Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkunya huyu naye asipopiga chang'aa anakuwa mtu poa sana, hapa ameikubali Dodoma. Ila bwana dyfre kuna watu unawaumiza humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kule Skyscrapercity huwa tunazama inbox na kupiga story nzito, Ni watu poa sana sema huku kwa surface kama sio wao [emoji1787]
 
Tatizo nyie pesa zinaingia mifukoni mwa wanasiasa.
Ingekuwa inaingia mfukoni mwa wanasiasa saa hii Tanzania ingekuwa imeshinda Kenya when it comes to the number of

1. Total paved roads
2. People connected to the electricity
3. Primary Schools, Secondary Schools and Universities
4. Hospitals
5. Enclosed markets.
6. Bigger ports.
7. Industries
 
Ntapost Mkuu Tonny ngoja nitafute makaratasi yenyewe yalipo, Maana sijaona umuhimu wake, Wakati nasoma ughaibuni kuna mtu raia wa nje aliniona kupitia social media yangu, Akaniambia ukirudi njoo kwenye kampuni yangu upige kazi , Nilivyokuja tu nikaenda ofisini kwake kaniambia nianze kazi kesho yake, Sijawahi peleka hata hizo certificates na nina uhakika sintapeleka tena popote hata Copy yake [emoji1787][emoji41]. Kwa kuwa siku nikitoka kwake siombi kazi tena popote kwani hapa najiandaa kufanya yangu mwenyewe.

BTW nimeishi ughaibuni kwa Miaka zaidi ya kumi baada ya High school na nimeishi huko hadi Nilipopata masters nikarudi zangu.

View attachment 2241150

Hiko Kiatu kwa Bei ya Bongo ni kama Laki tano na Kitu, najua hutaamini ila ndio bei yake. Nikichanganya na hiyo bei ya saa unafungua duka [emoji1787], Btw angalia hilo koti La Moncler na bei zake kwa ajili ya rejea [emoji41]

View attachment 2241164

Nilikua napenda Sana Bike enzi hizo hata hapa nyumbani nilinunua Ki SYM Xross .

View attachment 2241152
View attachment 2241153
View attachment 2241154

Hiki hapa ki YSM xross 125 nikitoka kuangalia kiwanja changu kigamboni[emoji1787][emoji41], Niligongwa na Dereva Taxi pale Palm beach nikakauza siku hiyo hiyo nikahamia kwenye zile asset zako[emoji1787] ki F20 cha 2012

View attachment 2241163
Mkuu huwa huongei ongei ila mtu akiyakanyaga unamnyuka kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkunya huyu naye asipopiga chang'aa anakuwa mtu poa sana, hapa ameikubali Dodoma. Ila bwana dyfre kuna watu unawaumiza humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
watu nnawaumiza kivipi....? kina nani hao example.. 🤔
 
Middle class neighborhood in Dar.

Daily Life in Dar
Daily Life in Dar
 
Ntapost Mkuu Tonny ngoja nitafute makaratasi yenyewe yalipo, Maana sijaona umuhimu wake, Wakati nasoma ughaibuni kuna mtu raia wa nje aliniona kupitia social media yangu, Akaniambia ukirudi njoo kwenye kampuni yangu upige kazi , Nilivyokuja tu nikaenda ofisini kwake kaniambia nianze kazi kesho yake, Sijawahi peleka hata hizo certificates na nina uhakika sintapeleka tena popote hata Copy yake [emoji1787][emoji41]. Kwa kuwa siku nikitoka kwake siombi kazi tena popote kwani hapa najiandaa kufanya yangu mwenyewe.

BTW nimeishi ughaibuni kwa Miaka zaidi ya kumi baada ya High school na nimeishi huko hadi Nilipopata masters nikarudi zangu.

View attachment 2241150

Hiko Kiatu kwa Bei ya Bongo ni kama Laki tano na Kitu, najua hutaamini ila ndio bei yake. Nikichanganya na hiyo bei ya saa unafungua duka [emoji1787], Btw angalia hilo koti La Moncler na bei zake kwa ajili ya rejea [emoji41]

View attachment 2241164

Nilikua napenda Sana Bike enzi hizo hata hapa nyumbani nilinunua Ki SYM Xross .

View attachment 2241152
View attachment 2241153
View attachment 2241154

Hiki hapa ki YSM xross 125 nikitoka kuangalia kiwanja changu kigamboni[emoji1787][emoji41], Niligongwa na Dereva Taxi pale Palm beach nikakauza siku hiyo hiyo nikahamia kwenye zile asset zako[emoji1787] ki F20 cha 2012

View attachment 2241163
Heheheheeee hizi sindano za mbu wa marelia kabisa, zikikudunga lazima uende hospital [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi lichuo kama Maseno linawekaje details za watu online namna hiyo? Huko Kunyaland hamna information protection laws?
Bado mnampiga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu huwa huongei ongei ila mtu akiyakanyaga unamnyuka kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sema naye mda mwingine anapenda kujiingiza kwenye matatizo bure ya kuchezea moto asioweza kuuzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Niliona pia Kafrican ni mtu mwema huwa anatoa somo kwa sisi tusiojua mambo ya reli na Usafirishaji ila kuna siku pia huwa anamwaga radhi [emoji1787].
 
Sasa unataka nitishike kwa sababu nimesoma na kugraduate? Hahaha 🤣😅 Jamaa anataka nitishike kwa sababu ya kusoma hadi chuo kikuu. Majority ya watu hapa JF hawajamaliza hata high school. Siwezi kupata aibu kwa sababu ya werevu ambao nimepewa na Mungu. So far bado hakuna Mtanzania yeyote aliyepost degree certificate yake humu Including NDINDA anayeringa bila kupost chochote.
In a room of full professors, no one calls himself a prof.. unamvimbia nan sasa kama wote ni maprof, lbd kama kuna na maDr ndan kujiita prof kidogo utaleta heshima (kujivimbia).. im a degree holder too kutoka USA and masters kutoka UDSM (ya juzijuzi tu hapa) ... kama hutaki kuamin niseme tu nimeishia la saba 😅.. na sijakutisha sababu umesoma.. what i did is kujua details zako mana ulificha kwa cheti.. and through them nimejua majina yako na grade ulizopata (mana kuna waliopata 1st class honours, 2nd class honours upper division & lower division)..hata wew najua ulipata ngap.. thats all.. & through them ninaweza kujua humu ndan unasema ukwel au unadanganya.. mana nyie kwa kusema uongo hamjambo. Ila kuwa na aman ✌
1653657344878.jpg
 
Huyo bwana mdogo mwambie akae kwa kutulia na kwa tahadhar... makombora yote ya urusi yako standby now[emoji2]..
Sijui ni doc ipi inamuhusu mana sijapitia bado..lkn akae kwa tahadhar sana [emoji1787][emoji1787][emoji2957][emoji2958].. afu waachage kujisifia kwa kusema uongouongoView attachment 2241005View attachment 2241007
Mambo yameanza kuwiva humu ndani, nilisema huko juu watu ni wajuvi wa mambo wanaweza kukutrack mpaka wakajua umesimama sehemu gani.
 
Inategemea na matumizi mliofanya,japo sidhani kama nimewahi engage sana katika issue kama izo.. if yes lazima kuna kitu nilikiona hakiko sawa nikatoa mtazamo wangu....
tuusan why are you trying to deny a song that you once danced for? Are you aware that Internet never forget?
 
Ingekuwa inaingia mfukoni mwa wanasiasa saa hii Tanzania ingekuwa imeshinda Kenya when it comes to the number of

1. Total paved roads
2. People connected to the electricity
3. Primary Schools, Secondary Schools and Universities
4. Hospitals
5. Enclosed markets.
6. Bigger ports.
7. Industries
You have the point,if we go to the standards you're somestapes ahead of us ...we r learning from the mistakes,We takes all initiatives to prosper....
 
Back
Top Bottom