7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,065
DATASTAR AND AMAZON COLLEGEMi nilijaribu Ku search Chuo chake Maseno nikaona kipo huko Kisumu ila kina Vijitawi kadhaa najua Kitawi kingine kipo Moi Avenue kama ndio hiko Tony kasomea basi hakina tofauti na Datastar au Amazon College Bongo
J/K
BTW niliangalia Maseno ina rank Kama chuo cha Elfu saba na kitu duniani, mimi chuo nilichipitia kipo Top 300. Kwa wanavyopenda Sifa na ranking mpaka hapo sifanani nae .
Pia kuna Swala la Private Car kama asset kwa jinsi alivyogaragara nalo huko mi sipo. Non of my Business.



Ngoja tu niendelee kufurahi, kozi zake sasa Hotel Management, Tourism,House Keeping. Shauri yako mkuu 

Mama anaupiga mwingi sana...Ni suala la muda tu kila mtu atajionea
Mikopo ni mizuri..ila itumike kikamilifu kweny mirad iliyokusudiwa
View attachment 2241104View attachment 2241105
👏
Mikopo ni mizuri..ila itumike kikamilifu kweny mirad iliyokusudiwa
View attachment 2241104View attachment 2241105
Apo nampa100Iringa, Lake Manyara na Tanga ni muhimu sana kwenye Utalii..Pia hizo barabara za South tanzania ni muhimu cause ya Uzalishaji wa mazao mengi ,hasa Mahindi, Parachichi na Korosho
Kwa Tanga pia bandari hilo bomba litaleta Waganda wengi sana wa cargo Mwambaoni na airport ya Tanga inabidi kupanuliwa iwe at least na 2500 m runway!Iringa, Lake Manyara na Tanga ni muhimu sana kwenye Utalii..Pia hizo barabara za South tanzania ni muhimu cause ya Uzalishaji wa mazao mengi ,hasa Mahindi, Parachichi na Korosho
Angalia kitu kama hiki pia nataka dyfre ambaye ni mjenzi na Tony254 ambaye ni somehow sober atoe tu honest review kama tofauti na Nairobi kuna estate ipi nyingine inaweza kupambana na hii new upcoming estate in Dodoma
dyfre hizi ndio nyumba Watanzania wanazitaka kwa sasa contemporary design, Dodoma ndani ya miaka mitano ijayo haishikiki
Iyo maneno umetoa wap? Tunataka maendeleo sote so kinachohitajika ni kuchukua mikopo kwa tahadhari kubwa...na kufanya maendeleo mana bado tuko nyuma sana ...Mi natamani kuona kila barabara inalami nzuri as long as watu wanaishi wanaenjoy lifeWhen it's Tanzania borrowing then it's good but when it comes to Kenya it becomes bad.
Instead of proving that you didn't graduate, yeye anaona ati atakuaibisha akiprove to JF members that you truly graduated. Again the University you graduated from is only led by one University from Tanzania which is UDSM. Zingine zote zinasoma number.Jamaa ananitishia eti atani-expose kwa sababu niligraduate. Jamaa anaenda hadi kwa graduation booklet just to try to scare me. Hahaha. Some people are desperate. Sasa hata akijua jina yangu itamsaidia na nini na yeye hata high school hajamaliza?
Are you not one of the Tanzanians who usually ridicule Kenya when we take loans? Why is it that all over sudden you changed the tone?Iyo maneno umetoa wap? Tunataka maendeleo sote so kinachohitajika ni kuchukua mikopo kwa tahadhari kubwa...na kufanya maendeleo mana bado tuko nyuma sana ...Mi natamani kuona kila barabara inalami nzuri as long as watu wanaishi wanaenjoy life
Huyo sii fundi simu wewe kilaza, huyo anatengeneza simu from scratch. Kuna siku mmebrag humu vile mnaintroduce new generation token meters ambazo mtu haitaji kubonyeza code kwa meter. Mnajua hizo meter zimetoka wapi? Ni huyo kijana mbetsa anazitengeneza kwa factory yake akiwauzia. Tazama video kama huna bundles useme.Kwahiyo mafundi simu unawaweka level moja na minerals dealers? 😂😂😂😂
Sasa unataka nitishike kwa sababu nimesoma na kugraduate? HahahaJamaa anataka nitishike kwa sababu ya kusoma hadi chuo kikuu. Majority ya watu hapa JF hawajamaliza hata high school. Siwezi kupata aibu kwa sababu ya werevu ambao nimepewa na Mungu. So far bado hakuna Mtanzania yeyote aliyepost degree certificate yake humu Including NDINDA anayeringa bila kupost chochote.

. Kwa kuwa siku nikitoka kwake siombi kazi tena popote kwani hapa najiandaa kufanya yangu mwenyewe.
, Btw angalia hilo koti La Moncler na bei zake kwa ajili ya rejea 

, Niligongwa na Dereva Taxi pale Palm beach nikakauza siku hiyo hiyo nikahamia kwenye zile asset zako
ki F20 cha 2012Alafu hawa kwnn huwa wanapenda kutumia mifano ya miji iliyoendelea dhidi ya shit hole yao? Unafananishaje miji iliyoendelea ambapo roads zao more than 90% ziko poa na kamji ambako kana vumbi na roads zenye potholes zisizo na idadi? Wacheni ujinga msirudie tena upumbavu huo.Nimesema i dont expect you to. Ni nini tenaalafu lines za yellow zimedo nini?barabara inatumika kutwa kucha since 2016 unexpect ikuwe as perfect as siku ilijengwa, not like utaipa like siku ya kujengwa pia
anyway mzee hata Usa barabara hazipo perfect.
New York
View attachment 2241073
Cali
View attachment 2241075
Muwe na adabu na Dodoma kuanzia leo, cc kwa sasa tumeshaachana na Dar tupo na Dom mzee, c unajua Tz maendeleo ni nchi nzima.Dar should borrow a leaf from Dodoma, at least Dodoma from the sky has a sense of organization which could've been replicated in Dar... it'll take long for Dar to re-organize those randomly arranged houses making up like 90% of it... whether you like it or not, that's the mere truth, Nairobi has it's own fair share of disorganization with the unplanned settlements (slums) but definitely insignificant in size as compared to Dar...
Kwahiyo Tanzania nzima kumekosekana mtu mpaka tuje Kunyaland! Una wazimu wewe!Huyo sii fundi simu wewe kilaza, huyo anatengeneza simu from scratch. Kuna siku mmebrag humu vile mnaintroduce new generation token meters ambazo mtu haitaji kubonyeza code kwa meter. Mnajua hizo meter zimetoka wapi? Ni huyo kijana mbetsa anazitengeneza kwa factory yake akiwauzia. Tazama video kama huna bundles useme.
nyinyi watanzania ni watu wabaya sana.. 😅Huyo bwana mdogo mwambie akae kwa kutulia na kwa tahadhar... makombora yote ya urusi yako standby now😃..
Sijui ni doc ipi inamuhusu mana sijapitia bado..lkn akae kwa tahadhar sana 🤣🤣🤪🤫.. afu waachage kujisifia kwa kusema uongouongoView attachment 2241005View attachment 2241007
Yah Tony mtu poa sana japo naye mda mwingine anajiingiza kwenye matatizo bure lkn jamaa hana tabu na mtu. Ndiye rafiki yangu pekee kutoka Kenya tangu dunia kuumbwa.
Tatizo nyie pesa zinaingia mifukoni mwa wanasiasa.When it's Tanzania borrowing then it's good but when it comes to Kenya it becomes bad.
Yah Tony mtu poa sana japo naye mda mwingine anajiingiza kwenye matatizo bure lkn jamaa hana tabu na mtu. Ndiye rafiki yangu pekee kutoka Kenya tangu dunia kuumbwa.
Basi ni mtu mwema sana.Hivi lichuo kama Maseno linawekaje details za watu online namna hiyo? Huko Kunyaland hamna information protection laws?Yah Tony mtu poa sana japo naye mda mwingine anajiingiza kwenye matatizo bure lkn jamaa hana tabu na mtu. Ndiye rafiki yangu pekee kutoka Kenya tangu dunia kuumbwa.