Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa alisema he posted maisha yake kidogo sana but he was willing to go full blown if NDINDA was ready to do the same. Sio jambo rahisi kwa mtu kujianika mitandaoni but if he's ready to do that why is the other guy not ready?
Tumeshaanikana. Yeye ameanika na mimi nimeanika. Lakini nimeshadelete, umechelewa kidogo. But Ndinda is now my friend.
 
Middle class neighborhood in Dar.



Daily Life in Dar
Daily Life in Dar
[emoji23][emoji23]
 
Basi tumezidiana kidogo miaka miwili Boss . [emoji41] Mimi pia nilipata scholarship ya Serikali ya Jiji flani baada ya Bachelor.
Pale Skyscrapercity miaka ya 2010 kulikuwa na jamaa kwa jina Kiligoland. Sijui kwa nini mimi hushuku ni wewe ila kidogo wewe una kiherehere.
 
Mbona kama kuna vichaka vingi sana vya kujificha panya road?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Najua haya mambo hamjazoea huko kwenu glorified fishing village but it's called preserving green spaces. Nairobi ni green city under the sun. Hapo ni Gigiri ambapo makao makuu ya Umoja wa Mataifa yanapatikana. Besides that, kuna embassies nyingi sana hilo eneo ikiwemo za Marekani na Canada among many others. So usishangae sana. Ukifika Nairobi jaribu utembee maeneo hayo. Utarudi kwenu uswazini na maswali mengi sana bila kupata majibu
 
Inategemea na matumizi mliofanya,japo sidhani kama nimewahi engage sana katika issue kama izo.. if yes lazima kuna kitu nilikiona hakiko sawa nikatoa mtazamo wangu....
Hawa hawakawii kukopa hela na kwenda kujenga railway city priorities zao ziko misguided sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hata huna aibu kutunisha misuli kwa bulbs ambazo hata Burundi wanatengeneza Hehehe. Ila usilete ushindani wa upuzi kukejeli huyo kijana mbetsa kwa kutengeneza meters from scratch, kitu ambacho hakitengenezwi popota hapa East Africa,

Mnaona hii kondoo!
IMG_1857.jpg


Ukiwajibu chap wanabadili magoli!

IMG_1858.jpg


Haya ni mambo madogo huku.

IMG_1856.jpg
 
Heheheheeee mpaka sasa tayari Watz wawili hapa wamesoma mbele, wao wanatamba na videgree vya Maseno, samahani bwana Tony ngoja na mm nikupige kdg [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuko wengi mkuu ila hatujisikii na mambo kama hayo katika jamii tunajichanganya na yeyote yule.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom