Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Image

Image
Without make up ka Nairobi can't breath.
 
Mi nilijaribu Ku search Chuo chake Maseno nikaona kipo huko Kisumu ila kina Vijitawi kadhaa najua Kitawi kingine kipo Moi Avenue kama ndio hiko Tony kasomea basi hakina tofauti na Datastar au Amazon College Bongo J/K

BTW niliangalia Maseno ina rank Kama chuo cha Elfu saba na kitu duniani, mimi chuo nilichipitia kipo Top 300. Kwa wanavyopenda Sifa na ranking mpaka hapo sifanani nae .

Pia kuna Swala la Private Car kama asset kwa jinsi alivyogaragara nalo huko mi sipo. Non of my Business.
Huwa unang'ata mdogo mdogo ila vinauma
 
Kaumia

Kama inawauma kuwa na ma slums kila kona c mpambane muyaondoe

Kati ya watu wanaoumizwa na uwepo wa ma slums Kenya nzima basi ni huyu jamaa sema ndio hvyo tena kuyaondoa hawezi japo alijaribu mwaka 2018 kuyaondoa kunako Google but alipoyaondoa 10 yakaongezeka mengine 5,000 akaamua amuachie Mungu tu
 
Nilikuwa nazungumza kuhusu 2017-2019 ambapo nilikuwa nje ya nchi kwa masomo zaidi. Nilipost hio air-ticket yangu hapa. NDINDA hajawahi kupost anything personal kuhusu maisha yake lakini anadharau watu wengine.
Kama vipi tuanze kuonyeshana hivyo vitu ulivyosema mpaka hapo mmojawapo akatapota adabu 🤣
Hata hivyo hapa jamvini sijawahi kukwanza mtu labda viutani ambavyo umeshindwa kuvigundua na ukareact vibaya, 😎 Kwanza Tonny mi sina dharau na mtu, mimi ni mtu peace sana hata siku moja kule Skyscrapercity nilipost picha yangu member wengi wakasema You look Polite🤣.
Imagine mwanzilishi wa hii forum ananitunuku heshima kwa kuwa sina mawaa🤣.

Screen Shot 2022-05-27 at 16.40.57.png

Screen Shot 2022-05-27 at 16.40.09.png
 
We do post picha ambazo tumezipiga sisi wenyewe, ila wenzenu hawaezi commend hata mara moja and it's not like we expect them to. I remember I always like some pictures you post and even leave a positive comment on them, I've never seen you do so. The only person here who I've seen mature enough to leave positive comments ni tuusan otherwise hata upost the best infrastructural project on earth, likes of Geza Ulole chongchung The best 007 will always find a way to demerit 😅

I took these yester evening while relaxing.. Mombasa
View attachment 2240579
View attachment 2240583
View attachment 2240585
View attachment 2240587
View attachment 2240590View attachment 2240596View attachment 2240598View attachment 2240606View attachment 2240608View attachment 2240610View attachment 2240612View attachment 2240614
Angalia kitu kama hiki pia nataka dyfre ambaye ni mjenzi na Tony254 ambaye ni somehow sober atoe tu honest review kama tofauti na Nairobi kuna estate ipi nyingine inaweza kupambana na hii new upcoming estate in Dodoma

dyfre hizi ndio nyumba Watanzania wanazitaka kwa sasa contemporary design, Dodoma ndani ya miaka mitano ijayo haishikiki

Jamaa alikuwa akisema eti inland cities are not supposed to experience flooding. Sijui hiyo alisomea wapi!
Acha ujinga paris sits on river banks what does Nairobi sits on except ni poor drainage systems lower costal cities are prone to flood while Nairobi sits further inland at a higher altitude. Itakuwa kitu cha ajabu kusema Kilimanjaro au Arusha is flooded.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kama vipi tuanze kuonyeshana hivyo vitu ulivyosema mpaka hapo mmojawapo akatapota adabu
Hata hivyo hapa jamvini sijawahi kukwanza mtu labda viutani ambavyo umeshindwa kuvigundua na ukareact vibaya, 😎 Kwanza Tonny mi sina dharau na mtu, mimi ni mtu peace sana hata siku moja kule Skyscrapercity nilipost picha yangu member wengi wakasema You look Polite.
Imagine mwanzilishi wa hii forum ananitunuku heshima kwa kuwa sina mawaa.

View attachment 2240954

View attachment 2240952
Noma sana mzee.
 
Angalia kitu kama hiki pia nataka dyfre ambaye ni mjenzi na Tony254 ambaye ni somehow sober atoe tu honest review kama tofauti na Nairobi kuna estate ipi nyingine inaweza kupambana na hii new upcoming estate in Dodoma

dyfre hizi ndio nyumba Watanzania wanazitaka kwa sasa contemporary design, Dodoma ndani ya miaka mitano ijayo haishikiki

Wakuu kiukweli kabisa hii Dodoma itakuja kuitesa sana Afrika mashariki na kati, ni moto wa petroli huu wazee, nmecheki hizo estate zitakapoisha nadhani itakuwa kwenye tatu bora Afrika kwa estate kali na za gharama.
 
Wakuu kiukweli kabisa hii Dodoma itakuja kuitesa Afrika mashariki na kati, ni moto wa petroli huu wazee, nmecheki hizo estate zitakapoisha nadhani itakuwa kwenye tatu bora Afrika kwa estate kali na za gharama.
Mpaka sasa Dodoma inaongoza kwa investment katika majiji yote ya EAC give it another 5 years it will be hot on the heels of Joberg.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Paris sits on a river bank what about Nairobi?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nairobi is divided into two geographically, One half is on a hilly terrain with forest cover the other half is on a flat plain which was a savannah grassland. The slope is evident ukitoka upper hill heading to CBD you can clearly see the elevation.
 
Kama vipi tuanze kuonyeshana hivyo vitu ulivyosema mpaka hapo mmojawapo akatapota adabu 🤣
Hata hivyo hapa jamvini sijawahi kukwanza mtu labda viutani ambavyo umeshindwa kuvigundua na ukareact vibaya, 😎 Kwanza Tonny mi sina dharau na mtu, mimi ni mtu peace sana hata siku moja kule Skyscrapercity nilipost picha yangu member wengi wakasema You look Polite🤣.
Imagine mwanzilishi wa hii forum ananitunuku heshima kwa kuwa sina mawaa🤣.

View attachment 2240954

View attachment 2240952
Huyo bwana mdogo mwambie akae kwa kutulia na kwa tahadhar... makombora yote ya urusi yako standby now😃..
Sijui ni doc ipi inamuhusu mana sijapitia bado..lkn akae kwa tahadhar sana 🤣🤣🤪🤫.. afu waachage kujisifia kwa kusema uongouongo
20220527_171957.jpg
20220527_171943.jpg
 
Nairobi is divided into two geographically, One half is on a hilly terrain with forest cover the other half is on a flat plain which was a savannah grassland. The slope is evident ukitoka upper hill heading to CBD you can clearly see the elevation.
But with proper drainage system you can avoid floods.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom