kitu kwa miaka miwili ya masomo ikiwemo monthly stipend ya upkeep.Ni kweli Tony, Kuhusu path ya Maisha kila mtu ana yake na haifai kudhihaki, Mimi siwezi dhihaki njia yoyote ya Maisha anayofuata mtu. Mimi nimebahatika kuona watu wanaoishi, Yaani unajijua live mimi kweli nasurvive siishi. Pia nimewahi kukaa na watu matajiri na wanaotoka mataifa Tajiri na walioendelea na kuona wanavyoishi na wanabishana kuhusu usafi wa miji yao. Wakati mimi naabudu mji flani ulivyomsafi kuna mtu anauponda na kusema mchafu
. Basi hapo ndio unapojua hujui. Je wewe umefanya kazi miaka mingapi toka umemaliza shule? Inawezekana hatujaachana sana
![]()
Mwanangu andika kwa kiswahili tu!First do a favor like that to ur fellow kibera resident
Ndio hivyo mkuu watu wasio na maamuzi ndio watapigwa bench sana labda awe na mahusiano mazuri na boss. Hapa sasa kujipendekeza kwa bosi watu watafanya sanaHizo pesa zimeongezwa kuwasaidia viongozi na Wakuu wa Taasisi ila mwenzangu na mimi hadi upate safari mpaka aamue huyo huyo boss..
Pia watakaofaidika na hizo posho ni watu wanaofanya Kazi sekta ya Afya kwa sababu ya nights, emergency na exta time..
Pia watu walioko TanRoads, Tarura na RUWASA na taasisi kama hizo maana Wana Kazi za site moja kwa moja.


