Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo bwana mdogo mwambie akae kwa kutulia na kwa tahadhar... makombora yote ya urusi yako standby now[emoji2]..
Sijui ni doc ipi inamuhusu mana sijapitia bado..lkn akae kwa tahadhar sana [emoji1787][emoji1787][emoji2957][emoji2958].. afu waachage kujisifia kwa kusema uongouongoView attachment 2241005View attachment 2241007
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
sasa mimi ni-support shoddy work ili iweje angalia hizo lines za yellow halafu uniambie mbona ni-support upuuziu?
Nimesema i dont expect you to. Ni nini tena 😅 alafu lines za yellow zimedo nini?barabara inatumika kutwa kucha since 2016 unexpect ikuwe as perfect as siku ilijengwa, not like utaipa like siku ya kujengwa pia 😅😅 anyway mzee hata Usa barabara hazipo perfect.
New York
1653666648642.png

Cali

1653666695908.png
 
Huyo bwana mdogo mwambie akae kwa kutulia na kwa tahadhar... makombora yote ya urusi yako standby now😃..
Sijui ni doc ipi inamuhusu mana sijapitia bado..lkn akae kwa tahadhar sana 🤣🤣🤪🤫.. afu waachage kujisifia kwa kusema uongouongoView attachment 2241005View attachment 2241007
Sasa unataka nitishike kwa sababu nimesoma na kugraduate? Hahaha 🤣😅 Jamaa anataka nitishike kwa sababu ya kusoma hadi chuo kikuu. Majority ya watu hapa JF hawajamaliza hata high school. Siwezi kupata aibu kwa sababu ya werevu ambao nimepewa na Mungu. So far bado hakuna Mtanzania yeyote aliyepost degree certificate yake humu Including NDINDA anayeringa bila kupost chochote.
 
Dodoma inakuja taratibu....
Wazee tukawekeze kwenye huu mjiView attachment 2240844View attachment 2240845
Dar should borrow a leaf from Dodoma, at least Dodoma from the sky has a sense of organization which could've been replicated in Dar... it'll take long for Dar to re-organize those randomly arranged houses making up like 90% of it... whether you like it or not, that's the mere truth, Nairobi has it's own fair share of disorganization with the unplanned settlements (slums) but definitely insignificant in size as compared to Dar...
 
Sasa unataka nitishike kwa sababu nimesoma na kugraduate? Hahaha 🤣😅 Jamaa anataka nitishike kwa sababu ya kusoma hadi chuo kikuu. Majority ya watu hapa JF hawajamaliza hata high school. Siwezi kupata aibu kwa sababu ya werevu ambao nimepewa na Mungu. So far bado hakuna Mtanzania yeyote aliyepost degree certificate yake humu Including NDINDA anayeringa bila kupost chochote.
Mambo ya masomo imefanya watanzania wakawa wakali kweli kweli 😂😂
 
Mambo ya masomo imefanya wafanya wakawa wakali kweli kweli 😂😂
Jamaa ananitishia eti atani-expose kwa sababu niligraduate. Jamaa anaenda hadi kwa graduation booklet just to try to scare me. Hahaha. Some people are desperate. Sasa hata akijua jina yangu itamsaidia na nini na yeye hata high school hajamaliza?
 
Kwani hajui jina lako Bwn Tony? Mbona unajulikana?
 
Nimepiga screenshot status ya rafiki yangu ambaye yuko Russia... Kuna wale hucheka mabasi ya Nairobi yanapo onekana kuwa na uchafu ivi sasa sijui hapa watasemaje
Screenshot_20220527-115051.png

Screenshot_20220527-115034.png
Screenshot_20220527-115109.png
Screenshot_20220527-115007.png
Screenshot_20220527-115139.png
Screenshot_20220527-115151.png
 
Back
Top Bottom